Mbinu ya msichana wa kazi kuchakachuliwa..!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu ya msichana wa kazi kuchakachuliwa..!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pomole, Apr 8, 2011.

 1. P

  Pomole JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna house girl mmoja alibuni mbinu ya kutoka na njemba wake na kuchakachuana bila kujali kazi yake hasa ya kulea mtoto mdogo!!!Sokomoko lilitokea juzi wakati mama mwenye mtoto alipogundua kuwa housegirl anapobaki mwenyewe nyumbani huwa ana tabia ya kutoka kwenda kwa njemba moja jirani.Anapotoka(karibu kila siku kulingana na mashahidi) kumbe humnywesha mtoto dawa za PIRITONI ili kalale kasisumbue starehe zake.Siku ya siku mama kawahi kakuta hamna mtu na mtoto kalala,kumwamsha haamki hadi house girl aliporudi karibu saa zima.Ktk pekua pekua akakuta dawa hizo na ktk kutafuta ukweli ikajulikana hivyo.Mtu wa namna hii tumfanyaje?
   
 2. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hiyo mbinu umeibuni wewe kwa sababu zako binafsi
   
 3. P

  Pomole JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza,wakaidi cku zote ndio mwishoe hutumia neno ningejua!!!! hii imetolewa kama angalizo kwa wasichana wetu wa kazi.Siku likikufika utaikumbuka hii thread labda uwe unakaa kijijini na huna haja ya msichana wa kazi.Ukitaka kumjua yaliyomfika kwa mwanae nitakulinki
   
 4. s

  seniorita JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mmmmmmhhhhhhh hayo nayo ya kuleta humu yajadaliwe, kwani mhusika alikutuma uulize au keshamchukulia huyo maid hatua? Vichekezo haviishi duniani
   
 5. duda

  duda Senior Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pomole binadamu siku zote ni matatizo, we waache siku wakikuta watoto wao wamewekwa frijini ndo watakukumbuka. sipendi mtu kukashifu mwenzake anachokizungumza, kama huna la kufema funga hilo domo, si lazima kuchangia.
  Mahouse girl kweli wana matatizo sana, jirani yangu mtoto wake alikua anakonda kila siku kumbe uji wenye lishe anakunywa house gilr na mtoto anaonjeshwa tu na kupewa vyakula visivyo na lishe!!!
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0


  sasa unabsha nin wewe?
  umepewa km tahadhari unabsha tu?
  au kipaj kubsha?
  duu watu weng chboko..unaambiwa pale pana moto ule pale pta uku we unajibu ahh umeona moto kwa interest zako...hufai ata kwa kitoweo ...:tape:
   
 7. haibreus

  haibreus JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 296
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Kijana hebu acha kuwatafutia ubaya ma house GIRl bwana hayo mambo ni yako binafsi na unayajua mwenyewe na hadithi zako za kujitungia!
   
 8. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Nawashangaa sana mnaobisha hii kitu ...nadhani imetolewa kama mfano na tahadhali... kitambo kidogo nilishawahi kusikia story kama hii but ilikuwa ni ya Mdada ambaye ni changu akashika mimba pasipo matarajio yake nashukuru tu hakukiua kile kiumbe chake but baada ya kuzaa ili mtoto yule asimbane na biashara yake ya uchangu the same dose ilikuwa inatumika PIRITON mtoto analala full.. na alimuaffect hadi mtoto wake kwa sababu dose ilikuwa ni ya kila siku ikaharibu mtoto... si kila kinachozungumzwa hapa ni mtu ametunga story..ni tahadhari tunapewa .

  Sikumbuki ni band gani exactly but na wao walishawahi kuimba wimbo wenye the same story ...wanaokumbuka wanaweza kunisaidia..
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kazi kweli kuwa wadada wa ndani hawa,kumbe ndo hivi eh?
  Ngoja nikiwa mkubwa
   
 10. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Jambo alilolifanya humu mfanyakazi si jema na ni la kulaaniwa na wala si la kufumbia macho,kitendo alichokuwa anakifanya kitakuwa kimemuathiri sana mtoto na anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria ili iwe fundisho kwa wengine.

  Kwa wanaobisha na kuona suala hili si la maana Mungu atawaonesha siku moja kama si ninyi wenyewe kulishwa madawa na mkalewa na kufanyiwa kitu mbaya,basi itawatokea kwa watoto na hata ndugu zenu.
   
