Magu kufuta mwenge ni ngumu kumeza, hili ni agano ambalo pia lilishiriki kwenye kampeni zake kama mnakumbuka vipeperushi na mabango yake yote jina lake kwenye herufi M kulikuwa na mwenge, na wakati mwingine mwenge ni uchawi kabisa na biblia ilishatufungua macho tayari, someni isaya 50:11 "tazama ninyi nyote muashao moto, mjifungiayo hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha; Mtayapata haya kwa mkono wangu, mtalala kwa HUZUNI."
Kweli kwa mwaka huu hawezi na inasemekana na kuna uzi humu unadai ni agano la watawala..labda inawezekana tuvute subira huyu Magu afanye yake..Nitamuheshimu Magu siku akilitupilia mbali hili dudu mliitalo mwenge, kwa sasa bado sana.
Kwa nini Mheshimiwa rais asiahirishe mbio za mwenge ili hizo pesa zitumike kwa maendeleo?
Mkuu hapa kwetu hela hizi zingewafaa wenzetu kule Dodoma..kenya wanakula funza i didn't know that.
swissme
Mwenge ni zindiko ambayo siri yake aliijua mwalimu tu na wachache aliowanong'oneza. Na siku mwenge ukifutwa ndio siku watanzania watakayojitambua, ndiyo siku wananchi watakayojua mabaya na mazuri wanayofanyiwa na viongozi wao. Katika hili sidhani kama kuna kiongozi wa nchi anayeweza kuufuta mwenge.Kweli kwa mwaka huu hawezi na inasemekana na kuna uzi humu unadai ni agano la watawala..labda inawezekana tuvute subira huyu Magu afanye yake..
Leten updates sasaHabari zilizotufikia chumba chetu cha tetesi na kuthibitishwa pasipo na shaka na timu ya uchunguzi imebaini mbio za mwenge mwaka 2016 zinatatajiwa kuzinduliwa mkoani Morogoro na Makamu wa Rais Samia Suluhu tarehe 18/04/2016. Uzi huu utakuwa maalumu kuleta yanayojiri kila sehemu kwa kuwa JF ipo kiganjani mwako