Mbivu na mbichi kiwanda cha sementi lindi j3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbivu na mbichi kiwanda cha sementi lindi j3

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by masaa24, Jun 25, 2011.

 1. m

  masaa24 New Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimedokezwa mbivu na mbichi kuhusu fedha za libya na mradi wa kiwanda cha sementi Lindi jumatatu. Tusikilizie.
   
 2. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hujaeleweka mkuu.!!? Hebu tudadavulie kwanza kitu gani unamaanisha?
   
 3. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,813
  Likes Received: 1,057
  Trophy Points: 280
  walichotifuana mudhihir na joka la mdimu!
   
 4. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Dangote;mnigeria, ndiye mwenye kiwanda au?
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ninyi vijana wa Membe aliowajaza hapa JF sikilizeni: Hakuna kipindi kitakachorushwa kuhusu huo mgogoro wa fedha za Libya kwa sababu, Membe anamtuhumu Dewji bila yeye kupewa nafasi. Taarifa kutoka ndani ya ITV zinasema kipindi hakitarushwa.
   
 6. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sasa hizo mbivu na mbichi mbona hatuambiwi?
   
 7. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kila sehemu CCM Magamba wanatukanana naona kinaelekea kufa Membe na Dewji ni chama kimoja hawa.
   
 8. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Acheni kuongea kwa mafumbo. Kama mada imeletwa ukumbini hakikisha kila mtu anaelewa ili hawezi kuchangia. Kama ni mjadala binafsi pelekeaneni taarifa binafsi (PM).
   
 9. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sahihi kabisa. Inaonekana aliyeleta thread ametumwa halafu kasahau alitumwa nini.
   
 10. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani update ya hii kitu ni aje?
   
 11. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,388
  Trophy Points: 280
  Ni hivi,
  ITV kila jumatatu hua kuna kipindi cha DAKIKA 45 (ndo kinavyoitwa) ambapo mtangazaji bwana Suleiman Semunyu huwahoji mawaziri mbalimbali juu ya utendaji wao wa kila siku.
  Juma-3 hii ya tarehe 27/06/11 amehojiwa waziri Membe na kufafanua mambo mbalimbali kama Sakata la BAE, Uraia wa nchi mbili na mwisho hilo la MEIS, METL, LIBYA n.k.
  ndo mafumbo yaliyokua yakizungumziwa
   
 12. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sasa mafumbo hayo yanamsaidia nani? Kumbe ni issue hiyo. Mbona naambiwa imeshamalizwa na mahakama?
   
 13. Chechetuka

  Chechetuka JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchezo umeisha leo asubuhi. Jaji alichukua dakika zisizozidi kumi na tano kumaliza kesi hiyo. Kamwambia mzee Gullamabbas, mke wake, yaani mama mzazi wa Mh. Mohamed Dewji, Bi. Zubeida kuwa waache wizi. Baada ya pale mzee Gullanabbas akaenda kumuona Jaji Mkuu, hakuamini kilichotokea. Wanadhani Jaji mkuu huyu ni mtu wa kumchezea. Asubiri kupelekwa Keko tu sasa
   
 14. Chechetuka

  Chechetuka JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa hao ndio aliyoyazungumza Mh. Membe. Ameeleza vizuri saaana suala la Uraia wa nchi mbili, ameeleza vizuri saaana sakata la rada na chenji yetu, na amefafanua vizuri saaana sakata la fedha za Libya, kampuni ya MEIS na wezi akina Mohamed Enterprises Ltd
   
 15. Chechetuka

  Chechetuka JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kipindi cha dakika 45 kilikuwa kama dakika 10 tu. Huyu jamaa ni kiboko, anajua kujieleza, nakumbuka miaka ile alivyompelekesha Kitine ktk sakata la fedha za matibabu za mkewe Bungeni
   
 16. Chechetuka

  Chechetuka JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa ameshakung'uta kama ulivyosema
   
 17. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Nyie watu mna matatizo sana, kama hamtaki kutoa taarifa basi acheni. Sasa hapa mmeeleza nini? Yaani ninyi mnadhani kila mtu yupo kwenye TV? Ameeleza kuhusu uraia wa nchi mbili, "yes" sasa amesemaje? Imekubalika kuwa na uraia wa nchi mbili or not? Ameeleza kuhusu BAE, je kasemaje kuhusu hiyo BAE, na hivyo vingine sijui MEIS, METL na LIBYA? Mkiamua kutoa taarifa toeni taarifa inayojitosheleza na si kufumba fumba bwana. Kama vipi, msingeleta kabisa taarifa hiyo.
   
 18. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,388
  Trophy Points: 280
  We wa wapi wewe? wacha kudandia treni kwa mbele.unataka usimuliwe kila neno alilosema kwenye hizo dakika 45 hapa JF patatoshaje?suala halikua kuhadithia kipindi kizima kiliendaje,nlichofanya ni kufafanua kilichoitwa mafumbo na wachangiaji wa mwanzo,
   
Loading...