Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Hii imezidi kushamiri kuwa ili Yanga ishinde kwa sasa imekuwa ni mpaka mchezaji wa Team pinzani atolewe kwa kadi nyekundu. jambo hili wachambuzi wengi wamekuwa wakilizungumzia kuwa ni aina ya mbinu mpya kabisa ya kocha mzungu akishirikiana na yusufu manji ambayo wanaitumia ili kupata ushindi kwenye mechi ngumu kwao.
Mbinu hii walianza kuitumia kwenye mchezo wao dhid ya wapinzani wao wa jadi Simba na kuibuka na ushindi wa bao 2 kwa bila. wakaendelea hivyo hasa pale team yao inapokuwa nyuma au kukiwa na dalili za draw. ilitokea hivyo tena walipocheza na kagera sugar na hatimaye wakashinda kwa bao 3 kwa 1 baada ya mlinzi wa kagera aliyekuwa kikwazo kwa yanga kupata ushindi kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
style hiyo iliendelea tena dhidi ya ndanda baada ya kuonekana kuwa mchezo ungeisha kwa kufungana 1-1 mlinzi mmoja wa ndanda ilibidi atolewe wacheze pungufu na hivyo yanga kushinda bao la pili.
mchezo uliofuatia dhidi ya mwadui nao ulionekana kuwa mgumu hasa baada ya kuwa wamefungana bao 1-1 ilibidi tena beki wa mwadui atolewe nje ili kuweza kuwasababishia yanga kupata bao la ushindi.
huu ni ubunifu mkubwa sana ambao wameupata kocha na bench lake la ufundi ili kuhakikisha yanga inatetea tena ubingwa wake hasa baada ya kuonekana kuwa ligi ni ngumu na wao wametumia pesa nying sana kwa ajili ya usajili.
timu kdhaa nazo zimeomba kuweza kupewa nafasi ya kutumia mfumo huu ambao yanga wameonekaan kuugundua kuwamaliza wapinzani wao kwa hali na mali.