Mbinu zinazofanywa na CCM huenda zikawagharimu

shige2

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
8,106
3,967
Mbinu ama mchezo wanaotumia CCM katika kupata wanachama {VIONGOZI} toka vyama vingine vya UPINZANI na hasa Chadema huenda kukawagharimu siku zijazo.

Kuna wakati hata mimi niliandika juzi juzi humu kuwa huenda wananchi wa KAWAIDA wakajiunga na CCM na nikatoa sababu nilizokuwa nimeziona mimi mwenyewe.

Hata hivyo baada ya kutazama kwa makini kwa jicho la tatu naona kuwa mbinu zinazotumiwa na CCM/ na pengine CHADEMA huenda kikakigharimu chama cha CCM vibaya sana.

Nasema hivyo kwa sababu Strategists wao{ CCM} /Wanamikakati wao sijui kama wanaliona hili.

Hasa wakati VIONGOZI wa vyama vya upinzani, iwe ni Madiwani, sijui ma nani WANAPOKELEWA
kwa nderemo bila kujua kama ni KWELI wanakiamini chama cha CCM kwa mioyo yao yote ama WAMETUMWA na kupata baraka za CHADEMA ili kui infiltrate/ Kujiingiza KAMA wanachama wa CCM.

Na kumbe UTIIFUwao/Allegiance yao INGALI Chadema ila wako humo kwa kazi maalumu hadi uchaguzi mkuu.

Mchezo huu ujulikanao kwa lugha ya kiingereza kama ENTRYISM ama ENTRISM hutumiwa sana duniani kama silaha na VYAMA mbali mbali vya KISIASA ili KUHARIBU CHAMA KINGINE.

Mfano mzuri. Miaka ya 90 Rais Moi wa Kenya alikurupuka akampa Raila waungane na chama chake cha NDP na kumpa cheo kuwa KATIBU MKUU wa chama cha KANU.

Akisahau kuwa Raila alikuwa hajasahau jinsi ALIVYOMFUNGA gerezani miaka mingi na kumtesa sana. Raila akawambia wafuasi wake waingie KANU huku akiwa na lengo la ENRTYISM strategy.

Baada ya Muda Raila ALIKIVURUGA chama cha KANU mpaka KIKAFA.

Chama kilichotawala miaka zaidi ya miaka 30 KIKAHARIBIWA kwa muda wa MIEZI 3 tu.
Na mwishowe KIKAONDOLEWA MADARAKANI.

Hiyo yaweza kuwa ni Case study kwa viongozi wa CCM.

Mbinu hizi hufanywa na chama chochote kile iwe ni chama Tawala ama upinzani.

Hasa kama wanamikakati wao/Strategists wao ni SMART na wanajua KUSUKA mbinu kali kuwapiku wapinzani wao.

Mara nyingi dhumuni kubwa la ENTRYISM ni KUJIUNGA kwa wingi na kuhamasisha watu MAALUMU wenye USHAWAISHI mkubwa kujiunga katika chama KIKUBWA kinacho wazidi nguvu kama CCM nakujifanya wao ni CCM kabisa huku wakiwa na moja kichwani.

NIA KUBWA huwa ni KUBADILI MAMBO fulani kama vile SIASA, MIFUMO,SERA, MWELEKEO na kukifanaya chama FULANI kikose SIFA.Na mwisho KUKIUA kabisa.

Wakati mwingine huwa na LENGO MAALUMU la kuwagawanya ama KULETA mitafaruko ndani ya Chama kwa manufaa ya chama chao.

Swali?
Je CCM wanazielewa FIKA mbinu za CHADEMA?
Na kama ni NDIYO kwa KIASI gani?
Wanapopokea viongozi wa upinzani na kuwaweka MSTARI wa mbele bila PROPER vetting?

Je wanajua kweli MADHARA yake ama ni kuona tu wamepata SAMAKI wakubwa bila kujua ni nini kilicho nyuma ya pazia?

Je wanaijua ENTRYISM strategy ya CHADEMA?
Basi ikiwa hii itakuwa ni STRATEGY ya CHADEMA yaani wanapoombwa kujiunga na CCM toka kwa viongozi wa CCM wanajuaje kama HUOMBA RUHUSA kwanza toka kwa VIONGOZI wao? NAKURUHUSIWA kwa lengo FULANI ndani ya CCM kwa ajili ya 2020?

Basi ikiwa ni moja ya mbinu za CHADEMA, hapo nitakuwa niwewavulia KOFIA kabisa WANAMIKAKATI /STRATEGISTS wao.

