Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
Kuzeeka ni jamba moja kutoweza kuepuka kwa binadamu, lakini tunaweza kuchukua hatua kupunguza athari mbaya zilizosababishwa nalo. Na zifuatazo ni mambo 9 yatakayokusaidia kuahirisha kuzeeka.
1. Kula nyama kwa kiasi kidogo zaidi na kupunguza shinikizo yako
2. Kufanya mazoezi hadi kutokwa na jasho zisizopungua mara 3 kila wiki
3. Kufahamu historia ya maradhi ya familia yako
4. Kufanya ukaguzi wa moyo ukifikia zaidi ya umiri wa miaka 45
5. Kula vyakula vyenye kiasi kinachofaa cha mafuta
6. Kula karanga au aina nyingine ya njugu 15 kila siku
7. Kukutana na marafiki mara kwa mara
8. Kulala kwa muda wa kutosha, saa 7 ni bora
9. Kuishi kwa moyo thabiti na furaha