Mbio za IKULU za Ridhiwani zaelekea kugonga ukuta....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbio za IKULU za Ridhiwani zaelekea kugonga ukuta.......

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Apr 21, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,840
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Ridhiwan Kikwete
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,840
  Trophy Points: 280
  Kwa lipi ulilotufanyia Ridhiwani hata usimikwe kuwa MTEMI.....au cheo cha baba sasa kurithishwa mtoto?????????????????????
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,840
  Trophy Points: 280
  <table class="contentpaneopen" border="0"><tbody><tr><td class="contentheading" width="100%">CHADEMA: Tutahoji utajiri wa Ridhiwan </td> <td class="buttonheading" align="right" width="100%"> Send to a friend </td> </tr> </tbody></table> <table class="contentpaneopen"><tbody><tr> <td class="createdate" valign="top"> Thursday, 21 April 2011 08:17 </td> </tr> <tr> <td valign="top">

  [​IMG]Ridhiwan Kikwete

  Geofrey Nyang'oro, Singida
  KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk Willbroad Slaa amesema chama chake kinajipanga kuhoji kile alichodai utajiri mkubwa wa ghafla wa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji na pia Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM).

  Dk Slaa alisema hayo jana katika Kijiji cha Ikungi, mkoani Singida alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.

  Alisema anajua kuwa mjumbe huyo (jina tunalihifadhi kwa kuwa jitihada za kumpata kujibu tuhuma hizo hazikufanikiwa), licha ya umri wake mdogo hivi sasa ana fedha nyingi.

  Katika mkutano huo Dk Slaa alimtuhumu kuwa na utajiri uliopindukia ambao alisema haulingani na umri wake.

  Dk Slaa alisema chama chake kina shaka na wingi wa fedha alizonazo kijana huyo na kwamba atahakikisha kwamba kigogo huyo anaiambia Chadema na Watanzania alipozipata.

  Alisema kijana huyo alimaliza masomo yake muda mfupi uliopita, lakini tayari amekuwa bilionea akisisitiza kuwa chama chake kitahoji alipopata mabilioni hayo.

  "Ninajua kwamba ana fedha nyingi, lakini huyu alikuwa mtoto wa shule juzi tu. Leo amekuwa bilionea! Atatuambia amepata wapi hizo fedha, Chadema tutahoji ni wapi amezipata," alisema Dk Slaa.

  Dk Slaa pia alizungumzia kauli ya Rais Jakaya Kikwete kuwa kelele za wapinzani hazimnyimi usingizi na kusema watahakikisha halali.

  Mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya Chadema katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana alitoa kauli hiyo alipozungumzia ushindi wa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu akisema umeimarisha ngome ya upinzani bungeni.

  "Rais Kikwete alisema kelele za upinzani hazimnyimi usingizi, lakini kwa kumchagua Lissu mmeongeza nguvu ya upinzani na sasa hatalala," alisema na kuongeza:

  "Ujumbe wangu kwenu ni kwamba sasa mmemchagua mbunge jasiri anayeweza kumwambia Mwanasheria Mkuu wa Serikali, mbele ya Waziri Mkuu kuwa amekuwa mvivu kusoma."

  Alisema kutokana na ujasiri huo wa Lissu sasa miswada mibovu haitapelekwa bungeni.

  Awali, akizungumza katika mkutano huo, Lissu alisema Halmashauri ya Wilaya ya Singida imetenga fedha kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo akisema kuwa ni mara ya kwanza fedha hizo kutengwa huku akijigamba kwamba ni kutokana na wapinzani kubana mianya ya wizi.
  </td></tr></tbody></table>
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,840
  Trophy Points: 280
  Comments

  <center>1234567891011
  </center>


  0 #159 Sam 2011-04-21 19:26 Mtume Paulo aliwahi kuwauliza Wagalatia; "ni nani aliyewaloga nyinyi?"
  Paulo ilimbidi kuwauliza baada ya kuwaona wagalatia hawaelekei hata kidogo kuukubali ukweli halisi. Nimetumia mfano huu wa Wagalatia kwa sababu watanzania tumekuwa wapofu wa fikra kuliko hata hao Wagalatia wenyewe!!

  Unaweza vipi kumponda Dr Slaa kwa kuwataja mafisadi kama Ridhiwani kama wewe si Mgalatia? Uliyeamua kuukataa ukweli kwa makusudi huenda kwa faida binafsi au kwa chuki binafsi dhidi ya watanzania maskini wanaoteseka kutoka na maumivu yanayoletwa na hili Joka la kijani la kujivua magamba.

  Sote tunaikumbuka ile orodha ya mafisadi ya mwaka 2007 pale Mwembeyanga, wengi tulisema hizo ni fitina tu za kisiasa za Dr Slaa, lakini ukweli leo uko wapi?
  Wale wote waliotajwa na Dr Slaa kuhusika na ufisadi leo wamedhibitika kuwa ni mafisadi na hata CCM wenyewe sasa wamekubali kweli ndani mwao kuna mafisadi. Kama Sio Slaa kuwataja hao mafisadi (list of shame) leo wala CCM isingetamka inajivua magamba!
  Kati ya wale waliotajwa kuwa mafisadi hakuna hata mmoja aliyethubutu kwenda mahakamani kudai kuchafuliwa jina!!!
  Wengine waliamua kuikimbia nchi na kupotelea visiwa vya Malta (Balali) huku watanzania tukiambiwa jamaa kafa!!
  Wengine kina mramba, yona na mgonja wana kesi mahakamni mpaka sasa, japo kesi yenyewe ni mchezo mwingine wa kuigiza wa CCM na serikali yake. Mkapa alinyang'anywa ule mgodo wa Kiwira aliojiuza akiwa ikulu kufuatia shinikizo kubwa na kushindwa kuuendesha, japo mwanzoni alikana sana kuwa mgodi si wake.
  Chenge (Mzee wa vijisenti) mpaka waingereza wanasema huenda ameshiriki katika rushwa ya rada, baada ya shirika la makosa makubwa ya wizi (SFO) kugundua kaficha mihela ya nguvu (yeye mwenyewe anaita hayo mamilioni vijisenti- t u s i kubwa sana kwa mtanzania maskini)huko New Jersey Uingereza
  Sasa wewe unayeendelea kumbeza Slaa, endelea tu, pengine unafanya hivyo kwa maslahi binasfi au pengine ni kwa sababu ya ushabiki tu na uzeze ta wako!
  Quote

  +1 #158 LENGAI 2011-04-21 18:45 Mimi nadhani Watanzania imefika wakati tuheshimu maoni ya watu wengine na pia hoja zinazotolewa na viongozi wa Siasa. Huyu Ridhiwani amekuwa Fisadi Papa kwa mda mfupi sana. Fedha za Watanzania zinazokuja kwa msaada kutoka nje Mama na Baba wameamua kumpa mtoto wao kuanzisha miradi mbali mbali ili wao wasijihusishe katika biashara.Uzuri mmoja anao marafiki na wameshatoa siri zake zote.Kule Arusha kulikuwa na viwanja vinagawiwa na masispaa Ridhiwani akapewa viwanja zaidi ya 40 tena vyenye ukumbwa sio chini ya Ekari 10 - 30. Inasikitisha kuona mtu mmoja napewa viwanja zaidi ya 20 wakati watu waliotoa hela zao ili kupewa viwanja wanakosa.Ridhiwani anajenga mahoteli kule Ngorongoro. Ridhiwani amenunua shamba kubwa sana lilikuwa la mzungu kule Tengeru.Huu ni ufisadi mkubwa sana.Wacha wanaopinga wapinge lakini hatuna mda mrefu yaliyowapata Hussein Mubarakah na wanawe yatafika Tanzania. Unajua bwana Kiongozi ukiiba kuwa mstaarabu. Usikejeli waliokupa kura.Usiache kusaidia wananchi hata kwa huduma ndogo ndogo. Tanzania sasa hivu tusiokuwa viongozi wa CCM tunaumbuka. Unafanya kazi usiku na mchana lakini kwa kuchumia tumbo.Hii hatukubali. Mimi sitetei Ukristo wala siko kuttea Uislamu. Najibu hoja za wenzangu kutetea masikini wenzangu ambao kodi zetu tunazolipa hazitufikii kwa kupata huduma. Kodi zetu zinaneemesha watoto wa wakubwa. Ridhiwani anao utajiri mkubwa sana. Hii inatisha, na kwa hili hatuwezi kunyamaza.
  Quote

  +2 #157 ELIANGIRANDUYASIYA 2011-04-21 18:36 Unajua watanzania wengi wanaikubali Kuwa CHADEMA ndicho chama Tawala japokuwa hakiongozi kutokea ikulu bali kwenye mioyo wa watanzania wenye mapenzi mema na nchi hii

  Hebu cheki TBC1 siku hizi wanavyo jaribu kualika watu wa kila aina kwenye mahojiano yao asubuhi kuipiga vita matamko ya chadema

  Mara viongozi wa dini, mara sijui Sofia simba mara Wasira, mara sijui nani na wote ukiwatizama choka mbaya nahuwa tunapishana nao huku mtaani hasa yule jamaa aliye kuwa kwa mahojiano leo asubuhi pamoja na mtangazaji wake walinibooa kweli.

  Dr twende kazi fungua matafu tangaza sera zachama kusanya kadi za ccm tia moto

  Tuko pamoja
  Quote

  +1 #156 Kuntry BOY, 2011-04-21 18:13 Quoting shuma:
  Naomba nami nichangie katika hili japo kidogo tu.
  Ujue ndio maana mimi huwa nasema Watanzania tumelaaniwa. Watu humu ndani wanachangia mada kiholela (kama ambavyo wabunge wao) wanavyochangia kule mjengoni. Watu hawaelewi anachokisema Dr. Slaa ama anachokitaka. Tanzania na rasilimali zake ni kwa ajili ya watz wote, sasa iweje leo mtu mmoja anamiliki pesa nyingi kiasi cha kutisha ukilinganisha na historia yake? Na pia wengi hawajui kazi ya Dr. Slaa akiwa ni mwanasiasa wa upinzani, kazi yake ni kufichua maovu yanayofanywa na baadhi ya viongozi wasio waadilifu. Muangalie mwananchi wa kipato cha chini kule kijijini sigimbi maisha anayoishi, muangalie mwananchi masikini maisha anayoishi!! Hivi huna huruma wewe??? Nasema watz tumelaaniwa kwani badala ya kumpa support Dr. ikibidi hata kwa maandamano mtu anakaa kutetea u[NENO BAYA] wa viongozi waovu!! Alichonacho huyo mtoto wa kikwete pengine kiasi kingine kilifaa kiwe cha kwako wewe au mtz mwngine yeyote. Inauma sana kuona watu hawachuki hatua!!! Angalia kule Kenya watu wameingia barabarani (Kwa amani kabisa) kuiambia serikali na wafanyabiashara kuwa "mnatuumiza" na hizi bei za vitu na vyakula. Hapa kwetu kwa sasa mfano kanda ya ziwa mafuta petrol ni Tsh 2100-2400 kwa lita moja!! Sukari bei sh 2000 kwa kilo moja, mswaki ni sh 2000-5000!!! Sasa akiongea Dr badala ya kumsupport unaleta mambo ya ajabu!! Fikira, tumia akili yako vizuri na ufanye maamuzi sahihi. Sisi tutapigania kuisaidia Tz na watz...kwa kuanzia tunajipanga kufanya maandamano ya kupinga ongezeko la bei za bidhaa. Ukitaka amka usipotaka endelea kulala...Wanatoaje magamba kama hamna uchafu? Ungejua hata hiyo kuvua magamba ni dr. huyo huyo amesababisha usingekuwa unaropoka hapa. Hata hivyo magamba humea tena.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki dr. Slaa.....​
  Shuma nakusapport 100%...wengi wanaompinga ni washabiki wa ccm hawafikiri kiundani anachokisema ila ni ushabiki tu ndo unatoa majibu.naelewa ni haki yao kama raia lakini nigependa kuhoji wao katika family tree zao hakuna anayeathirika na hali iliyopo sasa. am sure wapo, wakisema hawapo wao ni waongo maana huwezi kua ukoo mzima ni matajiri... [​IMG]
  NAWAKILISHA MISSISSIPPI
  USA.
  Quote