Kwamba hawa jamaa wana STRATEGY noma sana.
Nakumbe si kuwa wamelala kama wengi tulivyokuwa tunafikiri.

Na kama hizi ni mbinu zao za kuwafanya VIONGOZI mashuhuri wa CHADEMA WAINGIE/DEFECT kwenda CCM basi watakuwa WAMEWAWEKA CCM katika hali ngumu sana ifikapo ama IKARIBIAPO 2020.

Maana hao wanaohamia CCM na kupewa UMAARUFU tayari watakuwa na influence/USHAWISHI
MKUBWA chamani na wanaweza kuwaletea MAMBO ambayo yatawafanya CCM KUJILAUMU na kulaani kwa nini hawa kuwahakiki/Vet kabla yakuwapa nyadhifa.

Maana siasa ni MBINU na si KUKIMBILIA mtu kumtanguliza mbele bila kujua ni nini hasa KILICHOMLETA huyu mtu ndani ya CCM.

Narudia tena kama mchezo huu ama mbinu hizi zina baraka za CHADEMA basi hapo nawavulia kofia kuwa wanajua KUSUKA mbinu.
 
Hahaha wewe ndio unaenda kulala nadhani akili yako imechoka. Eti mbinu, polisi,mahakama,magereza, TRA,,Takukuru, Ma DC, Tume ya uchaguzi, hao wote wanaifanyia kazi ILANI ya chama wewe unasema mbinu hahaha.
 
Mbinu ama mchezo wanaotumia CCM katika kupata wanachama {VIONGOZI} toka vyama vingine vya UPINZANI na hasa Chadema huenda kukawagharimu siku zijazo.

Kuna wakati hata mimi niliandika juzi juzi humu kuwa huenda wananchi wa KAWAIDA wakajiunga na CCM na nikatoa sababu nilizokuwa nimeziona mimi mwenyewe.

Hata hivyo baada ya kutazama kwa makini kwa jicho la tatu naona kuwa mbinu zinazotumiwa na CCM/ na pengine CHADEMA huenda kikakigharimu chama cha CCM vibaya sana.

Nasema hivyo kwa sababu Strategits wao{ CCM} /Wana mbinu wao sijui kama wanaliona hili.

Hasa wakati VIONGOZI wa vyama vya upinzani, iwe ni Madiwani, sijui ma nani WANAPOKELEWA
kwa nderemo bila kujua kama ni KWELI wanakiamini chama cha CCM kwa mioyo yao yote ama WAMETUMWA na kupata baraka za CHADEMA ili kui infiltrate/ Kujiingiza KAMA wanachama wa CCM.
Na kumbe UTIIFUwao/Allegiance yao INGALI Chadema ila wako humo kwa kazi maalumu hadi uchaguzi mkuu.

Mchezo huu ujulikanao kwa lugha ya kiingereza kama ENTRYSIM ama ENTRISM hutumiwa sana na VYAMA vyote vya KISIASA.

iwe ni chama Tawala ama upinzani. Hasa kama wanambinu/Strategists wao ni SMART na wanajua KUSUKA mbinu kaliili kuwapiku wapinzani wao.

Mara nyingi dhumuni kubwa la ENTRYISM ni KUJIUNGA kwa wingi na kuhamasisha watu MAALUMU wenye USHAWAISHI mkubwa kujiunga katika chama KIKUBWA kinacho wazidi nguvu kama CCM nakujifanya wao ni CCM kabisa huku wakiwa na moja kichwani.

NIA KUBWA huwa ni KUBADILI MAMBO fulani kama vile SIASA na kukifanaya chama FULANI kikose SIFA.
Wakati mwingine huwa na LENGO MAALUMU la kuwagawanya ama KULETA mitafaruko ndani ya Chama kwa manufaa ya chama chao.

Swali? je CCM wanazielewa FIKA mbinu za CHADEMA? Na kama ni NDIYO kwa KIASI gani?wanapopokea viongozi wa upinzani na kuwaweka MSTARI wa mbele bila PROPER vetting,

Je wanajua kweli MADHARA yake ama ni kuona tu wamepata SAMAKI wakubwa bila kujua kilicho nyuma ya pazia?

Je wanaijua ENTRYSIM strategy ya CHADEMA?
Basi ikiwa hii itakuwa ni STRATEGY ya CHADEMA yaani wanapoombwa kujiunga na CCM toka kwa viongozi wa CCM wanajuaje kama HUOMBA RUHUSA kwanza toka kwa VIONGOZI wao? NAKURUHUSIWA kwa lengo FULANI ndani ya CCM kwa ajili ya 2020?

basiikiwa ni moja ya mbinu zaa CHADEMA, basi hapo nitakuwa niwewavulia KOFIA STRATEGISTS wao kwamba hawa jamaa wana STRATEGY noma sana.
Nakumbe si kuwa wamelala kama wengi tunavyofikiri.

