Mbinu za kukufanya usizeeke upesi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
Kuzeeka.jpg


Kuzeeka ni jamba moja kutoweza kuepuka kwa binadamu, lakini tunaweza kuchukua hatua kupunguza athari mbaya zilizosababishwa nalo. Na zifuatazo ni mambo 9 yatakayokusaidia kuahirisha kuzeeka.

1. Kula nyama kwa kiasi kidogo zaidi na kupunguza shinikizo yako
2. Kufanya mazoezi hadi kutokwa na jasho zisizopungua mara 3 kila wiki
3. Kufahamu historia ya maradhi ya familia yako
4. Kufanya ukaguzi wa moyo ukifikia zaidi ya umiri wa miaka 45
5. Kula vyakula vyenye kiasi kinachofaa cha mafuta
6. Kula karanga au aina nyingine ya njugu 15 kila siku
7. Kukutana na marafiki mara kwa mara
8. Kulala kwa muda wa kutosha, saa 7 ni bora
9. Kuishi kwa moyo thabiti na furaha
 
pia punguza uvutaji wa sigara na unywaji wa kupindukia wa pombe,acha uzinzi kbsa na punguza stress
 
punguza kudinyana kadri umri unavosonga. Kama hutopunguza kudinyana basi baki ukidinyana na mtu mmoja tuu, draft iishie miaka 35 laa sivyo kuchezesha draft vifanyio kwa watu wengi wengi kyaani kupiga hapa na pale na kule ni kuzeeka haraka.
Wanywa bia pia huwa wanatoka makunyanzi upesi usoni hasa mdomo na mashavu yanaweka mstari utasema wanalia muda wote.

Ongeza kiwango cha kunywa maji kadri umri upandavyo na kupunguza kiwango cha vimiminika vyenye carbon au vilivyoshindiliwa gesi.

Kasie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom