sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 18,446
- 41,638
Mi pia. Nmekuwa mpole wametuweza
Kwangu hii official WhatsApp inagoma ku-freeze asee. View attachment 1127471
Kwangu hii official WhatsApp inagoma ku-freeze asee. View attachment 1127471
Tupe mrejesho mkuunimetoka kifunguoni sasa hivi baada ya kupigwa ban karibu siku Tatu sasa. wananifungulia baada ya masaa 24 then wanakaa Kama nusu saa wananipiga tena. ngoja nione tena kama watanipiga ban tena.
Wajinga hawa mbu, nawajua utakufa kabla ya miaka hiyo. Waambie hutakufa na utasubiri ban iishe.
Natumia zote, YoWhatsApp na GBWhatsApp. Yo ni nyepesi sana kuliko GB. ndio cha msingi nilichoona kwenye utofauti wake.
Yaan themes za GB ni nzito kuliko za Yo
YoWhatsapp ni bomba kuliko zote ila tatizo lake ni notification tu.
Wajinga hawa mbu, nawajua utakufa kabla ya miaka hiyo. Waambie hutakufa na utasubiri ban iishe.
Mkuu unafanyeje kuroot simu?Kwa mnaohangaika kufreeze sijajua tatizo ni kwasababu hamjaroot simu au lah? ila mfano mama mimi simu yangu ipo rooted basi naweza kufreeze app yoyote kwenye simu yangu. Na nnaweza kuuninstall app yoyote kwenye simu hata kama ni system app.
Faida za kuroot simu ni kama
1. Unaweza kuinstall custom mods katika simu yako.
2. Simu inakuwa inakaa na charge zaidi tofauti na simu ambayo haijawa rooted
3. Simu inakuwa na speed zaidi internet kuliko ambayo haijawa rooted.
Zipo nyingi ila hizo ni chache tu.
It depends na simu yako. Kuna njia nyingi sana za kuroot simu. Almost kila simu ina njia yake. Sababu kuna files unaflashia hiyo simu yako na kila simu unakuta ina files zake. Pia Namna ya kuflash inatofautiana baina ya simu moja na simu nyingine.Mkuu unafanyeje kuroot simu?
Mkuu simu yangu lg x7 inasumbua kwenye internet ,,tatizo linaweza kua Nini?It depends na simu yako. Kuna njia nyingi sana za kuroot simu. Almost kila simu ina njia yake. Sababu kuna files unaflashia hiyo simu yako na kila simu unakuta ina files zake. Pia Namna ya kuflash inatofautiana baina ya simu moja na simu nyingine.
mda baada ya kunifungulia walinipiga ban tenA ya 24hrs dah nimechoka nayo.Tupe mrejesho mkuu
Namba 3 umeongopa balaa. Halafu waambie na side effects zake ambazo ni mbaya kuliko faida.Kwa mnaohangaika kufreeze sijajua tatizo ni kwasababu hamjaroot simu au lah? ila mfano mama mimi simu yangu ipo rooted basi naweza kufreeze app yoyote kwenye simu yangu. Na nnaweza kuuninstall app yoyote kwenye simu hata kama ni system app.
Faida za kuroot simu ni kama
1. Unaweza kuinstall custom mods katika simu yako.
2. Simu inakuwa inakaa na charge zaidi tofauti na simu ambayo haijawa rooted
3. Simu inakuwa na speed zaidi internet kuliko ambayo haijawa rooted.
Zipo nyingi ila hizo ni chache tu.
Hapo 1 tu ndio uko sahihi. 2 na 3 uongoKwa mnaohangaika kufreeze sijajua tatizo ni kwasababu hamjaroot simu au lah? ila mfano mama mimi simu yangu ipo rooted basi naweza kufreeze app yoyote kwenye simu yangu. Na nnaweza kuuninstall app yoyote kwenye simu hata kama ni system app.
Faida za kuroot simu ni kama
1. Unaweza kuinstall custom mods katika simu yako.
2. Simu inakuwa inakaa na charge zaidi tofauti na simu ambayo haijawa rooted
3. Simu inakuwa na speed zaidi internet kuliko ambayo haijawa rooted.
Zipo nyingi ila hizo ni chache tu.
Na mimi nimerudi leo nimechoka official whatssapHahahaaa wewe ni mbishi
Tuelekeze jinsi ya kuroot mkuuKwa mnaohangaika kufreeze sijajua tatizo ni kwasababu hamjaroot simu au lah? ila mfano mama mimi simu yangu ipo rooted basi naweza kufreeze app yoyote kwenye simu yangu. Na nnaweza kuuninstall app yoyote kwenye simu hata kama ni system app.
Faida za kuroot simu ni kama
1. Unaweza kuinstall custom mods katika simu yako.
2. Simu inakuwa inakaa na charge zaidi tofauti na simu ambayo haijawa rooted
3. Simu inakuwa na speed zaidi internet kuliko ambayo haijawa rooted.
Zipo nyingi ila hizo ni chache tu.
Kama mtu ni mjanja wa simu, basi solution zimejaa mtandaoni. Unaweza kutafuta solution for your phone.Tuelekeze jinsi ya kuroot mkuu
Hapo 1 tu ndio uko sahihi. 2 na 3 uongo
Charge na speed ya net ni inshu ya hardware na sio software mkuuKwa mnaohangaika kufreeze sijajua tatizo ni kwasababu hamjaroot simu au lah? ila mfano mama mimi simu yangu ipo rooted basi naweza kufreeze app yoyote kwenye simu yangu. Na nnaweza kuuninstall app yoyote kwenye simu hata kama ni system app.
Faida za kuroot simu ni kama
1. Unaweza kuinstall custom mods katika simu yako.
2. Simu inakuwa inakaa na charge zaidi tofauti na simu ambayo haijawa rooted
3. Simu inakuwa na speed zaidi internet kuliko ambayo haijawa rooted.
Zipo nyingi ila hizo ni chache tu.
Mkuu acha kutupa chai kavu kama simu haina hardware za 4G haiwezi pokea iyo signal hata uroot mzeeHiyo 2 na 3 from practical experience.
Kwanza picha linaanza eneo nililopo kati ya watu tunaotumia simu za 4G ni mimi pekeyangu ndo naipata hiyo 4G, the rest hawaipati na simu zao. Na nmeanza kupata 4G baada ya kuroot simu.
So usibishe mkuu. Ndo maana nikakuambia hii nazungumza from experience
Charge na speed ya net ni inshu ya hardware na sio software mkuu