Mbinu ya Chadema Kumjenga Lowassa na Kummaliza Sitta yabainika!

siasa za 'kumbomoa huyu' na kulipua yule'.
while ardhi inauzwa,madini ,mafuta na gesi vyote on sale

you could do more than that...

Mi siwapendi wote ila 6 zaidi ...NEVER..MTOENI kabisa ktk NDOTO. za URAIS.
 
Unaota ndoto..Hakuna MoU baina ya cdm na lowassa.IVI KUMBE 6 una juhudi bado kuisaka ikulu?
 
We ujielewe sitta ameleta mabadiriko makubwa katika bunge licha ya mapungufu yake..lakini unapomsema Mwakyembe mbaya inaonesha una matatizo ,mwakyembe ni kiongozi shujaa
Mkuu ukitaka kujua Ubaya wa Sita na Mwakyembe, waulize jinsi walivyopindisha riport ya Richmond na kuficha ukweli kumsaidia JK. Kama ulifuatilia Hotuba ya Lowasa katika Halimashauli kuu ya CCM pale Dodoma, alivyoweka wazi Ushiriki wa JK, ushauli alioutoa na ushawi wake juu ya Richmond na Rostam Aziz. Kama Utakumbuka Mh JK alishasema haijui Richmond wala wamiliki wake kumbe ilikuwa sio kweli. Achaa wee, hao jamaa ni WAPENDA MADARAKA na sio mashujaa kama tunavyodhani
 
Sita kajipendekeza mwenyewe hakuna aliyemtuma..sasa kaangukia pua mnaanza kumtetea
 
Hii ni pumba to the fullest!ingekuwa chadema ndo walianzisha haya maneno ningeamini.Sita ndo alisema mwenye uwezo wa kugombea chadema ni Slaa peke yake,chadema ndo wakajibu.Sasa sijui nani aliyejipanga kumjenga nani?
 
Samwel alifanya kosa kubwa sana kushambulia cdm tena kwa mipasho ya kupuuzi.
 
sitta anajimaliza mwenyewe tu, wala hakuna anayemgusa. Huwa anaropoka kama mtu mwenye laana ya kuua. Huu ni mwendelezo tu akianzia sakata la mwakkyembe
 
magamba wote ni wachafu.lowasa anatafunwa na kashfa ya ufisad.naye 6 kaanzisha ugomvi wa mawe kumbe jumba lote la mabwepande ni la vioo.sasa ngoja dr slaa abomoe.inafahamika ccm ni mfumo wa watu weng wachaf na cdm inapinga the whole system not individuals wa ccm!
 
CDM wanafikiria mambo makubwa zaidi ya hayo uliyotaja. Kimsingi siasa ni game na ili kushinda lazima kujipanga. Kilicho muhimu ni kwamba CCM haina mtu msafi hata Sitta si msafi maana Richmond ilimshinda kuimalizia!

We chezea
 
watu kaskazini wameshakaa chini wameungana. nilisikia ccm ikimpitisha lowassa. ccm na chadema wataungana na kuunda serikali ya umoja kama wenzetu wa kenya..
 
Chadema wanadhani ni sifa nzuri kusema eti wanamsema Sitta na mambo yake sababu kawachokoza, ni ujinga ambao sikutegemea mtu ka Dr.Slaa kuusema. Hii inamaanisha mambo yote anayotwambia kuhusu viongozi wa CCM ni kwa ajiri ya bifu tu. Kama Sitta asingemsema Mbowe, Chadema wangeendelea kumfichia uozo wake. Nashawishika kuhoji umakini wa Dr Slaa. Lazima kuna mambo mengine mengi ambayo ni uchafu katika nchi hii hayasemi 7bu yanawahusu maswahiba wake. Huo sio ukomavu wa kisiasa
 
This is total rubbish!! Hata kama aje nani kugombea urais kwa upande wa CCM. 2015 hatudanganyiki kamwe. Hata kama Chadema watasimamisha jiwe hilo ndilo tutalichagua. Hayo ni mawazo na maoni yako tu hakuna cha kwamba umepata kutoka ndani ya Chadema acha uzushi usiokuwa na maana. Aliyeanza kushambulia Chadema na viongozi wake ni huyo Sitta na wala si Dk Silaha. yeye kaanza na DK kamjibu ili kufichua unafiki wake. Sasa hoja yako iko wapi?
 
Hizo siasa za ccm na minyukano yao, msituhusishe hatupo. Kama tunamlinda Lowasa mwambie aropoke kama Sitta uone matokeo yake.
 
Kazi ya kichwa sio kufuga nywele ndugu.....wewe na samwel sita vichwa vyenu mumefugia nywele hamtumiii kufikiri tena.....lowasa halopoki lopoki kama ilo bichwa la sita,,hagombani na chadema au viongozi wa chadema,,,,anapamba na waziri wa vijana na ajira...kilimo baadae elimu kwanza na mengine lakini ilo bichwa sita lina angaika na majungu,uzushi,usaliti,ftna na kuficha ufisadi......Dr.slaaa sio saizi yake.....kamshindwa lowasa sasa anahaha ccm itamtosa 2015 hana pakwenda kwanini asiangaike lowasa atakua mwenyekiti wa ccm soon sita hana chake mwenzie olesendeka anajikosha kwa lowasa kila kukicha.....sita anatafuta pa kufia bichwa lile....
 
PHP:
Pili, Lowassa na kambi yake wana kashfa nzito ambazo ni ngumu kuzifuta vichwani kwa watu kuliko Sitta ambaye hana kashfa.

Too low for a great thinker!
Uliza uambiwe kama hujui!

too low for a great thinker....jamaa alikua anamaanisha relatively yaani in comparison between the two individual politicians.

usipende kurukia kitu na kujibu bila ya kufikiri.
 
Back
Top Bottom