Majan
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,165
- 1,515
Hivi gharama yakupima udongo inaweza kuwa shilingi ngapi.?Inategemea na aina ya udongo
Hivi gharama yakupima udongo inaweza kuwa shilingi ngapi.?Inategemea na aina ya udongo
25000 sample mojaHivi gharama yakupima udongo inaweza kuwa shilingi ngapi.?
Okee wanasema kwene shamba lako inatatiwa kuchukua sample za udongo ktk sehemu tofauti tofauti ko inamaana kama vitakua vipaseli vitano hapo itahitajika 125k sindio.25000 sample moja
Otosha ni mbolea gani hiyo mkuuOtosha inatosha sanaaa
hivo vipaseli tofauti ndiyo unavichanganya, unapata sample moja. Kuna utaalamu wakufanya hivyo kama unahitaji maelezo nitakupa.Okee wanasema kwene shamba lako inatatiwa kuchukua sample za udongo ktk sehemu tofauti tofauti ko inamaana kama vitakua vipaseli vitano hapo itahitajika 125k sindio.
YARA wana mbolea inaitwa yara miller otesha kama sijakosea.Otosha ni mbolea gani hiyo mkuu
Hiyo ni blank recommendation,hizo mbolea unaziweka kwa kuzingatia vigezo gani?. Halafu NPK na DAP ni Basal dressing fertilizers Sasa Kwanini akuzie NPK?.Tumia DAP Baadae utatumia NPK Kukuzia. Wakati wa kupanda tunahitaji mbolea yenye virutubisho vingi vya phosphorus kwaajir ya kuimarisha mizizi. Hivyo katika kila mbolea kuna fertilizer percentage ipo kwa kila kirutubisho nikimaanisha phosphorus, potassium na nitrogeni. Hivyo kwasasa angalia hiyo mbolea yako ukienda dukani uchukue yenye asilimia kubwa ya phosphorus.
NPK ni complete fertilizer hivyo basi ina virutubisho vyote NITROGEN, PHOSPHORUS and POTASSIUM. Basi kwa vigezo hivyo anaweza kuitumia kwa namna yoyote ilimradi kuzingatia asilimia za mbolea husika.Hiyo ni blank recommendation,hizo mbolea unaziweka kwa kuzingatia vigezo gani?. Halafu NPK na DAP ni Basal dressing fertilizers Sasa Kwanini akuzie NPK?.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
kazi ya phosphorus ni root growth, nitrogen vegetative growth na potassium ni stability.DAP ni ya kupandia, NPK ya kukuzia. kwenye NPK nitrogen ni specifically kwa kuboresha ukuaji wa majani hizo phosphorus na kalium zote zinahitajika kwenye kusaidia mimea iote vizuri from seeds to seedlings
Okee duh.!hivo vipaseli tofauti ndiyo unavichanganya, unapata sample moja. Kuna utaalamu wakufanya hivyo kama unahitaji maelezo nitakupa.
hakuna shida ila ni matumizi mabaya ya rasilimaliKwene kupanda viazi mviringo tunachanganya DAP+CAN hii formula nimekuta wenyeji wanaitumia nami nikaendelea nayo tu.
Hebu watalamu niambieni kama kuna ulazima wakuchanganya huo mchanganyiko ama naweza kupandia DAP pekee
Asante mkuu ngoja safari hii nitumie DAP pekee ukizingatia mbolea zenyewe sasahiv bei zipo juuhakuna shida ila ni matumizi mabaya ya rasilimali
Kuna mbolea maalum ya kupandia mzao insitwa oteshaOtosha ni mbolea gani hiyo mkuu
Uko sawa kabisaaYARA wana mbolea inaitwa yara miller otesha kama sijakosea.
hapana hivyo vipaseli kwa pamoja univichanganya unapata kilo moja then inapimwa sample moja. Ila kuna maeneo kwenye shamba wakati wa kuchukua sample yako hutakiwi kuchukua sehemu hizo, kama sehemu iliyowekwa mbolea ya ngome(ililundikwa kwa ajil ya kusambaza shambani), sehemu iliyochomwa moto na bondeni katika shamba.Okee wanasema kwene shamba lako inatatiwa kuchukua sample za udongo ktk sehemu tofauti tofauti ko inamaana kama vitakua vipaseli vitano hapo itahitajika 125k sindio.
Shukrani sana mkuu ..hapana hivyo vipaseli kwa pamoja univichanganya unapata kilo moja then inapimwa sample moja. Ila kuna maeneo kwenye shamba wakati wa kuchukua sample yako hutakiwi kuchukua sehemu hizo, kama sehemu iliyowekwa mbolea ya ngome(ililundikwa kwa ajil ya kusambaza shambani), sehemu iliyochomwa moto na bondeni katika shamba.