Mbinu za kupata mtoto wa kike

ween

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
414
128
Habari ndg zangu,
Nimeleta kwenu uzi huu mnisaidie jinsi/mbinu ya kupata mtoto wa kike kwa kutumia karenda.
Mwezi wa 4 niliona siku zangu za hedhi tarehe 15,
Mwezi Wa 5 niliona Siku zangu za hedhi
Tarehe 21,(ktk mwez huo Wa 5, nilikutana na mwenza wangu Siku ya 10,11,12,13,na 15, tangu siku ya 21 nilipoona Siku zangu , ndg zangu mpka sasa sioni dalili ya mimba nimepima pia kwa kipimo cha test prignant nimeonekana sina mimba,

Naomba kujua je siku hizonilizoshiriki tendo hazikua siku za hatari ndio maana sina ujauzito?

Je Siku zangu za hatari nizip kutokana na mtililiko Wa hedhi Yangu, (naingia sk7)

Naomba mnifahamishe ktk mwezi 6 ujao nifanye tendo ktk siku gani ili niweze pata ujauzito wa mtoto Wa kike.
 
Nakufata PM nikuelekeze vizuri, hapa wachawi wengi. Utarogwa bure.
 
your period yako it seems haiko sawa kwa kuanzia hapa kabla hatujaenda kwa dawa za hormone ambazo husaidia kupata ujauzito kwa kufanya upevushaji mzuri wa mayai.
 
Nisaidie nifanyeje
 
Itakua huyo mwenz wako ana mbegu za mtoto wa kike njoo kwangu tutengeneze kabeby
 
Ok cha kufanya kwanza ni kuanza kutumia dawa ya hormone ya oestrogen ambayo inadili na maswala ya ovulation yaan upevushaji wa mayai.

Ila ni elimu ndefu kama hutojali nkupe maarifa PM humu wajuaji wengi.
 
Karibu
 
Siku za hatari huzijui kabisa: Mwezi wa nne ulitakiwa kukutana na mwenzako kuanzia siku ya 11 tangu ulipoanza ku bleed yaanitarehe 25, 27, 29 unaruka siku moja moja ili kutoa nafasi kwa Mbegu za mumeo kuimarika zaidi: Aidha, kwa Mwezi wa tano ungepiga show kuanzia siku ya 11 tangu ulipoingia mwezini yaani ungeanza mgegedo tarehe 01/05 na kuendelea hadi siku ya 18:: Siku za game hakikisha umepumzika vya kutosha, fanya mazoezi kiasi, usiwe na stress na usinywe mapombe mengi; Anyway njoo INBOX nikupe UHONDO
 
Ok cha kufanya kwanza ni kuanza kutumia dawa ya hormone ya oestrogen ambayo inadili na maswala ya ovulation yaan upevushaji wa mayai.

Ila ni elimu ndefu kama hutojali nkupe maarifa PM humu wajuaji wengi.
Ungeweka hapa hiyo dawa ili watu wengi wafaidike nayo,mtoa maada kaweka hadharani wewe unataka kumfuata pm, mwaga mchele huo
 
Kwanza fahamu kuwa siku za hatari yaani za mimba ni kuanzia siku ya 11-17 tangu siku ya kuingia period,kwa vile mbegu zinazotengeneza mtoto wa kiume ni strong hivyo huwahi kufika kwenye yai ili kurutubisha lakini hukaa hai kwa muda mfupi na kufa ukilinganisha na mbegu za mtoto wa kike ambazo siyo strong ktk kuogelea kwenda kwenye yai but huishi kwa muda mrefu hivyo unapaswa ukutane kimwili na mume wako siku ya 14 tangu hedhi ilipoanza kwani inaaminika kuwa siku hiyo yai huwa limeshatoka kwenye ovari likisubiria tu mbegu za kiume ili lirutubishwe.
NB:i)Mume wako anatakiwa asishiriki tendo la ndoa siku mbili au zaidi kabla haujakutana naye siku ya 14 ili awe na nguvu za kutosha pia asifanye kazi ngumu/nzito ktk siku hizo.
ii)siku ya 14 tunaipata hivi, mfano uliingia hedhi tarehe 10 maana yake ukianza kuhesabu siku kuanzia tarehe 10 siku ya 14 itakua tarehe 23 ndiyo itakuwa siku ya kutafuta mtoto wa kiume.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom