Ruwamangi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 944
- 1,666
Mkuu habari, nimejaribu kuingia kwa PM yako naona kuna kofuli! Naomba unifungulie mkuu nina shida na weweHamia mjini mkuu
Mkuu habari, nimejaribu kuingia kwa PM yako naona kuna kofuli! Naomba unifungulie mkuu nina shida na weweHamia mjini mkuu
Unamjua Nungu nungu wewe?Simba huwa anajiuliza mara mbili mbili Kwa Tembo na Faru tuuu, tena wale wakubwa, wengine wote wanachapika fresh tuu
Sikiliza, tafuta sumu tu kama hutaki kuwala, itege mahali.Jamani, hakuna kwenye uzoefu?
Mkuu huwa nakumbana na adha za hawa wanyama,na niwengi sana huku liwale maeneo ya mpiga miti,njia ambayo huwa natumia kupambana nao ni kutumia mavi ya mbuzi ambapo huwa nayazungushia shamba kwa mafungu,nguruwe hawezi kusogea maana huhisi kama ni harufu ya simba,hivyo watahama.Nguruwe Pori ni moja ya wanyama wenye uharibifu mkubwa kwenye mazao.
Ni zipi mbinu rahisi za kuwadhibiti wanyama hawa?
Machicha ya gongo ni kitu gani mkuu?Sikiliza, tafuta sumu tu kama hutaki kuwala, itege mahali.
Au, tafuta machicha ya gongo yale yanalewesha vibaya sana. Utawakamata vizuri sana kisha utawafanya unachotaka. Hii mbinu itakusaidia hata kwa ndege waharibifu kama kanga na kware
Nipigie 0625750755 nikuelezeeMachicha ya gongo ni kitu gani mkuu?
Hivyo ni viumbe viwili tofauti, nguruwe wa kufugwa ana wenzake wa kufanana naye nao ni nguruwe pori na ngiriHvi nguruwe Pori ndo wale warthog or pumba , sjui ndo ngiri .... Moja ya wanyama watamu Sana Kwa Simba au chui
Hapana mkuu nguruwe pori ni bush pig. Pumba au ngiri ndio warthog. Neno pumba limekuwa maarufu hata kwa wazungu kutokana na movie ya lion king ambayo waliishoot kwenye Serengeti ecosystem. Pumba kwa maana rahisi ni with little intelligence.Hvi nguruwe Pori ndo wale warthog or pumba , sjui ndo ngiri .... Moja ya wanyama watamu Sana Kwa Simba au chui
Achana na documentary.Ni mara chache Simba na kiboko wakakutana , sababu mda mwingi kiboko yupo ndani ya maji, Ila imeshuhudiwa mara Kwa mara kundi la Simba wakimshambulia kiboko , Tembo na Faru ni aggressive thus why ni nadra Sana Simba huwa serious dhidi Yao japo ikibidi Simba huwa hawana simile wanazichapa Tu fresh , na hapa Simba lazima wawe kundi.....
Kuna kitu kinaitwa hofu , wanyama wengi porini Wana hofu dhidi ya Simba , ndo mana unaweza kuta kundi la nyati hata hamsini wanakimbizwa na Simba mmoja , Kwa akili ya kawaida unawaza wanashindwaje kumchangia na kumpiga kuliko kukimbia....
Huyo nguruwe Pori sjui ndo ngiri ni chakula kitamu mno Kwa Simba , na Simba hatishiki hata kidog..... yeye mwenyewe akimuona Simba anachora speed ya mwanga
Sasa mkuu documentary yangu na ulichokiandika kinatofauti gani boss ? Mimi nimeongelea in generally we umegusia sababu , ni mara kadhaa Simba wameshuhudiwa wakimshambulia hippo tena wakiwa kundi , japo ni kweli wanyama wakubwa huwa sio priority ya Simba , ni nadra Simba kumkuta akimshambulia Faru au Tembo mkubwa sababu hawa wanyama ni aggressive Sana inland , hippo akiwa inland anakuwa sio strong kama akiwa majini thus why mara kadhaa amekuwa victim Kwa kundi la Simba wenye njaa......labda uamue kupinga Tu bossAchana na documentary.
Wanyama wala nyama kama simba na chui hua hawawezi kujihatarisha kupambana na mnyama anayeweza kuwadhuru unless ndiyo imekua hamna namna kwahiyo hata nyumbu, nyati, fisi, kwao siyo chaguo la kwanza.
Chaguo la kwanza hua swala, pundamilia, pofu, hao nguruwe pori n.k. kusema kwamba simba wanaweza kujipanga ili wamshughulikie Kiboko aisee ni hatari hii. Mamba mwenyewe, a deadly predator, hajamuweka kiboko kama chaguo la kwanza la chakula. Na anaishi naye humo humo kwenye maji.
Waislam wengi huwa wana namna ya kuwatega na kuwakamata, tena wakiwa hai
Labda watatusaidia
KabisaWanaruhusiwa kuwala ngiri??
Wadudu Handsome!!Hawa wadudu ni laana, uwasikie tu.
Warthog ni ngiri...Hvi nguruwe Pori ndo wale warthog or pumba , sjui ndo ngiri .... Moja ya wanyama watamu Sana Kwa Simba au chui