Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 15,331
- 30,897
Una wazimu wewe ππππKweli tunatofautiana. Ukipika njugu mawe kama hamna mboga nyingine ujue nalala njaa hiyo siku.
Unataka kufananisha njugu na NYANYACHUNGU au
Una wazimu wewe ππππKweli tunatofautiana. Ukipika njugu mawe kama hamna mboga nyingine ujue nalala njaa hiyo siku.
π Bora nile nyanyachungu kuliko njugu mawe. Kwanza harufu yake tu hadi kichwa kinauma eti wengine mnakula.Una wazimu wewe ππππ
Unataka kufananisha njugu na NYANYACHUNGU au
Msusa ni mboga gani?Msusa uyoga nyama maharage nk
Maziwa mgando ππMaziwa mgando kwangu ni unyama kuliko maziwa fresh. Sharti niyaweke sukari tu
Majani ya mabogaMsusa ni mboga gani?
ππππKikubwa tatizo la kukaukiwa maji kwa bibi utakuwa huna kabisa π
Kisamvu kitamu sana, hasa upate KISAMVU CHA KOPO, kimepondwa vizuri kikahifadhiwa kunako kopo.Mie huwaambia watu usiseme chakula huli sema chakula hakijapata mpishi.
Kisamvu kizuri sn. Kilokolea nazi na kitunguu maji na hiliki π. Na uzuri wake unaweza kula na chakula chcht, wali, ugali na hata mkate
Siyo 'fulu' kweli hao dagaa!Na kuna yale madagaa fulani makubwa yana Miiba kama samaki Yani yale ndo huwa sitaki hata kuyaona....kama nikiwa ugenini ukitaka kunifukuza we nipikie tu yale madude yani ukinipa mchana..jioni nakuaga naondoka zangu hutokuwa na haja hata ya kunifukuza.
Mi sipendi NYANYACHUNGU ila sijasema kuwa harufu yake kichwa kinaniuma....π Bora nile nyanyachungu kuliko njugu mawe. Kwanza harufu yake tu hadi kichwa kinauma eti wengine mnakula.
πππππ Huu uzi utaharibika sio mda maninaaaaaKisamvu kitamu sana, hasa upate KISAMVU CHA KOPO, kimepondwa vizuri kikahifadhiwa kunako kopo.
Ni kitamu mno, kinanoga.
Cc: Mbaga Jr Poor Brain Extrovert Mzee wa kupambania SweetyCandy Lamomy Kapeace