Mbinu ya mchina kununua paka (NYAU),This Is What I Called Business Strategy

The Mafia

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
251
531
Kijiji Kimoja Alikuja Mchina Akasema Anahitaji Paka (Cat/ Nyau),
Ananunua Mmoja Kwa Bei Ya 20,000/=, Basi
Wanakijiji Wanahaha Kusaka Paka,
Wanawaleta, Mchina Ananunua Wote Anasepa
Nao. Anarudi Tena Anasema Vipi, Naona
Wameadimika, Sasa Nitanunua Kwa Bei Ya 35,000 Paka Mmoja, Wanakijiji Wanaenda
Deep Zaidi Msituni, Kukamata Paka, Kuwaleta Kwa Mchina, Mchina Anasepa Nao. Afu Wiki
Inayofuatia Mchina anasema Bado Anataka
Paka, Saivi Atanunua Kwa Laki Moja. Wanakijiji
Macho Yamewatoka, Hawana Tena Paka.
Mchina Anasema Basi Nitafutieni Nitawanunua Kwa Laki Moja Na Nusu (150,000). Kesho Yake Inasikika Kuwa Kuna Mchaga Anauza Paka Kijiji Cha Pili, Anauza Kwa Laki Moja (100,000), Wanakijiji Wanawahi Fasta Wanaenda Kununua Paka Wote Wa Kijiji Cha Pili. Wanarudi Kijijini Hawana Pesa Ila Wana Mapaka Wakijua Watamuuzia Mchina Fasta Kwa
Laki Na Nusu, Mchina Hatokei Ng'oooo!!!!

Infact, Yule Mchina Alikuwa Anawakusanya Tu Wale Paka Na Kuwahifadhi Kule Kijiji Cha Pili Akijua Atakuja Wauza Kwa 100,000/= Kwa Hawa Hawa Wana Kijiji...
This is what i called business strategy.
images.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakuja Mchina anasema anahitaji Paka,
ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basi
wanakijiji wanahaha kusaka Paka,
wanawaleta mchina ananunua wote anasepa
nao. Anarudi tena anasema vipi, naona
wameadimika, sasa ntanunua kwa bei ya
35,000 Paka mmoja, wanakijiji wanaenda
deep zaidi msituni, kamata Paka, leta kwa
mchina, mchina anasepa nao. Afu wiki
mnayofuatia Mchina anasema bado anataka
Paka, saivi atanunua kwa Laki. Wanakijiji
macho yamewatoka, hawana tena paka.
Mchina anasema basi ntaftieni kwa Laki na
Nusu. Keshoake inasikika kuwa kuna Mchagga
anauza Paka kijiji cha pili, anauza kwa
100,000/=, wanakijiji wanawahi fasta
wanaenda nunua Paka wote wa kijiji cha
pili. Wanarudi kijijini hawana pesa ila wana
Mapaka wakijua watamuuzia mchina fasta kwa
laki na nusu, Mchina hatokei Ng'oooo!!!!
Infact, yule mchina alikuwa anawakusanya tu
na kuwahifadhi kule kijiji cha pili akijua ataja
wauza kwa 100,000/= kwa hawa hawa wa kijiji
hiki.
This is what called business strategy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom