Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

Katika Maisha utajua una pesa kiasi gani lkn huwezi kujua umebakiza siku ngapi za kuishi.
Ubahili Ni ujinga tu.
Utamuachia mke mijippesa halafu wahuni tu wanakuja kulala nae na kutumia pesa uliyokataa kuitumia kwa upumbavu
Hahahhaa kama mke wa filikunjombe..namwangaliaga nasema nhiii!🤣
 
Ubahili sio kitu kizuri ,hata mwenyezi MUNGU ana upinga,kupata pesa nyingi kwa ubahili ni laana.
Kuweka akiba kwa kila pesa unayo ipata sio ubahili,ila ni busara.
Kuweka akiba hata mwenyezi ana ikubali.
Nini maana ya ubahili?
Ubahili ni kujinyima wewe binafsi,familia yako na watu wengine.

Watu

Katika Maisha utajua una pesa kiasi gani lkn huwezi kujua umebakiza siku ngapi za kuishi.
Ubahili Ni ujinga tu.
Utamuachia mke mijippesa halafu wahuni tu wanakuja kulala nae na kutumia pesa uliyokataa kuitumia kwa upumbavu
Roho za kimasikini bana..
 
The thing is..
Huwezi kuthibiti mawazo ya watu, lakini unaweza kuamua jinsi ya kuyafanyia kazi.
Sawa mkuu.. jitahidi uwe na nidhamu ya pesa ndio ubahili unaozungumziwa hapa.

Matumizi mabovu ya pesa yataendelea...

kumfanya mtu kuwa mtumwa wa kutumikia pesa maisha yake yote, badala ya kutumia pesa kumtumikia yeye.
 
Umenielewa Sana, hao wengine ni majanga hata uwaeleweshaje
 
Nafikiri Pesa ina Nidhamu yake, haijalishi unapata kiasi gani ila nidhamu muhimu sana.. Mtu anayepata 500K anaweza kuwa Tajiri kutokana na nidhamu yake zaidi ya anayepata 1M asiye na nidhamu.

Hili swala la Nidhamu ya Pesa ni swala moja safi la kufanyia kazi.
 
Ni kweli kabisa!
 
Ukisha maliza kujenga hiyo nyumba halafu unakufwa
ndugu wanaamua bora waiuze halafu hela wanaenda kula bata

Ni kama mzoga kuliwa na siafu tu
Mkuu unamawazo ya hovyo sana, kufa kila mtu atakufa tu, hata asipojenga hiyo nyumba atakufa tu.

Usiache kufanya kazi eti kwa kuwa utakufa na ukimbuke tumekuja duniani kwa kusudi na utaulizwa siku yako ya mwisho. Sasa wewe endelea kulala ukiogopa kufa.
 
Ni ndoto yangu na pia napenda Sana ghorofa, nikipitaga kule mbezi beach kuona watu wako kwenye vighorofa roho inafurahi sana
Mkuu nimefurahi sana hapa kusikia ukiowaona wengine wapo kwenye dream house zao roho yako inafurahi then inakupa nguvu zaidi ya kupambana bila shaka...ooh kama hivyo ndivyo jinsi ulivyo basi utabaki kuwa juu sana
 
mzee hizi ela sio tu ubahili ila ni investment kwenye mambo yako ya maendeleo/....sio unanunua malaya elfu 50 pombe unapiga laki na wadau kibao unawanywesha then unategemea utafanya maendeleo
Maendeleo ni nini,,,kabla sijawa na hela nilikuwa na ndoto nikipata hela nile pombe na wana niende club ninunue malaya,

sasa nimepata hela na fanya hayo yote uoni kama hayo ndo maendeleo yangu kwa sababu kabla sijawa na hela sikuweza timiza ilo hitaji langu,,,

kwa hyo maendeleo yangu mimi ni tofauti na yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona jeans kali unanunu ni kwasababu hauna malengo yoyote , ndio maana hauwezi kuona umuhimu wa kusave,

mtu yoyte anyewaza kusave mara nyingi anakuwa na malengo aliyoplan kuyatimizia.

Nasio kuwa mtu kusaka short time& instant gratification..
Kuridhisha nafsi kwa matamanio ya muda mfupi,
Wakati uanedelea kula msoto wa kila siku..

Kuwa m'bahili haimaanishi usifanye matumizi..
Kuwa m'bahili ni kufanya matumizi ya lazima tu, kama chakula mavazi, malazi n.k "kwa budget", na kuondoa matumizi yote yasiyo ya lazima.
 
Umechemka hapo ulipotumia milioni 78 kujenga nyumba.
Unajibana Ili ujenge nyumba ya gharama ilhali hatuna mji udumuo hapa duniani!
 
Ukisha maliza kujenga hiyo nyumba halafu unakufwa
ndugu wanaamua bora waiuze halafu hela wanaenda kula bata

Ni kama mzoga kuliwa na siafu tu
Haya ndio mawazo ya kimaskini, Utafutaji unajitoa mhanga na lolote liwe hatimaye unauona mwanga
 
Ili uwe bahili lazima uwe mtu wa utaratibu kwenye matumizi yako, mfano lazima uweke bajeti kwa siku unatumia sh ngapi, mtu akiomba pesa lazima awe kwenye bajeti, kila kitu kifanyike kwa bajeti. Ila ubahili ni utamaduni mzuri ukiweza, tatizo ubahili ni kama kipaji si kila mtu anaweza kuwa bahili, ndio maana watu wanatoa povu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom