Mbinu ya Chadema Kumjenga Lowassa na Kummaliza Sitta yabainika!

mimi sidhani kama wewe unamawazo makini ya kupost hapa mezani maana unadhani chadema ni eti wanawasindikiza mafisadi kutimiza tamaa zao za uroho wa madaraka na silika za wizi uliokithiri na usiokua na dawa kama kina sita lowasa na ccm yao iliyooza kama mavi ya shetani!Chadema wanafanya siasa ili waigeuze nchi hii kuwa ya maziwa na asali na kuigeuza machinjio ya mafisadi maana sidhani kama kiongozi makini anaweza kuwaacha akina Dhaifu, riziwani,Chenge ,lowasa maige na majizi mengine yanayolindana kwa mgongo wa ikulu yakabaki salama tena hapahapa na kuendelea kututungia sheria....!!!Hii ni ajabu ya chama kilichoshiba laana za wazazi na ardhi ya waungwana

kua na matarajio yanayopimika ndugu...maziwa na asali kivipi? au wewe utakua mfaidika wa moja kwa moja na utawala wa CDM? kama hivyo sawa, lakini vinginevyo kuijenga tanzania kimaendeleo ni kazi ya wananchi wenyewe wakisaidiwa na serikali itayowekeza katika rasilimali watu wake -elimu, kilimo, afya, miundombinu, mazingira ya kiushindani ya uwekezaji na kibiashara n.k haya yote yanahitaji mtaji mkubwa ambao Tz haina kwa sasa na haitakua nao kwa muda mrefu. tumia akili kidogo kufikiri.
 
Mkuu CDM haimboi sita wala haimjengi el .wote hao wanajibomoa kwa unafiki na ufisadi wao.
 
Back
Top Bottom