Mke wa Rais, Salma Kikwete amerudisha fomu ya kuwania ujumbe wa Nec Taifa kupitia Wilaya ya Lindi Mjini.
Katibu wa CCM Wilaya ya Lindi Mjini Mohamed Kateva, alisema jana kwamba Salma ni mgombea pekee aliyejitokeza kuwania nafasi hiyo katika wilaya yake.
Kateva alisema mwisho wa kurudisha fomu ilikuwa Agosti 28, mwaka huu na mpaka tarehe hiyo hakukuwa na mtu mwingine aliyekuwa amejitokeza kuwania nafasi hiyo.
Amekaa ikulu amejifunza siasa, hujui kuwa mlamba asali halambi mara moja!!Huyu mama na siasa wapi na wapi? Kuwa mke wa mwanasiasa hakumfanyi mtu kugeuka mwanasiasa. Nani amesahau alivyokuwa anatetemeka akisoma risala zake siku za mwanzo? JK aking'oka na yeye kwisha.
Hivi Mama Maria alikuwa naye M NEC ? Na Mama Mkapa je alikuwa nani ? Ama kweli CCM ina mambo mengi baada ya hapo watasema Chadema ya ukoo ?
....Wakibadilishe jina tu na kukiita chama cha vikwete. Ana wadhifa mkubwa kama first lady lakini haukumtosha mpaka naye ajiingize kwenye siasa!!! Tamaa hizi mbaya sana!!!
Hivi Mama Maria alikuwa naye M NEC ? Na Mama Mkapa je alikuwa nani ? Ama kweli CCM ina mambo mengi baada ya hapo watasema Chadema ya ukoo ?
Hii kanuni inawabana mawaziri/naibu mawaziri na wakuu wa mikoa/wilaya ... wabunge ni ruksa kugombea.
Inashangaza sana,mtoto RITZ 1naye mjumbe wa NEC,Mama naye anataka ujumbe wa NEC,ukoo mzima unataka uishie kwenye NEC,nadhani kuna kitu wanafaidi ukoHivi Mama Maria alikuwa naye M NEC ? Na Mama Mkapa je alikuwa nani ? Ama kweli CCM ina mambo mengi baada ya hapo watasema Chadema ya ukoo ?
Salma akosa mpinzani Lindi
Katika hatua nyingine Mke wa Rais, Salma Kikwete amerudisha fomu ya kuwania ujumbe wa Nec Taifa kupitia Wilaya ya Lindi Mjini.
Katibu wa CCM Wilaya ya Lindi Mjini Mohamed Kateva, alisema jana kwamba Salma ni mgombea pekee aliyejitokeza kuwania nafasi hiyo katika wilaya yake.
Kateva alisema mwisho wa kurudisha fomu ilikuwa Agosti 28, mwaka huu na mpaka tarehe hiyo hakukuwa na mtu mwingine aliyekuwa amejitokeza kuwania nafasi hiyo.
ZeMarcopolo , nini kauli yako kuhusu hiyo kanuni iliyotumika kumuengua Dr Nagu? Imetafsiriwa inavyopaswa? kwa kuwa idadi ya wanaCCM wanaogombea nafasi hizo bila kujali uwepo wa kanuni hiyo, je unadhani kanuni hiyo imeelewa vyema miongoni mwa wanaCCM? Mhe Nnauye Jr najua huwa unapita humu unaweza kufafanua vizuri mambo haya hasa kanuni hiyo ilivyotumika kumuengua Dr Nagu.Hizo ni taratibu za kawaida ndani ya chama. Hakuna mwenye hati miliki ya uongozi.