Mbinu mpya kabisa ya kutongoza mwanamke yoyote duniani

You're right.

Maisha haya mwenzangu mkwanja ndo mpango mzima lol

Mie sipendi sana pesa, namaanisha kwamba siwezi poteza utu kwa ajili ya pesa. lakini PESA ndo mpango mzima kwenye mapenzi
 
You're right.

Maisha haya mwenzangu mkwanja ndo mpango mzima lol

Mie sipendi sana pesa, namaanisha kwamba siwezi poteza utu kwa ajili ya pesa. lakini PESA ndo mpango mzima kwenye mapenzi

Absolutely
 
Sio kila mwenye jinsi(a) ya kike ni mwanamke ,wengine wanaishia kua wasichana siku zote za maisha yao
it is very unfortunate hiyo mbinu itakusaidia kuishia kupata msichana (mwanamke wa kweli thamani yake haiwezi kufikiwa kwa mali yoyote) /sex na sio upendo/mapenzi ya kweli ninayoamin ni ya muhimu zaidi be it in digital world au wakati mwingine wowote!
 
Brahbrahbrah as usual hazikosekani from watu wanaongalia tamthiliya za Kifilipino
 
ur right.

maisha haya mwenzangu mkwanja ndo mpango mzima lol

mie sipendi sana pesa, namaanisha kwamba siwezi poteza utu kwa ajili ya pesa. lakini PESA ndo mpango mzima kwenye mapenzi
Kuwa Mwazi Ayanda. Unaposema hupendi pesa halafu pesa ndo mpango mzima unataka tukueleweje. Nadhani mwelekeo wako ni mapenzi na pesa, nipe nikupe..
 
Kuwa Mwazi Ayanda. Unaposema hupendi pesa halafu pesa ndo mpango mzima unataka tukueleweje. Nadhani mwelekeo wako ni mapenzi na pesa, nipe nikupe..

Mimi pesa ya kujitafutia mwenyewe ninayo tu, nina uwezo wa kujipa raha kwa kipato changu hiki hiki kidogo na pia naelewa kuna vitu vya dhamani duniani kuliko pesa kwa mfano afya, ubinadamu na urafiki wa ukweli, ndoa etc.

Ila siwezi date mtu asiye na hela, maana hata gesti itabidi nilipie mimi daily kitu ambacho siwezi kabisa.

Siwezi toka na mwanaume asiye na pesa yake mwenyewe YA KUELEWEKA.PERIOD
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom