Mbinu Tano njia ya mahojiano kati ya polisi na watuhumiwa

aidha Kibatala na wenzake wanatumia mtaala wa haki za binadamu na mkataba wa kuzuia mateso na ukatili kana kwamba ndicho kilichotokea
Mbinu Tano njia ya mahojiano kati ya polisi na watuhumiwa

Mbinu tano ni njia za mahojiano zilizobuniwa na jeshi la Uingereza na kutumika wakati wa machafuko Ireland ya Kaskazini. Mbinu hizi zinahusisha:-

  • Kusimama ukutani kwa mda mrefu ( wall-standing)
  • Kufunika kichwa cha mtuhumia mda wote isipoluwa mda wa mahojiano (hooding),
  • Makelele ( subjection to noise)
  • Kukosesha usingizi ( deprivation of sleep)
  • Kumnyima mtuhumiwa maji na chakula ( deprivation of food and drink)
Wamarekani wao walibuni hizi na kuzitumia katika mazingira tofauti

Interrogation techniques authorized by the Department of Justice (DoJ) and used by the CIA reportedly included:

• grabbing and shaking prisoners;

• slapping prisoners to cause pain and fear;

• forcing prisoners to stand for upwards of 40 hours;

• exposing prisoners to extremely cold temperatures for prolonged periods and dousing them in cold water;

• waterboarding prisoners by binding them to a board, wrapping their faces in plastic and pouring water over them; or strapping them down, putting a washcloth over their faces and pouring water into their noses; • confining prisoners in coffin-style boxes;

• keeping prisoners in darkness without access to light; and

• blaring continuous loud music at prisoners.

The Military’s Coercive Interrogation Techniques

• “interrogator identity” (interrogator impersonates a citizen or interrogator from a country known for harsh treatment of prisoners);

• stress positions, such as standing, for up to four hours;

• isolation for up to 30 days, with extensions beyond 30 days upon Commanding General approval;

• deprivation of all light and auditory stimuli;

• hooding during transportation and questioning;

• 20-hour interrogations;

• the use of a prisoner’s individual phobias, such as fear of dogs, to induce stress; and

• light pushing.

Later modified

• dietary manipulation;

• hooding and other sensory deprivation techniques;

• environmental manipulation;

• sleep adjustment;

• “false flag” (leading prisoners to believe that they have been transferred to a country that permits torture); and

• isolation.

Unakopi mambo yaliyokuwa yakifanywa miaka ya 70! Dunia ilikwisha ingia kwenue mikataba mipya ya haki za binaadamu.
 
Inashangaza kuona mjadala unahama!Naona hata wasiompenda Mbowe wanakubali kwamba Kuna watu waliteswa Ili waseme kile ambacho askari walikitaka!
Nguvu imehamia kuhalallisha mateso kama njia ya kupata "confession"!

Huko mbeleni tutaona mengi,gia zitabadilika kila wakati!Baadaye tutaambiwa hata kuandika na kuwapa majina ya uongo watuhumiwa Ili ndugu zao wasijue walipo ni mbinu za upelelezi!

Mwishoni tutaambiwa hata askari kutoa ushahidi wa uongo ni sehemu ya kutenda haki!

Swali:How far are you willing to go?
 
Mbinu Tano njia ya mahojiano kati ya polisi na watuhumiwa

Mbinu tano ni njia za mahojiano zilizobuniwa na jeshi la Uingereza na kutumika wakati wa machafuko Ireland ya Kaskazini. Mbinu hizi zinahusisha:-

  • Kusimama ukutani kwa mda mrefu ( wall-standing)
  • Kufunika kichwa cha mtuhumia mda wote isipoluwa mda wa mahojiano (hooding),
  • Makelele ( subjection to noise)
  • Kukosesha usingizi ( deprivation of sleep)
  • Kumnyima mtuhumiwa maji na chakula ( deprivation of food and drink)
Wamarekani wao walibuni hizi na kuzitumia katika mazingira tofauti

Interrogation techniques authorized by the Department of Justice (DoJ) and used by the CIA reportedly included:

• grabbing and shaking prisoners;

• slapping prisoners to cause pain and fear;

• forcing prisoners to stand for upwards of 40 hours;

• exposing prisoners to extremely cold temperatures for prolonged periods and dousing them in cold water;

• waterboarding prisoners by binding them to a board, wrapping their faces in plastic and pouring water over them; or strapping them down, putting a washcloth over their faces and pouring water into their noses; • confining prisoners in coffin-style boxes;

• keeping prisoners in darkness without access to light; and

• blaring continuous loud music at prisoners.

The Military’s Coercive Interrogation Techniques

• “interrogator identity” (interrogator impersonates a citizen or interrogator from a country known for harsh treatment of prisoners);

• stress positions, such as standing, for up to four hours;

• isolation for up to 30 days, with extensions beyond 30 days upon Commanding General approval;

• deprivation of all light and auditory stimuli;

• hooding during transportation and questioning;

• 20-hour interrogations;

• the use of a prisoner’s individual phobias, such as fear of dogs, to induce stress; and

• light pushing.

Later modified

• dietary manipulation;

• hooding and other sensory deprivation techniques;

• environmental manipulation;

• sleep adjustment;

• “false flag” (leading prisoners to believe that they have been transferred to a country that permits torture); and

• isolation.

Uzi wako mzuri mkuu ila ungetupia na translation za kiswahili hapa na pale ungekua mzuri zaidi
 
Back
Top Bottom