You're right.
Maisha haya mwenzangu mkwanja ndo mpango mzima lol
Mie sipendi sana pesa, namaanisha kwamba siwezi poteza utu kwa ajili ya pesa. lakini PESA ndo mpango mzima kwenye mapenzi
Wadhungu wanasema
Money talks!!
^^
Ukweli unaoumiza
^^
Kwani unauza Tshs ngapi kwa kipimo kimoja?Kweli kbs, mimi bila hela wala hunipati.
Kweli kbs, mimi bila hela wala hunipati.
Sahihi....but how new is this new charm buddy....
Kuwa Mwazi Ayanda. Unaposema hupendi pesa halafu pesa ndo mpango mzima unataka tukueleweje. Nadhani mwelekeo wako ni mapenzi na pesa, nipe nikupe..ur right.
maisha haya mwenzangu mkwanja ndo mpango mzima lol
mie sipendi sana pesa, namaanisha kwamba siwezi poteza utu kwa ajili ya pesa. lakini PESA ndo mpango mzima kwenye mapenzi
Kuwa Mwazi Ayanda. Unaposema hupendi pesa halafu pesa ndo mpango mzima unataka tukueleweje. Nadhani mwelekeo wako ni mapenzi na pesa, nipe nikupe..