Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,625
- Thread starter
- #61
Kwa hali ya sasa ilivyo ni ngumu sana kuandaliwa inatakiwa sisi kujenga misingi ili sisi ndio tuwaandae madogo. Shida ni kwamba ninyi wakubwa mnakata tamaa mnadhani madogo watajifunza nini?!Kwa bahati mbaya kizazi chetu pamoja na millennials hawajaandaliwa kuishi maisha ya ndoa kwa hiyo inapelekea kufanya makosa kila kukicha katika suala zima la ndoa
Hii ni kazi ya ki MUNGU. Kila siku tunazungumzia swala la kutumia ujana wetu kumtumikia MUNGU sasa tunamtumikiaje kwa akili hizi za kukata tamaa....?!