Mbiu ya Mgambo: Wana JF kwanini mnamchelewesha Paul Makonda?

mangesani

Senior Member
Jun 20, 2016
159
225
Hivi kwanini wasiombwe wale wash usha nondo wa JF waliokimbilia twitter watuleteee nyuzi murua za kuweka panapostahili huyu Paul Makonda ambaye in my opinion kutokana na matamko na amri zake ambazo huzitoa bila ku think through i can conslusively say is behaving erratically who has escaped from the asylum.

I know Jerry Silaa was useless kule ilala lakini huyu Makonda ni kama vile inspection ya kila nyumba ata spend kiasi gani na nani ata fund haya mambo ya ki gestapo? Bosi wake kashasema serikali mtu isiajiri and now this guy comes from no where ataka kutuingilia majumbani mwetu eti tukafanye kazi, ziko wapi?
 

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,971
2,000
Hivi kwa nini wasiombwe wale wash usha no do wa JF waliokimbilia twitter watuleteee nyuzi murua za kuweka panapostahili huyu Paul Makonda ambaye in my opinion kutokana na matamko na amri zake ambazo huzotoa bila ku think tgrough i can conslusively say is behaving erratically kama madman who has escaped from the asylum.
jiandae kwenda Geza ulole ukalimishwe kwa nguvu

I know Jerry silaa was useless kule ilala lakini huyu Makonda ni kama vile headless chicken. Hiyo inspection ya kila nyumba ata spend kiasi gani na nani ata fund haya mambo ya ki gestapo? Bosi wake kashasema serikali mtu isiajiri and now this guy comes from no where ataka kutuingilia majumbani mwetu eti tukafanye kazi.....ziko wapi???
 

kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,778
2,000
Anahangaika sana ku make headlines,sasa uwezo wake wa kubuni vitu vyenye manufaa umegota
Huu upuuzi wa nyumba kwa nyumba uliwahi kufanyika wapi ulimwengu huu au the entire galaxy or the universe
Seriously anahitataji ushauri nasaha wa psychiatrist
 

mchovu wa fikra

JF-Expert Member
Jul 16, 2016
335
500
makonda amefeli sana wazo la msako kwa wasio na kazi dar,kiuhalisia hakuna asiye na kazi ya kufanya.everybody once s/he wakes up in the morning trying to plan how to go through the day,once you plan even though without paper it means you have something to do and this is what called a job or a work....hata machizi wakiamka huwa wanafikiria jalala la mwanzo kuanza nalo kazi..makonda anatafuta new ideas ambazo zitamfanya aonekane tofauti na wenzake jambo ambalo litamfanya aje na idea nyingi sana ambazo asipoangalia zitamshushia heshima...kudakia mambo ambayo mh.rais hajayazungumza ndio fikra za huyu jamaa,kuna upungufu wa madawati,wafanyakazi hewa,vyeti feki,wala rushwa hawazungumzii wala hana takwimu yeye anataka wasio na kazi...mwisho atawatafuta vijana wanaojihusisha na siasa kama vile BAVICHA na kuwataka waache kufanya hivyo...Hivi ule mpango wa makonda kugawa bodaboda kwa vijana umefikia wapi wakuu? taarifa naomba mwenzenu ni mvivu wa kufikiri!
 

CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,929
2,000
Mimi nina fikra tofauti kidogo. Kwa kuwa Dar es Salaam ni special case, kama vile ilivyoanzishwa Kanda Maalumu ya Kipolisi basi hata aina ya Utawala ingewekwa special kwa namna fulani. Nafaham kuna Jiji na Manispaa zake5 kwa sasa ambapo kuna Mameya, hata hivyo ilitakiwa kuwe na muundo fulani ambao ni superpower, maana Dar ni kubwa na kuna mambo mengi. Huwez kuamini hadi leo issue ya maji tu kwa wananchi limekuwa ni tatizo, watu tunatumia maji ya "kwa jirani" kwani DAWASCO wameshindwa kuwafikia wakaz wote.

Naomba Mh JPM aangalie hili suala la Dar kwa jicho tofauti ili kutatua changamoto ambazo ni nyingi.
Matamko mengi ya RC hajafanya Comprehensive Research, na kiuhalisia yana Minor Impact na siyo Key Perfomance and Delivery Indicators!
 

brokergeneral

Senior Member
Jun 21, 2016
132
225
Ukitaka kutawala kwa sifa maranyingi utajikuta unafanya madudu mana utataka kila siku usikike ukiongea ili watu wakuone wewe ni jembe kumbe mpini wako unanesa bila kujua, sasa. Huyu jamaa sifa kutoka juu zimemlewesha mpaka ameanza kuongea vitu visivyo na maana AU anataka kila MTU atembee na kipande system kuonesha anafanyakaz wapi? Hiz pumba anazotoa zisipokosolewa siku moja atakuja aseme watu wasioane
 
  • Thanks
Reactions: PNC

tanzanite miner

JF-Expert Member
Feb 2, 2016
257
250
Anatafuta kiki mpaka anapitiliza,mzee wa pushup bila kiki hakuelewi sasa makonde kaona atoke na hiyo ya nyumba kwa nyumba,mlango kwa mlango
 
  • Thanks
Reactions: PNC

izzo

JF-Expert Member
May 31, 2015
2,814
2,000
ningependekeza vyeo kama hv badala ya mtu kupewa tu kama zawadi inabidi viwe vnatangazwa watu wanashindana katka nyanja ya kitaaluma na ufahamu tena interview iwe inarushwa live kwenye TV naimani nusu ya hawa watoa matamko hata 100000000 bora wasingefika hii ndo dsm walishawai kujiuliza huko mikoani mkuu wa mkoa anapeperusha bendera kwenye gari lakini Dar hakuna? ????

kuna sheria zinawezekana kutekelezeka mkoani lakini hapa dar haziwezi kutekelezeka ??? jiulize toka mapambio yameanza kutoka ni lip limetekelezeka japo kwa 0.1%? shisha zinavutwa kama kawa makahaba mpka wanalalamika wanakosa wateja wameshusha bei mpka buku ombaomba wapo mpka nje ya office yake mashoga ndo wanakuwa followed kila cku machnga kkooo ndo imekuwa dubai yao kinachoniuzi zaidi ni kitendo cha kutoa tamko alafu msilisimamie kiukweli mnafanaya wananchi wawadharau yani leo matamko ya serikali yamekuwaa kama matamko ya bavicha kweli? ??,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom