Mbinu mpya kujiuza imegundulika, waathirika na wateja wakubwa ni waume za watu

JAMAA MMOJA KATONGOZA WEEE WAUZA MIHOGO KATOSWA BASI KAJA NA KASHFA DHIDI YAO. LEO KWA WAUZA MIHOGO NA MATUNDA KESHO ITAKUA KWA WAUZA VITUMBUA NA MAANDAZI,KESHO KUTWA WAUZA MAGAZETI WANAWAKE ILI MRADI TU KUWAKATISHA TAMAA YA UJASIRIAMALI.
Sio kweli, fanya utafiti utajua
 
Unauhakika gani kama alitoa papunchi ndani ta gari! Au ni hisia ty? Jaribu na wewe
 
Leo katika pita pita zangu maeneo ya gym khana, Aga khan nilimuona mdada/mama mwenye umri kati ya 39,38 amebeba beseni la mihogo kichwani na mfuko wa maembe na ukizingatia siku kama 3 au 4 zilizopita nilikutana na uzi inayowasema vibaya wajasiriamali hawa wanaoshamiri kwa wingi sasa hivi jijini hivyo nikawa nampiga jicho kwa kuwa alikuwa mbele yangu na barabarani palikuwa na foleni cha kizushi

Mara kidogo nikamuona akielekea kwenye moja ya gari bila shaka aliitwa, mimi nikamkata jicho na kwakuwa nilikuwa kama mita 20 nyuma yake hivyo nilikuwa na advantage ya kuusoma mchezo wote kama atakuwa anafanya kazi yake ya kuuza mihogo au kazi nyingine ambayo wanashutumiwa nayo.

Hilo gari ilifunguliwa mlango na muuza mihogo akatwisha beseni lake chini na kama sekunde kadhaa akaingia ndani ya ile gari, nikafanikiwa kulifikia lile gari na mlango ulikuwa bado upo wazi yule mdada alikuwa anacheka /tabasamu tu na ndani ya ile gari walikuwepo njemba watatu.

Nikalipita lile gari na idea ikanijia ya kupiga picha ila bahati mbaya foleni ikawa inatembea nikashindwa kupata angle nzuri ya kupata picha murua lile gari ikasepa.

Nikaendelea na safari zangu lakini mbele kidogo nikakutana na mtu ninaye mfahamu tukapiga soga mbili tatu na kama 30mins namuona yule muuza mihogo akitembea na kuelekea sehemu ambayo ile gari ilimzuia asiende.

NB: Ile nyuzi iliyotolewa siku kadhaa nyuma kuhusu hawa wajasiriamali watembeza mihogo, ndizi naiamini 100% kuanzia leo.

Nilichogundua

1.Hawa akida dada wanatoa huduma ya chap chap.

2.Lakini najiuliza huwa wanatembea na condoms? Kama hawatembei nazo basi tishio la kuongezeka maambukizi ya VVU ni kubwa.

3.Nyie wanawake mliolewa na wanaume/ akina baba wanaofanya kazi Posta , kazi mnayo kwa niliyoshuhudia Leo.

4.Kama dada yako, mke wako anafanya biashara hiyo nakushauri mrudishe kijijini, ipo siku utatumia gharama kubwa hospitali.

Nawakumbusha: UKIMWI upo jihadharini


ac1768ce0169001e7249e6fe5f240ea2.jpg
Kwani wakifanya hivyo wanapata nini? Ninafikiri hata sisi tunachangia kuwaingiza hao wakina dada hata kama walikuwa hawana nia hiyo lakini kwa kuandika habari zao kwa lengo la kupotosha kumeongeza sana watu kuwashawishi kwa kuwa watu wengi sasa wanaamini kwamba wauza mboga na mihigo, nazi na nyanya kwamba wanajiuzi. Tatizo hilo si kubwa kihivyo bado tuna nafasi ya kuandika vizuri ili kuwaponya hao wakina dada wasio kuwa na hatia. Shime tuandike post zetu positively. Sio malaya malaya malaya hao.
 
Nipo namwangalia muuza miogo hapa najaribu kufikiria..... dah mnawasingizia bhana.
Mtu kweli atafanyaje ngono na hawa, jua linakuwa lishampiga mmama wa watu mpaka papuchi imelowa jasho.
Akivua si ni balaa....
Labda na hao wanaume wanaowagonga wana kasoro
 
Nipo namwangalia muuza miogo hapa najaribu kufikiria..... dah mnawasingizia bhana.
Mtu kweli atafanyaje ngono na hawa, jua linakuwa lishampiga mmama wa watu mpaka papuchi imelowa jasho.
Akivua si ni balaa....
Labda na hao wanaume wanaowagonga wana kasoro
 
Nipo namwangalia muuza miogo hapa najaribu kufikiria..... dah mnawasingizia bhana.
Mtu kweli atafanyaje ngono na hawa, jua linakuwa lishampiga mmama wa watu mpaka papuchi imelowa jasho.
Akivua si ni balaa....
Labda na hao wanaume wanaowagonga wana kasoro
mm nadhan na hao wanaume itakuwa mchosho tu
 
Inabidi hata mm nilifanyie utafiti, alafu ndio naweza kukubaliana /kutokubaliana na mtoa mada.
 
Back
Top Bottom