Vitendo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2009
- 582
- 103
Kulikuwa/kuna tetesi,mawazo na maoni ya watu wengi juu ya uundaji wa Baraza jipya la Mawaziri la serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ungekuwa na picha inayoyesha zile mbio za sakafuni za kuelekea uchaguzi wa urais 2015 hasa ni nani ambaye atapata ridhaa ya chama cha mapinduzi kuwa Mgombea wa urais kwa mwaka huo wa 2015.
Leo hii baraza hilo limeonekana na liko wazi na limeshaanzaa kuzua mijadala na maoni mbalimbali.
Ukiliingalia kwa UMAKINI na kwa undani,Je Baraza hilo linatoa picha gani kuelekea uchaguzi 2015?
Je kuna mtu/watu ambao kupitia baraza hilo wamewekewa au wanawekewa mazingira mazuri wa kupata ridhaa ya CCM kwenda kugombea 2015?
wewe kama mtanzania mtaka maendeleo ya Tanzania una maoni au umeona nini juu ya hilo?