Na kama hizi ni mbinu zao za kuwafanya VIONGOZI mashuhuri wa CHADEMA WAINGIE/DEFECT kwenda CCM basi watakuwa WAMEWAWEKA CCM katika hali ngumu sana ifikapo ama IKARIBIAPO 2020.

Maana hao wanaohamia CCM na kupewa UMAARUFU tayari watakuwa na influence/USHAWISHI
MKUBWA chamani na wanaweza kuwaletea MAMBO ambayo yatawafanya CCM KUJILAUMU na kulaani kwa nini hawa watu kuwa hatuku vet kabla.

Maana siasa ni MBINU na si KUKIMBILIA mtu kumtanguliza mbele bila kujuaa ni nini hasa KILICHOMLETA huyu mtu ndani ya CCM.
Narudia tena kama mchezo huu ama mbinu hizi zina baraka za CHAEDEMA basi hapo nawavulia kofia kuwa wanajua KUSUKA mbinu.
Tunaomba mrejesho wa Kakobe baada ya kutoka TRA jana!
 
Hahaha wewe ndio unaenda kulala nadhani akili yako imechoka. Eti mbinu, polisi,mahakama,magereza, TRA,,Takukuru, Ma DC, Tume ya uchaguzi, hao wote wanaifanyia kazi ILANI ya chama wewe unasema mbinu hahaha.
Sawa mkuu umeeleweka.
 
Hahaha wewe ndio unaenda kulala nadhani akili yako imechoka. Eti mbinu, polisi,mahakama,magereza, TRA,,Takukuru, Ma DC, Tume ya uchaguzi, hao wote wanaifanyia kazi ILANI ya chama wewe unasema mbinu hahaha.
Hebu fafanua yaaani unasema eti?
 
Mbinu ama mchezo wanaotumia CCM katika kupata wanachama {VIONGOZI} toka vyama vingine vya UPINZANI na hasa Chadema huenda kukawagharimu siku zijazo.

Kuna wakati hata mimi niliandika juzi juzi humu kuwa huenda wananchi wa KAWAIDA wakajiunga na CCM na nikatoa sababu nilizokuwa nimeziona mimi mwenyewe.

Hata hivyo baada ya kutazama kwa makini kwa jicho la tatu naona kuwa mbinu zinazotumiwa na CCM/ na pengine CHADEMA huenda kikakigharimu chama cha CCM vibaya sana.

Nasema hivyo kwa sababu Strategists wao{ CCM} /Wana mbinu wao sijui kama wanaliona hili.

Hasa wakati VIONGOZI wa vyama vya upinzani, iwe ni Madiwani, sijui ma nani WANAPOKELEWA
kwa nderemo bila kujua kama ni KWELI wanakiamini chama cha CCM kwa mioyo yao yote ama WAMETUMWA na kupata baraka za CHADEMA ili kui infiltrate/ Kujiingiza KAMA wanachama wa CCM.
Na kumbe UTIIFUwao/Allegiance yao INGALI Chadema ila wako humo kwa kazi maalumu hadi uchaguzi mkuu.

Mchezo huu ujulikanao kwa lugha ya kiingereza kama ENTRYSIM ama ENTRISM hutumiwa sana na VYAMA vyote vya KISIASA.

iwe ni chama Tawala ama upinzani. Hasa kama wanambinu/Strategists wao ni SMART na wanajua KUSUKA mbinu kaliili kuwapiku wapinzani wao.

Mara nyingi dhumuni kubwa la ENTRYISM ni KUJIUNGA kwa wingi na kuhamasisha watu MAALUMU wenye USHAWAISHI mkubwa kujiunga katika chama KIKUBWA kinacho wazidi nguvu kama CCM nakujifanya wao ni CCM kabisa huku wakiwa na moja kichwani.

NIA KUBWA huwa ni KUBADILI MAMBO fulani kama vile SIASA na kukifanaya chama FULANI kikose SIFA.
Wakati mwingine huwa na LENGO MAALUMU la kuwagawanya ama KULETA mitafaruko ndani ya Chama kwa manufaa ya chama chao.

