Mbinu Ya Kumjua Mchawi Anaeshirikiana Na Mtu Wa Karibu Yako Kukuroga

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
Hi Jf.Kwa Wale Tunaoshiriki Na Kuamini Uwepo Wa Uchawi Leo Tujadili Hili Hapa.Tangu Mwanadamu Azaliwe Ktk Tanzania Yetu Hii Amepitia Masuala Kadhaa Magumu Ikiwemo Kujaribiwa Kiuchawi.Mimi Binafsi Nawafahamu Baadhi Ya Watu Walio Na Wanaoendelea Kunifanyia Shirki.Nimefanikiwa Kumfahamu Mtu Wangu Mmoja Wa Karibu Sehemu Anazokwendaga Na Jina La Mchawi Anaeshirikiana Nae.Mbinu Niliyotumia Nilikuwa Nikimfuata Nyuma Nyuma Kila Anapotoka Safari Bila Yeye Kujua.Nikamtuma Mtu Ambae Nimemruhusu Akaniseme Mabaya Mbele Yake Hatimae Akajaa 18 Akaropoka Yote.[HASHTAG]#missioncompleted[/HASHTAG] Niwafanyaje?
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,133
2,000
Alikuwa anakuroga ili iweje??Pia baada ya kumfuata nyuma uligundua nini??
 

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
[HASHTAG]#perfectz[/HASHTAG] Amekuwa Akifarakanisha Watu Kishirikina,kuvuruga Watu Akili,kila Uchafu Wa Uchawi Na Niliyemtuma Kafanya Kazi Nzuri Kwa Kuniponda Na Kufanikiwa Kumteka Akili Mpaka Karopoka Sehemu Aliyokwenda Na Kilichompeleka Na Mpelelezi Wangu Akaniletea Ripoti Kamili Isiyo Na Shaka Kuwa Alikwenda Kunifanyizia Jambo Na Mpaka Sasa Mpelelezi Wangu Ni Rafiki Yake Sana Bila Kujua Anapelelezwa
 

Erickford4

JF-Expert Member
May 22, 2017
1,139
2,000
Sijakuelewa hapo ulipomfuatilia nyuma akitoka kwenye safari zake... sasa utamfuata hadi wapi? Na utajuaje kama anaenda kukuroga?
 

witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
20,803
2,000
We jamaa mi nimekusoma mnooo...

Mtu anayekuroga huwa ni wa karibu mnoo..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom