ween
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 414
- 128
Habari ndg zangu,
Nimeleta kwenu uzi huu mnisaidie jinsi/mbinu ya kupata mtoto wa kike kwa kutumia karenda.
Mwezi wa 4 niliona siku zangu za hedhi tarehe 15,
Mwezi Wa 5 niliona Siku zangu za hedhi
Tarehe 21,(ktk mwez huo Wa 5, nilikutana na mwenza wangu Siku ya 10,11,12,13,na 15, tangu siku ya 21 nilipoona Siku zangu , ndg zangu mpka sasa sioni dalili ya mimba nimepima pia kwa kipimo cha test prignant nimeonekana sina mimba,
Naomba kujua je siku hizonilizoshiriki tendo hazikua siku za hatari ndio maana sina ujauzito?
Je Siku zangu za hatari nizip kutokana na mtililiko Wa hedhi Yangu, (naingia sk7)
Naomba mnifahamishe ktk mwezi 6 ujao nifanye tendo ktk siku gani ili niweze pata ujauzito wa mtoto Wa kike.