  +1 #155 kiota 2011-04-21 18:08 Hongera sana Slaa. Ungeongea haya wakati wa uchaguzi ingekuongezea kura. Watu kama Ridhiwani pamoja na wanasiasa wengine wanaokuwa matajiri overnight ni muhimu kuwavalia njuga. Hawa ndio wanaotumiwa na wawekezaji bandia kuipora nchi. List yao itengenezwe ili wachunguzwe na kutoa maelezo juu ya utajiri wao, au wasubiri kiama chao mapinduzi kama ya Misri yatakapopiga hodi Tanzania.
  Quote

  -3 #154 fellaman 2011-04-21 17:25 WE disfigured slaa unadhani huyo demu kumkacha mumewe kuja kwako ni nini ? ukiwa rais ulaji kwake mpaka kwa shemeji zako unafikiri unapopita kuomba pesa kwa ajili ya kutembea watu wanakupa bure in any way watu wanawekeza hii ndo siasa ya Africa, kumpeleka mtu kwa Ridhwan tu kuonana nae ni pesa,kafanikiwa haja fanikiwa its up to him. hivyo hivyo ukiukwaa nawe itakuwa hivyo japo ndo upo ktk harakati ya kupata mtoto ktk umri wako lakini mashemeji zako watakula dill
  Quote

  -5 #153 2pak hit em all 2011-04-21 17:12 Unafiki na fitina si siasa tunazohitaji leo,wa bongo wote ni watu wa dill ukipata chance unaitumia Big Ridhwan sina habari kama uko na chapaa kiasi kwamba mtu anweza kufanya uwe ndo mgongo wa kupata umaarufu, napika dill ikivaa najuwa ten% what need is chapaa, how to get it ? connection...ha.hahaa ankara
  Quote

  +3 #152 Edijoe 2011-04-21 16:57 Sory Wivence km nimekutusi sometime huwa nakuwa na hasira hasa pale Mtanzania anapotetea ubadhilifu unajua ngoja nikwambie huyo unayemtetea ungekuja huku meru ndio ungeona jinsi wananchi walivyonyimwa viwanja na huyo mzandiki, fisadi na mnyang'anyi alivyopewa viwanja ambavyo kaya zaidi ya elfu tano zingekaa kapewa kisa baba yake rais hivi bd utamtetea huyo mtu. Mi sipendi kumtetea mtu ila anapotoa upofu wtu tumsapoti hata km ana mapungufu. Huyu ndiye aliye tuzindua kuhusu EPA, RICHMOND , MEREMETA Na mengine hebu watanzania tuwe na fadhila hasa we Wivence kwa kumsapoti na siyo kukashifu. elewni huwa napata hasira nikiona babu yabgu mkwawa alivyopigania uhuru hadi akaamua kujiua hakutaka kuwapa wakoloni. Lakini kina Ridhiwan wankuja kutumia bila jasho kwa kutulalia watanzania halafu jitu linasimama na kumtetea.
  Quote

  +2 #151 kisu kikali 2011-04-21 16:57 wewe washawasha.Wewe nakujua sana sana.wewe ndio fisadi wadogo wadogo kwani vumbi la fedha za ridhwani unapata nakujua sana.funga mdomo muda wenu umefika mtakaa na njaa sana.TUMEWAGUNDUA .MUDA NI HUU WATANZANIA KUWANGOA WAPAMBE NA WALE WAANAOPATA VUMBI.KATAPILA LINAKUJA.TUNAKUJA NYUMBANI.NA WALE WANAOSOMESHWA NA PESA ZA KIFISADI TUTAPAMBANA NAO HUHKU HUKU.SISI TUNASOMA KWA PESA ZETU TU TUNAFANYA KAZI NA KULIPA SHULE.HAPA MPAKA KIELEWEKE.MUNGU ENDELEA KUONYESHA MADHAMBI NA WANANCHI WASIKATA TAMAA "TUINGOE SERIKALI YA KIFISADI .WAKO HOIIIIIIIIIIIII IIIIIIIIIIII ,HAOOOOOOOOOOOO OOOOOOOO.CHOKA MBAYA.ETI TUNAJISAFISHA .NYOKA NI YULE YULE NDUGU ZANGU WATANZANIA.HIYO NI PIPI WANAKUPENI.TUKOMAE MPAKA WANG'OKE SAWA.
  Quote

  +3 #150 mwana wa africa 2011-04-21 16:56 KWA KWA IRAMBA KUMCHAGUA LISU (MB) NI ISHARA NJEMA YA MAGEUZI YA FIKRA KWA WATANZANIA WENGI! NI WAZI KUWA MCHANGO WAKE BUNGENI UTAKUWA NA CHANGAMOTO NYINGI KWA SERIKALI.
  Quote

  +1 #149 mamvula 2011-04-21 16:35 Quoting Washawasha:
  Quoting resu:
  WE SLAA HUNA HOJA NYINGINE ZAIDI YA HIZO?TUMECHOSHWA NA UTUMBO UNAOUTOA KILA SIKU BILA KUTHIBITISHA.NAJUA ROHO INAKUUMA SANA KUONA WENZAKO WAKIENDELEA.OFISI NYINGINE ZA CHADEMA HAZINA HATA VITI VYA KUKALIA WAKATI WEWE UKIANGAMIZA MAMILLIONI YA PESA KWA KUBADILI MADEMU.ACHA ROHO MBAYA!​
  HE!!! WE [NENO BAYA] UMETOROKA LINI MIREMBE!!!??? KAA KIMYA KAMA HUNA HOJA,KAMA HUJUI SLAA ANAVYOSAIDIA WATANZANIA KUTAMBUA MAOVU YA CCM NA SERIKALI YAKE BASI KAPATE DOZI TENA MILEMBE,MAKALIO YAKO,NYANG'AU MKUBWA!!!!!​
  Quoting Washawasha:
  Quoting resu:
  WE SLAA HUNA HOJA NYINGINE ZAIDI YA HIZO?TUMECHOSHWA NA UTUMBO UNAOUTOA KILA SIKU BILA KUTHIBITISHA.NAJUA ROHO INAKUUMA SANA KUONA WENZAKO WAKIENDELEA.OFISI NYINGINE ZA CHADEMA HAZINA HATA VITI VYA KUKALIA WAKATI WEWE UKIANGAMIZA MAMILLIONI YA PESA KWA KUBADILI MADEMU.ACHA ROHO MBAYA!​
  HE!!! WE [NENO BAYA] UMETOROKA LINI MIREMBE!!!??? KAA KIMYA KAMA HUNA HOJA,KAMA HUJUI SLAA ANAVYOSAIDIA WATANZANIA KUTAMBUA MAOVU YA CCM NA SERIKALI YAKE BASI KAPATE DOZI TENA MILEMBE,MAKALIO YAKO,NYANG'AU MKUBWA!!!!!​
  acha dr awasaidie watanzania wasiojua,acha kuleta hoja zisizona maana
  .kama slaa angekuwa muongo ccm msingejivua magamba,na bado mpaka mjivue na nyama maku.....nyie
  Quote

  0 #148 Washawasha 2011-04-21 16:20 Quoting resu:
  WE SLAA HUNA HOJA NYINGINE ZAIDI YA HIZO?TUMECHOSHWA NA UTUMBO UNAOUTOA KILA SIKU BILA KUTHIBITISHA.NAJUA ROHO INAKUUMA SANA KUONA WENZAKO WAKIENDELEA.OFISI NYINGINE ZA CHADEMA HAZINA HATA VITI VYA KUKALIA WAKATI WEWE UKIANGAMIZA MAMILLIONI YA PESA KWA KUBADILI MADEMU.ACHA ROHO MBAYA!​
  HE!!! WE [NENO BAYA] UMETOROKA LINI MIREMBE!!!??? KAA KIMYA KAMA HUNA HOJA,KAMA HUJUI SLAA ANAVYOSAIDIA WATANZANIA KUTAMBUA MAOVU YA CCM NA SERIKALI YAKE BASI KAPATE DOZI TENA MILEMBE,MAKALIO YAKO,NYANG'AU MKUBWA!!!!!
  Quote

  +2 #147 luice 2011-04-21 16:09 slaa ongeza mapambano wewe ndiye rais wa kweli.
  Quote

  +1 #146 Mburu 2011-04-21 16:04 Mi mwislam ila nachoshangaa ni u[NENO BAYA] wa waislam wenzangu na viongozi wao [NENO BAYA],hamjui km kutetea ufisadi ni dhambi? Mnashabikia u[NENO BAYA] tu,Dr Slaa si mtu wa kukurupuka kama nyie ana ushahidi si nyie wavivu wa kufikiri,mnasub iria mmwezi wa ramadhan ridhiwan awape kanzu,angalieni maisha ya ndugu zenu huko kijijini yalivokua ya shida si kuendelea kuwapotosha.Wanaharakati wenzangu msikate tamaa
  Quote

  +5 #145 SAFARI 2011-04-21 15:50 Hata Misri ilianza hivi watoto wa raisi kuwa kama Miungu kwa sababu ya ukubwa wa baba zao.Unajua Kambarage pamoja na sera zake za ujamaa kushindwa ila kwenye swala la kutofautisha uraisi na maisha ya watoto wake alifanikiwa sana ndio maana siku ya kifo chake Tanzania nzima ilizizima.Tunataka kiongozi atakayeweza kutofautisha madaraka yake na familia yake asiwe kama Mkapa, Mwinyi, Gadafi,Kikwete, Ben Ali na wengine kama hao.Tunataka kiongozi asimamie raslimali za nchi kwa ushapavu asiye honga watu wamsifie, wa kurubuni magazeti ya mpigie debe, Tunataka kiongozi mwenye uchungu na huruma na Watanzani wote.
  Ridhiwani kama kweli lisemwalo ni kweli acha mara moja la sivyo utajitengenezea maisha mabaya sana baada ya baba yako kutoka madarakani labda awe kama Gadafi...
  Quote  <center>1234567891011
  </center> Refresh comments list

  Add comment
   
 5. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Naomba nione Mafisadi wote wakifikishwa mahakamani na kuishia gerezani wote kama ilivyotokea misri
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Chifu mwakalile- wanyakyusa mpo?!
   
 7. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Aibu kubwa sana kwa watani zangu wanyakyusa kumsimika uchifu mwizi wa mali za umma.
   
 8. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona na pete kubwa kutoka kwa mlinzi wa baba yake.
   
 9. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Huyu ananyenyekewa kama mfalme I hope he will one day in few years to come become the president of Tanganyika
   
 10. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani na yeye anandoto hiyo?
   
 11. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Hivi kaanza lini na yeye kuvaa Hiyo Mipete yao?
   
 12. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Ha ha haaa, huyu mlinzi kumbe analinda familia nzima!!:spy:

  [​IMG]
   
 13. Blacksmith

  Blacksmith Member

  #13
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa busara zipi alizonazo?
   
 14. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  za kutoka kwa shekhe yahya
   
 15. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Haaaa haaaa! Unamaanisha Sheikh Yahya?
   
 16. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  aah! ushamba tu kaka. bado kuna watu wapo nyuma sana kifikra kwasababu kiukweli utemi ni cho chenye mashiko mengi na ya muhim.
  sasa huyu kafanya nini!!!!!!!??
  lakini ndokwanza watu flani flani wanamshobokea kama nini!
   
Loading...