Mbivu na Mbichi kujulikana leo Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA; Mungu wa Mbinguni awabariki Wajumbe wote

Leo chama kikuu cha upinzani CHADEMA kitakuwa na Kikao cha Kamati kuu ambacho kimeitishwa kwa mujibu wa Katiba.

Tunategemea kusikia mambo mengi mazuri kutoka ndani ya kikao hicho na tunaamini CHADEMA itabaki kuwa moja na haitaruhusu biashara ya " Makundi" kama kule Lumumba.

Mungu wa Mbinguni ibariki CHADEMA!
Pia tunataka wamwidhinishe mwamba Mbowe kuwa mwenyekiti wa maisha. Hakuna haja ya uchaguzi wa mwenyekiti Taifa kama ilivyo huko CCM. Kama ni demokrasia ya uchaguzi wa mwenyekiti Taifa peleka huko huko CCM
 
Lini CCM walimchagua mwenyekiti wa taifa tangu 1977?
 
Nahitaji kusikia neno moja tu toka kwao. Ni juu ya rufaa ya UVIKO 19. Wasipofanya hili, hawana maana.
 
Kila la kheri ktk kikao cha wapinzani wangu mahiri na imara.

Jana nikanipigiwa simu na mdada toka CHADEMA HQ mwenye sauti nyororo na anayeongea kwa staha kunadi sera za chama chao hasa "join the chain" huku akitaka niwaunge mkono CHADEMA.

Nilimjibu asante kunipigia, na nikajitambulisha kuwa mimi ni CCM damu damu, ila huwa nashiriki michango ya kuwachangia viongozi na wanachama wa chadema pale wanapopata maswahibu...na napenda upinzani wa CHADEMA kwani ni chachu ya kuleta maendeleo.

CHADEMA ni ndugu na ni rafiki anayenisaidia kuwa imara na kutenda haki au kurudi kwa mstari pale ninapokengeuka.

Maendeleo hayana vyama, ni wajibu wetu bila kujadili itikadi zetu za vyama, dini, ukabila na ukanda kuungana kwa pamoja kudai haki na kusimamia hoja zinazoleta maendeleo na umoja wa kitaifa uliojawa na amani na upendo kwa wote
 
Leo chama kikuu cha upinzani CHADEMA kitakuwa na Kikao cha Kamati kuu ambacho kimeitishwa kwa mujibu wa Katiba.

Tunategemea kusikia mambo mengi mazuri kutoka ndani ya kikao hicho na tunaamini CHADEMA itabaki kuwa moja na haitaruhusu biashara ya " Makundi" kama kule Lumumba.

Mungu wa Mbinguni ibariki CHADEMA!
Naona umeandika ki majungu majungu - Mbivu na mbichi maana yake ni nini?
 
Kila la kheri ktk kikao cha wapinzani wangu mahiri na imara.

Jana nikanipigiwa simu na mdada toka CHADEMA HQ mwenye sauti nyororo na anayeongea kwa staha kunadi sera za chama chao hasa "join the chain" huku akitaka niwaunge mkono CHADEMA.

Nilimjibu asante kunipigia, na nikajitambulisha kuwa mimi ni CCM damu damu, ila huwa nashiriki michango ya kuwachangia viongozi na wanachama wa chadema pale wanapopata maswahibu...na napenda upinzani wa CHADEMA kwani ni chachu ya kuleta maendeleo.

CHADEMA ni ndugu na ni rafiki anayenisaidia kuwa imara na kutenda haki au kurudi kwa mstari pale ninapokengeuka.

Maendeleo hayana vyama, ni wajibu wetu bila kujadili itikadi zetu za vyama, dini, ukabila na ukanda kuungana kwa pamoja kudai haki na kusimamia hoja zinazoleta maendeleo na umoja wa kitaifa uliojawa na amani na upendo kwa wote
Nimekuelewa bwashee!
 
Areyou serious mkuu?
Baraza lifanyike kwa zoom?
Kwanza wajumbe wa baraza wangapi wanajua kutumia computer?
Kama mataifa makubwa wanafanya vikao kwa zoom sisi nini kinashindikana? nusu ya wajumbe wa kamati kuu ndiyo hao hao ni wajumbe wa baraza kuu
 
Wajumbe wote wa kamati kuu ni wajumbe wa baraza kuu.

Uwe unaelewa!
 
Back
Top Bottom