Mbio za ubunge Igunga Dkt. Slaa, Zitto kuzindua kampeni; CHADEMA kutumia helikopta Igunga

Igunga ni ya CCM,
Tunawashukuru sana Chadema na CUF kwa kukuza demokrasia, wamekuwa na busara sana kuisindikiza CCM kutwaa jimbo lao!
 
Nani anaona jinsi ambavyo CCM imeanza kuhaha kushoto kulia kufuatia baraghumu la uchaguzi kumng'oa gwiji la ufisadi nchini, Rostam Aziz, na kule wao kupata fununu kuhusu kambi zima ya upinzani nchini pamoja wanaharakati kushirikiana kule Igunga?????????????

Shughuli pevu kwa CCM Igunga kutetea kiti chake!!!!!!!!!! Kifo cha CCM kutangaziwa Igunga hivyo HATUTEGEMEI TENA KUONA mikono ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama VIKITUCHAGULIA mwakilishi wa Igunga kama ambavyo ilivyowahi kulalamikiwa kwingineko huko nyuma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom