Mbinu nayotumia kumlea mwanangu anayesoma private awe mjanja, awe na furaha, asigeuke kuwa kuku wa kisasa

Nilistuka mapema sana juu ya madhara ya kusomesha watoto hizi private, unakuta mtoto anatoka saa 10 jioni, akitoka hapo ni tuition, akitoka hapo ni homework na wengi hawatoki nje ni geti kali ni ndani tu hii inahirbu sana maisha ya mtoto.

Pia Malezi ya siku hizi pia yamechangia mno kuwafanya watoto wawe mazube maana watoto ni kuwafuga kama kuku ndani ya mageti (geti kali) huku wazazi wengi wakijidanganya kwamba wanapata furaha kamili kwa katuni na kunanunulia games.

Nakumbuka zamani tukitoka shule tulikua hatukai ndani ucheza games au kuangalia katuni, Tulikua na vikundi vya watoto mitaani tunacheza mpira, kuogelea na hata kujifunza kuto onewa hovyo hovyo, dada zetu walicheza rede, kupika, n.k Hii michezo na maisha haya yalifanya tujue kuishi na jamii tofauti na siku hizi unakuta litoto linachojua na games, katuni na what is water. ukimpeleka huyu mtoto nje kuna uwezekano mkubwa wa yeye kuonewa na hata kuwa mpweke asiwe na marafiki maana hajui ku interact na watu (Hili tatizo ni kubwa ulaya).

Binafsi mtoto wangu wa kiume namsomesha english medium hizi, mara ya kwanza shule niliyompeleka walikua darasani 18 tu na wanatoka saa kumi, kwa huu uchache nakumbuka alikuwa ana rafiki moja tu na muda mwingi ulikuwa ni kusoma hadi saa kumi.

nikaona huu upuuzi sasa, shule ndio ni muhimu ila sio kila kitu kwa mtoto wangu kuna maisha mengi mno anayopaswa kujifunza, Nikamwamishia shule ambayo wapo 48 darasani na wanatoka saa saba na nusu ila tu darasa la saba tu ndio wanatoka saa tisa. Yeye yupo darasa la tatu shuleni huwa yumo kumi bora na hii inatosha kwangu siamini sana mambo ya kuwa wa kwanza.

akitoka shuleni anakula, anafua nguo zake, Zamani nilikuwa nimempiga geti kali ila baada ya hapo nikaanzisha utaratibu anapelekwa nje kidogo ya mjini kwa bibi yake ambako hucheza na wenzake, kulima, kuogelea mtoni, kuwinda, n.k anaenda huko kwa sababu hapa mjini watoto wengi ni mageti kali wapo ndani.

Siku hizi kawa muongeaji mno nlivyomwanzishia huu utaratibu, Kawa mjanja, Shuleni kwao kageuka kuwa aina ile ya mwanafuzni darasani ambae kila mwanafunzi anataka kuwa rafiki yake na nadhani hii ni kwasababu huwa anawapa stori ama kuwafundisha wenzake vitu alivyofundishwa au alivyofanya huko kwa bibi yake,

Shule aliyopo ni yeye peke yake anaweza kuruka zile sarakasi za nyuma basi wenzake wanamkubali sana,

Nimeiwa shuleni kwa kesi za utundu utundu huu wa wavulana kama kupiga kelele na kutania wenzake (kesi 1 mwenzake kesi 2 wasichana) Binafsi ndivyo navyotaka awe mchangamfu na nikiri tu nilifurahi hizi kesi japo nilimkjanya kwa shingo upande, Sitaki mtoto azubae zubae

Sijamlipia school bus kwa maksudi kabisa japo nina uwezo, nilishangaa aliponiambia wenzake pia shuleni wanapenda sana wawe wanatembea kama yeye pamoja na wenzake wawili ambao hawajalipiwa school bus :):)

Ni hayo tu, Nawaonea huruma wazazi ambao huipa shule kipaumbele mno na kuwafungia watoto wao nyumbani, Matokeo yake mtoto anakuwa hana social skills, anakua anaonewa kirahisi, hafanyi mazoezi hata ya kuimarisha miguu kwasababu ya school bus, anakuwa yupo yupo tu kichwani anajua games na katuni tu.
Bora mkuu maana angemaliza chuo bila utashi wa kujichanganya ujue angekuwa mwanao hapo home mpaka unafikisha miaka 70 unae tu, maanake angekuwa muoga sana kuanza maisha ya kujitegemea ile fighting spirit ambayo watoto wa mbwa wengi huwa wanakuwa nayo mapema tu on their late teens angekuwa hana.

Binafsi hio kitu imenitesa sana maana mi nimelelewa maisha ya geti kali from Standard 1 to O'level hapo form 2 naishi maisha ya Imla tu na kutii utawala wa wazazi. Nikahamishiwa boarding uboyzini form 3-4 walau nikawa exposed japo nilikuwa bonge la boya. Nimemaliza form 4 sina confidence hata ya kumsimamisha demu na kumpa madini japo nilikuwa nawatamani sana. Simu ya kuongea na demu simalizi dk 2 ashakatisha maana sina story kabisa was too fucking boring.

Ila sasa baada ya kutoka kifungoni toka nimeingia life la chuo nikamix na la mtaa ilikuwa hatari sana. Nikateswa na mapenzi nikapona sahii mi ni mdeadly! Neno moja naweza sema ni "Cuff yo chick!"🤣🤣🤣
 
Ila ungempeleka shule za serikali, hayo mambo yote anayakuta huko..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata kuwa shoga kabisa...... Lazima mtoto mfundishe mazingira yote yote.

Mimi sifurahii mazingira niliyolelewa yaani sijui kucheza mpira, sijui kuogelea, sijui kucheza draft wala bao, sio shabiki wampira aina yoyote yaani nipo ipo2 kidogo tena kidogo sana kwenda club au live band

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanae anaruka salakasi za kinyume nyume!

hivi ukiruka salakasi za kinyume nyume ni moja ya social skills??

mwanae sasahiv amepata vikesi viwili vitatu huko shuleni

kumbe kupata vikesi viwili vitatu ni moja ya social skills?!
 
Hivi ndivo itakavokua kwa mwanangu..na ataanza dojo la karate mapema...Toto likiwa legelege ndo unakuta ile anawa follow akina davitk na juma lokole
 
mwanae anaruka salakasi za kinyume nyume!

hivi ukiruka salakasi za kinyume nyume ni moja ya social skills??

mwanae sasahiv amepata vikesi viwili vitatu huko shuleni

kumbe kupata vikesi viwili vitatu ni moja ya social skills?!
Mkuu uwe unasoma na kuelewa

Shule nzima anajua peke yake kuruka hizo sarakasi, Kwa watoto wenzake hapo shuleni kageuka kuwa maarufu mkuu, wenzake wanamuomba awafundishe na kutamani kuwa kama yeye, hii ni sifa nzuri kweny cv yake ya maisha,

Vikesi viwili vitatu vinaonesha kidogo saizi kawa mchangamfu, na sio kesi za kupiga wenzie au kutoroka shule bali ni kesi za kupiga kelele darasani na kutania wenzake hasa wasichana, Hiki ni kitu cha kawaida kwa mtoto mvulana na ni moja ya sign kwamba hiki ni kidume.

Kuhusu social skills naweza kusema nimeridhika kwa hatua aliyofikia, ni mcheshi na ana charisma ya kuvutia wengine shuleni kwao wampende, Hii yote naweza kusema ni kwasababu nimemfungulia geti
 
Ila ungempeleka shule za serikali, hayo mambo yote anayakuta huko..

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ubaya wa shule za serikali elimu ipo chini sana unakuta walimu hawaingii kufundisha na hata mtoto akamaliza darasa la saba hajui kusoma na kuandika vizuri, Ila pia hizi shule za serikali hawafundish kiingereza na hii ni changamoto mtoto atapojiunga sekondari.

Kwa hio kwenye elimu nimemweka upande wa private huku ila kwenye kujichanganya ninampeleka huko nje kidogo ya mji ajifunze maisha halisi ya kijamii ya mtanzania halisi, Haya mambo ya kuwafungia magetini sio maisha yetu ya asili
 
Bora mkuu maana angemaliza chuo bila utashi wa kujichanganya ujue angekuwa mwanao hapo home mpaka unafikisha miaka 70 unae tu, maanake angekuwa muoga sana kuanza maisha ya kujitegemea ile fighting spirit ambayo watoto wa mbwa wengi huwa wanakuwa nayo mapema tu on their late teens angekuwa hana.

Binafsi hio kitu imenitesa sana maana mi nimelelewa maisha ya geti kali from Standard 1 to O'level hapo form 2 naishi maisha ya Imla tu na kutii utawala wa wazazi. Nikahamishiwa boarding uboyzini form 3-4 walau nikawa exposed japo nilikuwa bonge la boya. Nimemaliza form 4 sina confidence hata ya kumsimamisha demu na kumpa madini japo nilikuwa nawatamani sana. Simu ya kuongea na demu simalizi dk 2 ashakatisha maana sina story kabisa was too fucking boring.

Ila sasa baada ya kutoka kifungoni toka nimeingia life la chuo nikamix na la mtaa ilikuwa hatari sana. Nikateswa na mapenzi nikapona sahii mi ni mdeadly! Neno moja naweza sema ni "Cuff yo chick!"🤣🤣🤣
I feel your pain mzee,

Wengi waliosoma shule hizi private na nyumbani ni mageti kali wamepitia maisha yaliyowapunguzia social skills nyingi kabla ya kuachiwa huru wakiwa chuoni.

Binafsi nina mtoto wa dada yangu alisoma shule huko mufindi darasani wapo 20 tu, shule nzima sekondari hata mia hawafiki, na shule ni ya kishua kila mtu kajivimbia, dogo hata ukicheki profile yake ya facebook na instagram akipost kitu basi ana likes 10 tu na ukifatilia walio like ni wenzake aliosoma nao ambao nao wakipost kitu likes ni hizo hizo.

Yaani wengi wakifika chuoni ndio wanaanza kujihisi free na hapo mtu tayari ana miaka 20 na kabakiza miaka kama 8 tu ya kufanya vitu vya ule ujana wa kubahe wakati wenzake walishaanza kitambo
 
Upo sahihi,lkn mimi huwa namchanganya pia kitaani,mfano huwa naenda nae mazoezin asubuh uwanjan ambapo ni mchangani na akifika hapo anacheza mpira na watoto wa shule za kata. Hii imenifanya kuona tofaut yake yeye na hao watoto, yeye anakosa ushapu lkn siku zinavyokwenda anabadilika. Nisichopenda kwa watoto wa kata ni tabia mbaya kama matusi nk, sasa nikiwepo wanaogopa kutoa hayo maneno ya ovyo.
Unakosea mkuu, inabidi awe anaenda peke yake yeye kama yeye, bila hivyo wenzake wanamuona ni dhaifu na anatumia mwamvuli wa baba yake.

Siku nyingine aende kiwanja tofauti yeye kama yeye ajipambanie mwenyewe, tunapokosea wazazi wengi tukisikia mtoto kapigwa na mwenzake tunamtoa hio sehemu tukidhani ndio uamuzi sahihi ila tunasahau ya kwamba hakuna kitu kizuri kisichopitia changamoto, Huenda kapigwa kwasababu hajui kujitetea na hapo ndipo anapopata skills za kujitetea aidha kwa kutumia mikono au kwa kujenga urafiki na wengi ili wamtetee.
 
unasema ulaya kuna tatizo la watu kushindwa kusocialize.ongeza maelezo kidogo

Hittin Blunts and Bustin Nuts
Watu wengi ulaya social skills zipo chini sio kama huku kwetu, Fanya utafiti tu utagundua wazungu wengi sana wanakaa majumbani mwao peke yao na mbwa au paka na hiii inapelekea kuwajathamini sana hawa mbwa na paka kuliko hata binadamu.

Mfano kwa korea na china kuna hizi rehab kama wanazoenda wahanga wa madawa ya kulevya ili warudi hali ya kawaida ila huko kuna rehab za watu wanaocheza sana games kwasababu ya upweke, yani unakuta mtu anacheza play station siku nzima hawezi kuwa na social skills huyu hata iweje kwa hio inabidi apelekwe huko rehab kidogo ajirudi.

Wazungu wengi ni watu wapweke sana, Hili halina ubishi, Wanaijeria wengi sana wanawatapeli wazungu mitandaoni kwa kuanzisha urafiki na kuwadanganya wawape nauli waende huko kwao ili wawape kampani
 
Hongera kutimiza mtizamo wako.

Umeongea malezi ya mwanao wa kiume hali ni tofauti kwa mtoto wa kike. Dunia ya sasa imebadilika sana, ni lazima kufahamu mtoto yuko wapi, anafanya nini na nani.

