Mbio za Mbuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbio za Mbuzi

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kakalende, Sep 5, 2009.

 1. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Hii hotokea Bongo kila mwaka nimeikuta kwenye Blog ya BBC

  [​IMG]

  Aid worker Isla Gilmore snapped this in Tanzania. The goat race is an annual charity event, she said. "The goats don't really run - they have to be pushed." BBCNews Africa
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hiki ni kitu kizuri kama moja ya starehe lakini pia ni fund raising activity - infact ni Ascot ya TZ Lol maana hao mbuzi huwekewa dau..na wanapewa wasifu kama wale farasi wa kuleeeeeeeeeee mfano utaona wanasema Mbuzi xyz kutoka " stable" fulani, mwenyewe ni xyz.... aliwahi kushiriki mbio mara .... na alishinda mara......
  kwa kweli ni starehe ya aina yake lakini mwisho wa siku ni mapato yanayopatikana kupelekwa kusaidia a good cause."Kibaya" hapa ni kwamba waandaaji ni maTX walioko Tz ....I wish na watz tungeweza kuwa na creativity kama hii lakini ndo hivyo...majukumu na shughuli nadhani zinatuzidia.Wakati wenzetu weekend ni ya kupumzika kikamilifu na kustarehe, watz wengi hicho ndio kipindi cha kuhangaika kutafuta kipato cha ziada....anyway tuwapongeze wenzetu kwa ubunifu.
   
 3. M

  Mkereme JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 251
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  WomenofSubstance!

  Unanishangaza yaani unaita kufukuza mbuzi ni creativity? Hivi nyie waTZ mmepata huo wazimu kutoka wapi? Mimi nafikiri ingekuwa busara wakakimbizana hao watu weupe walioko kwenye back ground ingekuwa burdani tosha . Hivi kile chama cha kuzuia ukatili dhidi ya wanyama bado kipo au CCM walikibinafsisha?

  This is cruelity against animals basic rights. Of course we have been sexing the human rights sembuse haki za mbuzi who according to a swahili adage ''kamba shingoni ni stahili yake mbuzi''

  We are now quite a laughable stock kila kitu kinawashinda waswahili hata kula ? Usishangae ukakuta hao watu wenye rangi nyeupe wakawa ndo wafadhili na wanasudujiwa na hawa wapuuzi wanokimbiza hao mbuzi nina hakika hao mbuzi hawajapata hata maji ya kunywa ebu yaangalie mnatia aibu na kuleta kichefuchefu you big ******!!
   
 4. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  In what sense is racing goats as depicted in above picture tantamount to animal cruelty? Whose standards of animal treatment are you invoking? And what do you know about Goat Racing anyway?
   
 5. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi huyo mbuzi atakaeshinda anazawadiwa nini? Majani mengi zaidi au ndio kisu?
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Sep 7, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Zingekuwa mbio za Mbwa nadhani ndio ingeonekana kuwa Watz ni wastaarabu. Lakini kwa kuvumbua michezo na burudani zetu wenyewe inaonekana kama ni ukiukaji wa haki za wanyama.
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hii michezo Kibunango huipenda sana ngoja niPM
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  Sep 8, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Watalalamika sana tukianzisha mbio za kufukuza paka na panya. Subirini tu watu waandae kanuni zake.
   
 9. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Wacha vituko vyako wewe...:D
  BTW nashikia mbuzi aliyeshinda alifanywa ni asusa!
   
 10. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Mimi na rafiki zangu tulikuwa na mbuzi wetu kati ya mbuzi walioshiriki. It was a family day out, to have fun, drink and cheers to the goat races.

  At the end of the day, all the money goes to charity and they raised TZS 60M this year. There were 13 charity organisation named for this year's goat races which will benefit from the funds raised.
   
 11. M

  Mkereme JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 251
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Msaki!

  Something is wrong with you buddy. Hapa tunaongelea haki za msingi za wanyama but unakuja na porojo za charity. Kwa nini wewe na familia yako msingekimbizana kwa kuvaa magunia which is also creative na mngepata huo mchango after all unakopelekwa si tumboni tu. Stop using draconian and baseless tactiicts. Nataka uniambie mbona mnabaka haki za wanyama.

  Charity begins at home hicho kizazi kipya mwataka wapate mafinzo gani kwa kufukuza paka ,kuku etc!!! Au kwa vile hawana utashi ndio maana you are playing with them. Please watch out kama alivyo mtoto pia mbuzi wataka haki period!
   
 12. BooSt3D

  BooSt3D Senior Member

  #12
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33

  Racist intentions, It is amazing how we "Black" are the most racist human beings to date.

  [​IMG]


  Mi naona Mbuzi wote wana afya njema, sidhani kama they look unhealthy or thirsty,

  compare hao na huyu

  [​IMG]

  Hivi nikuulize,

  Unakula Nyama?, Do you use Leathery Goods/Upholstery?

  B.
   
  Last edited: Sep 9, 2009
Loading...