MBINU:Jinsi ya kujiunga na jeshi la JWTZ na JKT

1.Awe raia wa Tanzania
2.Awe na Umri kati ya miaka 18-23
3.Awe amemaliza darasa la saba na kuendelea
4.Asiwe ameoa au kuolewa na asiwe na mtu yeyote anayemtegemea
5.Awe tayari kufuata sheria zote za kijeshi zitazokuwa juu yake wakati akiwa jeshini(kutoroka,wizi,ulevi,uvutaji bangi, madawa ya kulevya na upatikanaji wa mimba n.k) Jeshini ni makosa makubwa na utaweza kushtakiwa na kufutiwa mkataba na JKT
6.Awe tayari kurudi nyumbani baada ya kumaliza mkataba wake na Jeshi la Kujenga Taifa
7.Awe na tabia na mwenendo mzuri

Kwenye umri kwa wenye sifa za ziada i.e bachelor & masters degree etc wanachukua hadi 35yrs
 
Operation Magufuli wapo 11000
operation kikwete wapo 8000
oporation mungano wapo 1500 ajira za jwtz zilizotolewa na magufuli zipo 3000 inamanisha apo operation mungano wote waishe 1500 ndo wajazilie wengine 1500 kutoka izo operation kikwete kazi ipo aisee awo wa 11000 hadi 8000 waishe co leo kama kwa mwaka mzima kikoki kimoja tu ndo kinatoa mafunzo tena watu 3000 tu zamani ilikuwa raha mana una kuta vikosi hata vitatu vinatoa mafunzo watu 3000 kwaiyo ni raisi kuwa maliza wote awo unakuja kiangaiko inatoa watu 3000 mafinga watu 3000 wanapiga coz Oljoro pia watu 3000 wanapiga coz ndani ya mwaka mmoja watu 9000 wanakuwa askari ila saiz kazi ipo aisee...
 
yap tupo wengi. kiukweli tunao hitaji tujuzane jamani,, tusichokane
Utaweza push up kwenye kokoto

Utaweza kulala polini week6

Utaweza kutembea na viporo vya ugali kwenye mfuko wa kombati

Utaweza kuoga mtoni bila sabuni

Utaweza kutembelea kiwiko cha mikono Mita200

Utaweza kuitunza silaha siku zote za mafunzo

Utaweza kwata LA jasho na damu

Anyway njoooo
 
Utaweza push up kwenye kokoto

Utaweza kulala polini week6

Utaweza kutembea na viporo vya ugali kwenye mfuko wa kombati

Utaweza kuoga mtoni bila sabuni

Utaweza kutembelea kiwiko cha mikono Mita200

Utaweza kuitunza silaha siku zote za mafunzo

Utaweza kwata LA jasho na damu

Anyway njoooo
mtoto wakikurya hashindwi kitu,,, najiamini naweza,,, udada do,, unakaa pembeni
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom