MBINU:Jinsi ya kujiunga na jeshi la JWTZ na JKT

Uwe na uzito zaidi ya 55kg
2. Urefu 5'3"
3. Mtanzania
4.Shule form iv na kuendelea.
5. BP iwe safi 120/80.
6.usiwe na makovu ya ajabu ajabu.
7. No tattoo
8. Mseja. Na kama ni mwanamke usiwe umezaa.
9.usiwe shoga wala msagaji.
10. Meno usiwe na mapengo
Asante TANZANIA
Watajuaje kama mwanamke amezaa kama hajasema mwenyewe
 
kuna jamaa alishapitia JKT kwa mujibu wa sheria alienda mlale wazee wakamtambua kupitia records za makao makuu ya JKT wakamrudisha hata kabla mafunzo hayajaanza.
Ni kweli mkuu Ila cha kushangaza kuna vijana walipitia mujibu na wamerudi kujitolea na wamekubaliwa wakati wengine wameambiwa kozi ya JKT hairudiwi kwa kifupi jeshi halikaliriki
 
Back
Top Bottom