Zamani tulicheza kwanuhuru mtaa kwa mtaa mpaka kiza watoto wa jinsia zote na haikuwa na athari maana ulinzi wa watoto halikuwa jukumu la mzazi tu bali jamii nzima inayozunguka ndio maana hakukuwepo na Visa vya watoto kupotea, kulawitiwa,kubakwa,kuuwawa, kunyofolewa viungo nk.

Leo hii dunia sio kama ile ya wakati ule. Binadamu wamekuwa wabaya zaidi mara 100. Hata ndugu zetu wa dmu hatuwaamini tena maana nao wamekuwa wanyama.

Kumuacha mtoto anapuyanga kutwa bila kuwa na taarifa aliko kwa wakati huo ni kuhatarisha maisha yake.

Swala la kulelewa kwa bibi sio wote watakuwa na mabibi.
Pia kumbuka mtoto halelewi na bibi bali mzazi . Kizazi cha bini wa kisasa hasa hawa mjini wavaa pedo hawawezi kutengeneza maadili ya wajukuu.
Sihitaji mwanangu ajifunze sijui kuwinda wanyama sijui ndege sijui kupiga sarakasi.
Kama kuwinda vipo vyuo vya wanyama wanatoa na vyeti.

Kama ni sarakasi na ukakamavu yapo madojo ya kuwa train na watu wenye ujuzi nayo, sio ya kuvunjana shingo mtaani.

Kama ni kuogelea mbona shule nyingi tu sasaivi wanakuwa na outing za bich na social skills nyingi zinasimamiwa na walimu wataalam.

Siwezi mruhusu mwanangu akajifunzie kuogelwa kwenye mabwawa ya vinyesi eti kumfunza maisha .

Tafuta shule Bora bro kuna kila kitu, mfuko wako tu.

Hata humo ndani mtoto anavyofugwa kama kuku wa kisasa kuna hatari ya maisha tena ya kisaikolojia mkuu, Binafsi naamini mtoto wa kiume kazaliwa kukabiliana na changamoto maana atajutana Nazo kibao tu hata akihitimu masters hii ambayo imekuwa kama yebo yebo.

Binafsi siwezi kumlipia mtoto Wangu school bus wakati ana miguu na njia ya kuridia nyumbani anajua, huku ni kumdumaza mtoto.

Namlea Mimi na sio bibi yake, naomba uwe unaelewa unaposoma, huko kwa bibi yake amaendaga kushinda mchana mpaka jioni saa 12, hao wabibi wanaovaa pedo labda wa huko dar wa huku kwetu wapo katika maisha ya kimaadili na hata wajukuu wakikosea ni fimbo hazikosekani.

Acha kuomgea vitu usivyovojua kama hujui piga zipu, mto anaoogelea na wenzake ni msafi kabisa na salama kuna watu kibao wanaona watoto wanavyoogelea.

Hayo mambo ya kumpeleka mtoto sijui vyuo vya kuwinda, kuogelea, sarakasi, n.k usifikiri nilikuwa siyajui, La hasha lengo halikuwa hilo ila tu kwa mazingira ambayo mwanagu yupo na marafiki zake huko anakoshindaga hio ndio michezo yao, na bado ipo mingi sijaitaja.

Naamini shule ambayo yupo ni bora tayari maana kitaifa unafanya vizuri tu, na kumpeleka mwanangu boarding hio ni hapana kabisa,

Najivunia furaha ya mtoto wangu, zamani nilihisi labda ana ugonjwa huu wanauita anti social au introvert nikasema haya magonjwa hayapo kama mtu akichangamana na wenzake na kweli saizi Dogo ni mjanja sana, utundu, muongeaji, n.k na darasani yeye anashika namba nane na hii Mimi inanitosha sina upuuzi wa kuwa wa kwanza.

Nakutakia malezi mema ya kulea hao kuku wako wa kisasa
 
Watu wengi ulaya social skills zipo chini sio kama huku kwetu, Fanya utafiti tu utagundua wazungu wengi sana wanakaa majumbani mwao peke yao na mbwa au paka na hiii inapelekea kuwajathamini sana hawa mbwa na paka kuliko hata binadamu.

Mfano kwa korea na china kuna hizi rehab kama wanazoenda wahanga wa madawa ya kulevya ili warudi hali ya kawaida ila huko kuna rehab za watu wanaocheza sana games kwasababu ya upweke, yani unakuta mtu anacheza play station siku nzima hawezi kuwa na social skills huyu hata iweje kwa hio inabidi apelekwe huko rehab kidogo ajirudi.

Wazungu wengi ni watu wapweke sana, Hili halina ubishi, Wanaijeria wengi sana wanawatapeli wazungu mitandaoni kwa kuanzisha urafiki na kuwadanganya wawape nauli waende huko kwao ili wawape kampani
serious aisee hata kuna documentary moja niliona inaeleza kuwa huko ulaya kuna baadhi ya wazee ni wapweke sana

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
Hata humo ndani mtoto anavyofugwa kama kuku wa kisasa kuna hatari ya maisha tena ya kisaikolojia mkuu, Binafsi naamini mtoto wa kiume kazaliwa kukabiliana na changamoto maana atajutana Nazo kibao tu hata akihitimu masters hii ambayo imekuwa kama yebo yebo.

Binafsi siwezi kumlipia mtoto Wangu school bus wakati ana miguu na njia ya kuridia nyumbani anajua, huku ni kumdumaza mtoto.

Namlea Mimi na sio bibi yake, naomba uwe unaelewa unaposoma, huko kwa bibi yake amaendaga kushinda mchana mpaka jioni saa 12, hao wabibi wanaovaa pedo labda wa huko dar wa huku kwetu wapo katika maisha ya kimaadili na hata wajukuu wakikosea ni fimbo hazikosekani.

Acha kuomgea vitu usivyovojua kama hujui piga zipu, mto anaoogelea na wenzake ni msafi kabisa na salama kuna watu kibao wanaona watoto wanavyoogelea.

Hayo mambo ya kumpeleka mtoto sijui vyuo vya kuwinda, kuogelea, sarakasi, n.k usifikiri nilikuwa siyajui, La hasha lengo halikuwa hilo ila tu kwa mazingira ambayo mwanagu yupo na marafiki zake huko anakoshindaga hio ndio michezo yao, na bado ipo mingi sijaitaja.

Naamini shule ambayo yupo ni bora tayari maana kitaifa unafanya vizuri tu, na kumpeleka mwanangu boarding hio ni hapana kabisa,

Najivunia furaha ya mtoto wangu, zamani nilihisi labda ana ugonjwa huu wanauita anti social au introvert nikasema haya magonjwa hayapo kama mtu akichangamana na wenzake na kweli saizi Dogo ni mjanja sana, utundu, muongeaji, n.k na darasani yeye anashika namba nane na hii Mimi inanitosha sina upuuzi wa kuwa wa kwanza.

Nakutakia malezi mema ya kulea hao kuku wako wa kisasa
Hii ndy kanuni yangu ya watoto wangu..waishi maisha halisi..wenye Uzungu wache wazunguke..maisha ya watoto Wangu ni fumbo nililobeba mzazi wao..wewe unaweza ona nawatesa kumbe mimi nawandaa kukabiliana na changamoto za kila siku kwny future yao!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta peasa jomba hayo yote sijui kubinuka sarakasi, kutjifunza kutega ndege, kuogelea kwenye mabwawa ya kichocho ni umaskini tu.

Familia zenye uwezo huwezikuta na hizo mabo kaka .Mo Dewj ampeleke mwanae kutega ndege sijui sarakasi za kinyumenyume mtaani wakati wataalam wa hizo mambo wapo ni uwazimu.

Pesa ikiwepo shule unachagua mwenyewe. Mbona watoto wanakwenda matour mpaka nje yanmipaka ya nchi achilia vivutio vya humu nchini?

Pesa ikiwepo mtoto anapata exposure ya kutosha tofauti na wakwako anaeshinda anawinda ndege na sarakasi za kinyume nyume bila skills.

Tunaeapeleka watoto kwenye training za kuogelea, marshal art ili baadae ziwe fursa ya kujipatia pesa. Sasa wewe wa kwako anashinda anaogelea matopeni na kupauka inaishia hapo hawezi kushiriki hata mashindano ya kuogelea, kukimbia, marshal art kwa sababu hana skills za kutosha na hajilui rules.

Hana networks zaidi ya wahuni wa mtaani kwao, hana exposure zaidi ya mtaani kwake na bibi ake, hajawai kwenda tour ya maana zaidi ya kwenda porini kuwinda panya.

