Mbinu ya kufanya wali wako unukie zaidi

Asante kwa kuleta uzi huu kuhusu misosomolo, nitalifanyia kazi hilo la wali.

Kwa upande wa chai, hakuna kitu kinanikera kama ninakuwa na viungo vyangu safi vya asili,mfano, mchaichai ama tangawizi, nachemsha chai na kuweka hizi vitu lakini sipati fleva ninayoitaka. Sijui ninakosea wapi? Tangawizi ndiyo noma, unaweza baki na muwasho tu, harufu hamna. Imekuwa kubahatisha, siku yes siku hamna. Nifate kanuni gani wadau?
 
Upishi mzuri was chai Ni huu
Bandika maji yafunike yakishachemka funua na weka viungo Kama ni mtumiaji wa majani weka majani na epua haraka ichuje USI ICHEMSHE KWA NUDA KWANO ITABEBA HARUFU YA CHUMA CHA SUFURIA
 
Asante
 
Back
Top Bottom