Mbinu mpya jinsi ya kupata mkopo wa masomo chuoni

lepaima

Member
Nov 3, 2017
44
12
Jamani vijana huu ndo wakati wa kujiongeza mana tuna Sera ya hapa kazi tuu na viwanda kwanza. Vijana tujipanage tujue jinsi ya kupata Mkopo toka serikalini tuwekeze kwenye kilimo na viwanda vidogo vidogo. Kwan tukiwa na Sera nzuri ya kuomba Mkopo serikalini hatuwezi pata? Tuongee na serikalini tukopeshwe kupitia vyeti vya O level na Chuo tuweze kupata Mkopo. Mikopo yenye tija kwa maendeleo ya viwanda na kilimo kwanza. Tukiwa na group la watu watano (5) tukikopeshwa million 25@ million 5 inaweza kupunguza gap la vijana kutafuta ajira.
Njoo tujadili kwa pamoja tujue jinsi ya kufikisha nchi kwenye uchumi wa viwanda
 
Mkopo hautumiki kuanzisha biashara bali unatumika kuendeleza biashara... Mikopo hiyo ina wanufaisha wale vijana ambao tayari wana biashara zao tayari
 
Umemjibu vyema sana...siwezi kukupa mkopo ili ukabahatishe kufanya Biashara...
 
Kilimo kinalipa zaidi kama mazao yatakuwa yanauzwa nje ya nchi na kushika masoko ya juu.
Mimi nimeshuhudia mataifa mengine yanavyojiendeleza kwa bidhaa zao za shambani.
Unakuta maboga yameakatwa na kuandaliwa vizuri lakini hayana mbegu hata moja, kwanini? Kwa sababu mbegu pia zinaliwa na kuuzwa peke yake.
Duniani watu na Tabia zao kwa mfano ninanunua mpaka majani ya migomba na kuuza kwa wahindi (nje ya nchi)
Hata maganda ya machungwa na machenza yaliokaushwa ni bidhaa adimu kwa mataifa mengine.

Yote unayotupa wewe wengine wala.
Vijana mnapofanikiwa kutembelea nchi zingine msiishie kupiga selfie tu bali mjifunze namna ya kusaka soko na hao wanahitaji nini toka kwetu.
Sahau mkopo tafuta chako ingia ubia na wenye nazo
 
Back
Top Bottom