Yawezekana we ndo kwanza umeanza kuzaa na huyo ndo mtoto wako wa kwanza . Nimekuuliza malezi hayo pia ni kwa mtoto wa kike? Hukujibu.

Kuhusu mtoto kuwa kwenye kumi Bora darasani naona na wewe umekaririshwa kwamba akili inaanzianmoja mpaka kumi, pole sana.

Wenzako hatuagalii hayo manamba bali tunaangalia mtoto anapata nini, amekosa nini, anajua nini, anaweza nini, anapenda nini na anakipaji gani ili aendelezwe huko. Huwezi lazimisha mtoto awe eti kwenye kumi Bora ndo uone ni mafanikio, kumbuka kuna ngazi za elimu hakuna hizo mambo ulizo karirishwa eti kumi bora.

We unadhani hao waliofanikiwa walikuwa kwenye 10 bora? Pesa ikiwa ya mawazo mau ya uganga ndo utakuwa na kuishi katika mawazo ya karne ya 15 wakati dunia inakimbilia karne ya 22.

Nasisitiza, tafuta pesa acha kumtesa mtoto eti azoee maisha halisi.
Kwanini umtabirie mtoto maisha ya kimaskini. Basi hata viatu usimnunulie mwache atembee pekupeku maana ndo maisha halisi ya huko kijijini mnakoishi.

Mwisho jukumu la kulea na kufunza ni lako mzazi, hizo mambo ya kwa bibi ni kukimbia majukumu.
Lazima mzazi aweze kubaini kuwa mtoto anatakiwa afundishwe changamoto za dunia ya sasa na mwelekeo wa dunia ijayo.

Sasa we mshindishe kwa bibi yake afundishwe kutega mitego ya panya eti ndio ujanja tuone itamsaidia nini akisha fahamu.

Usikariri maisha ya kimaskini bro. Tafuta faranga!
Hata humo ndani mtoto anavyofugwa kama kuku wa kisasa kuna hatari ya maisha tena ya kisaikolojia mkuu, Binafsi naamini mtoto wa kiume kazaliwa kukabiliana na changamoto maana atajutana Nazo kibao tu hata akihitimu masters hii ambayo imekuwa kama yebo yebo.

Binafsi siwezi kumlipia mtoto Wangu school bus wakati ana miguu na njia ya kuridia nyumbani anajua, huku ni kumdumaza mtoto.

Namlea Mimi na sio bibi yake, naomba uwe unaelewa unaposoma, huko kwa bibi yake amaendaga kushinda mchana mpaka jioni saa 12, hao wabibi wanaovaa pedo labda wa huko dar wa huku kwetu wapo katika maisha ya kimaadili na hata wajukuu wakikosea ni fimbo hazikosekani.

Acha kuomgea vitu usivyovojua kama hujui piga zipu, mto anaoogelea na wenzake ni msafi kabisa na salama kuna watu kibao wanaona watoto wanavyoogelea.

Hayo mambo ya kumpeleka mtoto sijui vyuo vya kuwinda, kuogelea, sarakasi, n.k usifikiri nilikuwa siyajui, La hasha lengo halikuwa hilo ila tu kwa mazingira ambayo mwanagu yupo na marafiki zake huko anakoshindaga hio ndio michezo yao, na bado ipo mingi sijaitaja.

Naamini shule ambayo yupo ni bora tayari maana kitaifa unafanya vizuri tu, na kumpeleka mwanangu boarding hio ni hapana kabisa,

Najivunia furaha ya mtoto wangu, zamani nilihisi labda ana ugonjwa huu wanauita anti social au introvert nikasema haya magonjwa hayapo kama mtu akichangamana na wenzake na kweli saizi Dogo ni mjanja sana, utundu, muongeaji, n.k na darasani yeye anashika namba nane na hii Mimi inanitosha sina upuuzi wa kuwa wa kwanza.

Nakutakia malezi mema ya kulea hao kuku wako wa kisasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera ..
Lakini umesahau vitu vya msingi..
Aina ya shule..
Zipo shule zina jali Sana extra caricularr na social skills...
Pili umesahau kumpa mtoto vitabu vya ziada vingi vyenye story za kila aina..

Tatu kuwa makini na bibi ..
Wanaharibu saana watoto
Mkuu hapo kwa kina Bibi, you have nailed it. nimeshuhudia hilo
 
Back
Top Bottom