Mbio za 29 za mwenge wa Uhuru kumaliza siku 150 na wilaya 150 kesho Wilayani Chato | Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mgeni rasmi

Mbio za 29 za mwenge wetu wa Uhuru kumaliza siku 150 na wilaya 150 kesho Wilayani Chato | Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mgeni rasmi​

" Mama Samia Karibu Chato "​

Mtakumbuka Mwenge wetu wa Uhuru uliwashwa rasmi tarehe 17|05|2021 Makunduchi Zanzibar na Kesho tarehe 14|10|2021 Mwenge wa Uhuru Utafikia kilele chake Mkoani Geita ikiwa ni baada ya kumalizika kwa siku 150 za matembezi yake bara na Visiwani katika Wilaya za kiutawala 150 hakika ni jambo la kupongezwa,

Mgeni rasmi atakuwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ( Chief Hagaya ) atakayeambana na Waziri Mkuu wa JMT Mhe Khasim Majaliwa Majaliwa pamoja na viongozi wengine mbalimbali wa vyama na Serikali,Kilele hicho asubuhi kitatanguliwa na Misa Takatifu ya kuwaombea Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa hili pamoja Rais wa awamu ya Tano Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli na baadae shughuli itaendelea katika Uwanja wa Magufuli Chato Walioko v
Viunga vya Geita karibuni sana kesho,

Katika hatua nyingine Mwenge wa Uhuru kabla ya kuhitimisha kilele chake umezindua Jumla ya miradi mikubwa 52 mkoani Geita,Kiongozi wa mbio hizi za Mwenge wa Uhuru Kitaifa ni mwanamama Lt Josephine Mwambashi akisaidiwa CPL.Hafidhi Shaban, CPL. Mohamed Mbegu, CPL. Rehema Haji,Pte. Dismas Mvula na Lt Jofrey Juma Vijana hawa wanastahili pongezi kubwa na kwahakika tumeuona Uzalendo wao kwa Taifa lao walikuwa wakali kama nyuki Pindi wanapokuta miradi ya maendeleo ya Serikali haiko sawa hakika wanastahili,

Hitimisho hili limetanguliwa na siku nane ( 8 ) za kongamano la Vijana na hapa kipekee kabisa naomba niwapongeze sana Mhe Jenistha Muhagama Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Pamoja na Mhe Patrobas Katambi|Ummy Nderiananga manaibu wake kwa kulifanya kongamano la vijana kuwa lenye tija kwa Geita na Taifa kwa Ujumla wake,Miongoni mwaviongozi Mawaziri wakujivunia kama Taifa ni hawa watu watatu may The almighty God bless them wanajituma sana watu wa Geita watakubaliana na Mimi 100%

Kama Taifa tuendelee kuwaombea pumziko la milele Hayati Dk John Pombe Magufuli,Hayati Dk Benjamin Mkapa na Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere,

NB, Weka comment yako hapo chini ukituelezea wewe unamuenzi Hayati Rais yupi na kwa lipi?
Karibu sana Chato utupe mko mpya mama,
Tumefurahi sana
 
Safi Sana Crde,

Karibu Chato sana mama Samia,

Hongera sana Mama Jenista na team yako
 
Mungu wrehemu mahayati wetu
 
Back
Top Bottom