Jamani vijana huu ndo wakati wa kujiongeza mana tuna Sera ya hapa kazi tuu na viwanda kwanza. Vijana tujipanage tujue jinsi ya kupata Mkopo toka serikalini tuwekeze kwenye kilimo na viwanda vidogo vidogo. Kwan tukiwa na Sera nzuri ya kuomba Mkopo serikalini hatuwezi pata? Tuongee na serikalini tukopeshwe kupitia vyeti vya O level na Chuo tuweze kupata Mkopo. Mikopo yenye tija kwa maendeleo ya viwanda na kilimo kwanza. Tukiwa na group la watu watano (5) tukikopeshwa million 25@ million 5 inaweza kupunguza gap la vijana kutafuta ajira.
Njoo tujadili kwa pamoja tujue jinsi ya kufikisha nchi kwenye uchumi wa viwanda
Njoo tujadili kwa pamoja tujue jinsi ya kufikisha nchi kwenye uchumi wa viwanda