Ndugu zangu, sijaona mahala pa kuuliza nikapata msaada kama katika jukwaa hili la wanajamii, watu walioelimika na walio na mapenzi ya kuwasaidia wenzao. Sasa jamani ndugu zangu nahisi sitoweza kuendesha gari jijini Dar na hata mikoa mingine. Jirani yangu kanunua gari automatic amekuwa akinipa shule ya kuendesha ila kila nikiingia road napata hofu, siwezi kabisa ku control usukani, brake usinambie kupiga reverse na kukato kona
Ananifanyisha mazoezi lakn wapi, moyo unapenda lakn uwezo nashindwa, hzi ni barabara za uchochoroni sijui huko barabar kuu itakuaje
Ndio nauliza wakubwa nifanyeje nijue kuendesha gai?
Ananifanyisha mazoezi lakn wapi, moyo unapenda lakn uwezo nashindwa, hzi ni barabara za uchochoroni sijui huko barabar kuu itakuaje
Ndio nauliza wakubwa nifanyeje nijue kuendesha gai?