Mbinu za kuandaa/kuandika propaganda vizuri

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,479
5,068
Habari za kwenu wana jf naomba kupata darasa kutoka kwa vichwa makini na wenye ufahamu mpana zaidi kuhusu ishu za kuandaa , kuandika na jinsi ya kufikisha propaganda zako kwa lengo la kutimiza malengo yako . naomba nieleweke naomba msaada wa kujifunza kuandika ishu za propaganda ni kitu muhimu ambacho endapo tunaweza kutumikia vyema tunaweza kufanikisha mambo mengi kiuchumi, kijamii na ki utamaduni , technology na kisiasa pia .

mwisho naomba kusema nimeomba kujifunza hili somo kwa sababu ninajua lina umuhimu na mimi sio muumin wa siasa au mwanachama wa chama chochote japo nina imani shule itakayotolewa hapa huenda ikawasadia wengi kujifunza mbinu za kuandaa propaganda zao kiuweledi kabisa na kuachana na hizi za kudhalilishana au kutukanana matusi .

kwa heshima kubwa naomba kuwasilisha .
 
Mtafute yule mzee namuhifadhi jina kwa heshima yake maana ni baba yetu.Aliyekuwa mkuu wa organization ya Chama na propaganda ila kwa sasa amestaafu mambo ya Siasa huyu amesomea mambo hayo ya IDEOLOGY huko nchi flani ya mashariki ya mbali
 
Hebu nikuchek pm unisadie Maelezo kidogo
 
Back
Top Bottom