Swali? je CCM wanazielewa FIKA mbinu za CHADEMA? Na kama ni NDIYO kwa KIASI gani?wanapopokea viongozi wa upinzani na kuwaweka MSTARI wa mbele bila PROPER vetting,

Je wanajua kweli MADHARA yake ama ni kuona tu wamepata SAMAKI wakubwa bila kujua kilicho nyuma ya pazia?

Je wanaijua ENTRYSIM strategy ya CHADEMA?
Basi ikiwa hii itakuwa ni STRATEGY ya CHADEMA yaani wanapoombwa kujiunga na CCM toka kwa viongozi wa CCM wanajuaje kama HUOMBA RUHUSA kwanza toka kwa VIONGOZI wao? NAKURUHUSIWA kwa lengo FULANI ndani ya CCM kwa ajili ya 2020?

basiikiwa ni moja ya mbinu zaa CHADEMA, basi hapo nitakuwa niwewavulia KOFIA STRATEGISTS wao kwamba hawa jamaa wana STRATEGY noma sana.
Nakumbe si kuwa wamelala kama wengi tunavyofikiri.

Na kama hizi ni mbinu zao za kuwafanya VIONGOZI mashuhuri wa CHADEMA WAINGIE/DEFECT kwenda CCM basi watakuwa WAMEWAWEKA CCM katika hali ngumu sana ifikapo ama IKARIBIAPO 2020.

Maana hao wanaohamia CCM na kupewa UMAARUFU tayari watakuwa na influence/USHAWISHI
MKUBWA chamani na wanaweza kuwaletea MAMBO ambayo yatawafanya CCM KUJILAUMU na kulaani kwa nini hawa watu kuwa hatuku vet kabla.

Maana siasa ni MBINU na si KUKIMBILIA mtu kumtanguliza mbele bila kujuaa ni nini hasa KILICHOMLETA huyu mtu ndani ya CCM.
Narudia tena kama mchezo huu ama mbinu hizi zina baraka za CHAEDEMA basi hapo nawavulia kofia kuwa wanajua KUSUKA mbinu.

Chadema hawana uwezo wa kuivuruga CCM ila CCM wana uwezo wa kuivuruga chadema, CCM wana Dola na State machinery yote wkt chadema hawana, hivyo ni ujinga kudhania chadema wanaweza kupandikiza watu CCM, kwa maana hawana huo uwezo, kama wangekuwa nao wangeshautumia!
 
Ni kweli una pointi. Ila huwezi kujua ni arsenal/Silaha gani mpya za kisiasa
{labda} WALIZOFUNDISHWA hivi karibuni.

Washwahili walisema mdharau mwiba humchoma. Huwezi ku rule out kabisa kwamba hawa Chadema kuwa wamelala fofofo. Ni jukumu la CCM kwenda taratibu.
 
Dr. Slaa yuko wapi ameukataa uteuzi? Au alishaapishwa huko huko na kupewa balozi ya kuongoza? Au ndiyo wasuka mbinu wenyewe?
 
Nakumbuka kumsikia Magufuli kuzungumzia wasiwasi kama huu Katika kuapishwa kwa Mkuu wa mkoa flani alisema " tumezingatia kila kitu kabla ya uteuzi" nadhani hiyo kauli inatosha kwa kiasi flani kujibu hoja yako.

Hayo maneno huwa anaongea kwa mazoea li aonekane ni mtu makini lakini hana lolote. Alisema kabla ya kuchunguza mambo ya makinikia walipata data zote tulivyokuwa tunaibiwa, lakini tulivyokaa na Barrick hatukuweza kudhibitisha hilo.

Alipokuwa akichagua viongozi mbali mbali pia aliongea maneno hayohayo, lakini baadae ilionekana hana lolote baada ya baadhi wa aliowateua kuwa kinyume na huo umakini aliosema.
 
Nakumbuka kumsikia Magufuli kuzungumzia wasiwasi kama huu Katika kuapishwa kwa Mkuu wa mkoa flani alisema " tumezingatia kila kitu kabla ya uteuzi" nadhani hiyo kauli inatosha kwa kiasi flani kujibu hoja yako.
Sisungumzii TEUZI nazungumzia kupokea watu KIHOLELA hasa viongozi kama MADIWANI maaana hao wako mashinani
Teuzi najua zina taratibu zake.
Hapanazungumzia CCM na si serikali
 
Nakumbuka kumsikia Magufuli kuzungumzia wasiwasi kama huu Katika kuapishwa kwa Mkuu wa mkoa flani alisema " tumezingatia kila kitu kabla ya uteuzi" nadhani hiyo kauli inatosha kwa kiasi flani kujibu hoja yako.
Umenielewaa mkuu?
 
Back
Top Bottom