Mbinu mpya ya Kujiunga na Bando za Chuo za AIRTEL zenye gharama nafuu

karim mtila

Member
Jan 14, 2015
16
34
Hahahah, kama kawaida ya binadamu kila anapopatwa na janga huwa anawaza namna ya kupata unafuu.

Katika harakati zangu za kusaka unafuu nikakutana na chimbo la bando za Aitel za chuo zenye gharama nafuu.

Maisha kusaidiana ,hapa nawawekea procedures mpya za kujiunga na bando hizo.

BOFYA *148*60# KISHA NO 3 ALAFU NENDA NO 7.

Thank me later.
 
Shukrani mkuu, gb2 2000 badala ya elfu5
 
Mkuu nisaidie ujanja upande was Halotel coz nipi kijijini huku na Halo pekee ndo inapeleka moto
 
Airtel hata wakikupa GB 100 usichukue, hutazifanyia kazi.
Niliwahi kununua GB 30 , lakini niliishia kutumia GB 2 Tena kwa tabu Sana. Mtandao unaganda na upo slow sijawahi kuona
 
Mkuu wapo watakaokuja kukupinga kama kule Kwenye Uzi wako wa Pesa imerudi kitaa
 
Back
Top Bottom