Joka Kuu,Askofu huyo alisisitiza Nakuombeni wananchi zingatieni ule msemo wa Kiswahili, Usiache mbachao kwa msala upitao na Zimwi likijualo halikuli likakwisha kwa hivyo wenyewe mna hiari yetu tena hapo, alisema na kuibua shangwe za wananchi hao.
Ndugu....... Yaani kila kitu kinachosemwa na mkatoliki ndiyo msimamo wa kanisa katoliki..??? Hivi huyo padre ndiyo msemaji wa kanisa katoliki.. ??? Inaonyesha hujui kanisa lina utaratibu gani juu ya matamko. KWA HIYO UNATAKA TUAMINI KUWA YULE ALIYEMCHAPA MWINYI KIBAO ALIFANYA VILE KUONYESHA MSIMAMO WA WAISLAMU..???? ACHA HAYO, KWAA NINI KILA POSTI UNAIHUSISHA NA UDINI...????Naona Khatib "Msakatonge",kaanza mbio zake kwa mguu wa kushoto..a wrong move...nafikiri padri Malamsha anamfahamu tokea akiwa umoja wa vijana wa CCM, lakin ni Khatib...tunamjuwa zaidi kuliko yy Malamsha...si tu kuanzia umoja wa vijana bali hata namna ya kufika hapo na kupanda ngazi...kama Khatib anatafuta ushawishi wa kanisa kufanikisha malengo yake ya kisiasa, ni wazi kuwa anaielekeza CCM zanzibar...iwapo itamchagua kugombea...kushindwa kwa kishindo hata kama wataiba vipi...kumfananisha Khatib na Nyerere ni hatua ya kwanza ya kanisa katoliki kuelekea ya pili ya kumtangaza kuwa "chaguo la Mungu", sasa tumeona vipi waraka wa kanisa unavyoanza kufanya kazi yake. Ushauri wangu wa bure kwa Khatib "Msaka Tonge", siku zote rais wa zanzibar anatoka BLW...kama anataka historia ibadilike...aache kuendekeza siasa za kubebwa bebwa na SMT kupitia chama chao cha kanisa katoliki...wazanzibari are no longer fools like he thinks they are...
Umemsaidia mwenzio hapa chini.Huyu Padri Malamsha huwa anatumwa na nani? Nakumbuka katika uchaguzi wa 2005 aliwahi kutoa hotuba akidai kuwa iwapo CCM itashindwa Zanzibar maisha ya wakristo wa huko yatakuwa hatarini. Akaomba serikali ijitahidi jambo kama hilo (la kushindwa CCM) lisitokee!
kondoo siku zote huenda kwa kufuata fimbo ya mchungaji wao.upo!Ndugu....... Yaani kila kitu kinachosemwa na mkatoliki ndiyo msimamo wa kanisa katoliki..??? Hivi huyo padre ndiyo msemaji wa kanisa katoliki.. ??? Inaonyesha hujui kanisa lina utaratibu gani juu ya matamko. KWA HIYO UNATAKA TUAMINI KUWA YULE ALIYEMCHAPA MWINYI KIBAO ALIFANYA VILE KUONYESHA MSIMAMO WA WAISLAMU..???? ACHA HAYO, KWAA NINI KILA POSTI UNAIHUSISHA NA UDINI...????
Umefulia kwenye hoja .... Unachotakiwa kufanya ni kujenga hoja, na si kucheza na maneno ............Umemsaidia mwenzio hapa chini.
kondoo siku zote huenda kwa kufuata fimbo ya mchungaji wao.upo!
Amsifie Maalim duh...mbona siku hiyo atakuwa hana uaskofu dogo!..anaposifia anajua it pays in terms of his church mission...in Zanz...Askofu Malamsha akijitokeza na kumsifia Maalim Seif Sharrif sidhani kama tutasikia kelele zozote zile.
..kinachoendelea hapa ni siasa tu, ila cha kusikitisha watu wanatumbukiza dini humo.