 11. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  huyu mtoto atakuwa akikua lazima atakuwa zezeta flani........piritoni kwa mtoto zina madhara ila tu kama amepewa zaid ya miezi 3
   
 12. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mhh hii kali, nilishuhudia house girl wa jirani yangu, alikuwa anatawazia kwenye beseni la vyombo then yale maji ndio anapikia wali usiku, boss wake akija anakula!!

  hawa wasichana hawa si wakuwaamini asilimia 100%
   
 13. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Wsio na watoto lazima watabisha na kukejeli, kwa wenye nao msg sent and delivered.
   
 14. LD

  LD JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dah hii kali, huyo si house girl tu, ila ni mtu anahitaji ukombozi wa akili, nafsi na roho.
  Yawezekana hata kama asingekuwa house maid angeweza kufanya hivo hivo. Hio ni roho chafu inaongoza nafsi yake.

  Hana utu wema, wala huruma, kwa roho hiyo chafu inayomuongoza anaweza akawawekea hata ninyi wenye nyumba sumu.
  Hasa kama mnaishi naye ndivyo sivyo. So tuwe makini na hawa ndugu zetu tunapoishi nao, ni vema kujua ni wana roho za namna gani, ikiwezekana
  tuwasaidie, ktk kubadilika kwao na kuwa watu safi, wenye baraka katika jamii.

  Note: Roho kama hiyo anaweza kuwa nayo mtu yeyote, sio house girl peke yake.
   
 15. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Mambo kama haya yapo sana na mi nimeshuhudia moja hapa jiran kwe2! Kuna mkaka aliajiriw kuuza duka la tajir yake, pia alipewa kaz ndogo pia ya kuwalish mbwa wa pale! Sasa huyu tajir alikuw anamtoto wa kike mdogo miaka 4 ambae alikuw nyumbn pale pamoja na mfanyakz mwingne wa kike ambae alikuw anamlea huyu mtoto..sasa kama unavyojua watoto wenye umri kat ya miak 2-4 wanapenda kuchunguz sana! Sasa ikitokea yule kijana ajaenda kuwalisha mbwa na alikuwa anafanya makusudi mana alikuw hawapend wale mbwa! Yule mtoto anaenda kumsemea kwa baba yake, basi tajiri anakuja juu na kuanza kumgombeza yule kijana! Lakn hakujirekebisha na mtoto anamsemea! Ilifik kipindi yule kijana akaamua kumlisha sumu yule mtoto ili afe! Lakn MUNGU mkubwa mtoto hakula chakula kile kwa hofu, sijui alijuaje!..kijana yule siku hiyo hyo kafukuzwa kazi... Sasa mambo kama haya yapo na inabidi 2we makini sana na wafanyakaz ingawa tunawaamini sana! Samahan kwa stor ndef.
   
 16. P

  Pomole JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haikuwa vichekesho,ni songombingo kubwa maana mama mtoto alimpa kisago cha nguvu housegirl hadi aliokolewa na majirani.Cha ajabu baadae(baada ya kisago) alikiri kufundishwa hiyo mbinu na house girl wa jirani yake.Mwishoe hg amerudishwa kwao
   
 17. P

  Pomole JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iko siku utalikuta njemba limeekaa sebuleni kwako linakula msosi alopika housegirl na pesa uliitafuta na uliacha wewe!!Kama jambo hulijui na hujawahi kuona utabisha sana.mara nyingi watafutaji wengi hawajui yanayotokea home kwao wakati wa kazi kwa ajili ya ubize ila tuwe makini tu,labda kama nawe ni hg wa tabia hizo.
   
 18. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yaan 2metoka faragha ss hv mara unanziba mdomo....?
   
 19. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haya mambo yapo.Watoto hawatendewi haki na hao wadada,Na pia Tunalishwa uchafu Mungu tu anatunusuru.Ila kwa upande wangu ningempeleka polisi kidogo kabla ya kumsafirisha kwao.
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli inasikitisha sana. Wasichana wa kazi wanavituko ambavyo kwa kweli si tu vinashangaza lakini vinatisha pia! so sishangazwi na kitendo alicho fanya huyo.
   
Loading...