Mbinu rahisi ya kutoa maji yakikuingia sikioni ukiwa unaoga ni ipi?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu rahisi ya kutoa maji yakikuingia sikioni ukiwa unaoga ni ipi?!

Discussion in 'JF Doctor' started by Steve Dii, Jun 25, 2009.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Naomba mnisaidie wana JF, ni namna gani natoa maji yaliyoingia sikioni?

  Kwa waliopatwa na karaha hii nadhani watakubaliana nami jinsi gani inasumbua saa nyingine... maana mtu unazungurusha kichwa weee, wapi..... na ukigonga-gonga kichwa unakikia kinalia kama kopo la blueband.

  Nisaidieni tafadhali!!!
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mimi mbinu niitumiayo japo siyo scientific inasaidia sana na inanifaa.
  Kama maji yameingia sikio la kulia mathalan, basi wewe weka maji ya kutosha kiganja cha kulia kisha tilt kichwa chako kilalie zaidi kushoto halafu weka yale maji ya kiganjani sikio hilo la kulia haraka na kukirudisha kiinamie kulia ...hiki kiwe kitendo cha haraka utashangaa maji yale yatakavyotoka upesi!
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Shukrani WoS, nitaitumia hii mbinu walau mara moja kwanza kujaribishia. Unajua maumbile ya masikio yetu naamini yanatofautiana, kuna watu wengine naona hawapatwi na mkasa kama huu mara kwa mara labda kutokana na maumbile yao.
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  may be i explain the mechanism!
  kuna kitu kinaitwa COHESION FORCE,the force of attraction between two molecules of the same nature.ukiyaweka yale maji kwenye sikio linalokusumbua,yanaungana na maji yaliyoko ndani ya sikio,na pindi unapoturn opposite,yatatoka yoooote,sababu yatakuwa yameungana (maji ya ndani ya sikio na yale ya kiganjani kwa COHESION FORCE
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kacheze mpira, wala hutajua lini yalitoka......
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi maji yakiingia sikioni unakuwa concerned na kuhangaika kuyatoa. Mimi huna najaribu kurelax na kusahau kama maji yapo sikioni. Baada ya dakika kama 5 hivi za kurelax huwa yanatoka. Btw, kuna raha fulani hivi huwa nahisi yakiwa yanatoka:)!
   
 7. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Thanks Geoff!
  So my mbinu is scientific afterall LOL!
   
 8. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Sawa Mkuu,
  Uitumie mara maji yanapoingia wakati unaoga..usisubiri hadi yakae muda ndipo uyatoe.
   
 9. e

  ejom Member

  #9
  Jun 26, 2009
  Joined: Jan 19, 2009
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  tafuna big j au bazoka meza mate kwa nguvu utasikia kinacho tokea sikioni au hata meza tu mate kwa nguvu hiyo ni dawa pekee
   
Loading...