Mbinu gani nitumie kupata wanafunzi wengi shuleni (pre school)

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
633
500
wakuu habar za muda huu,

Naamini hapa nipata msaada wa kutosha na mbinu mbalimbali kutoka mashule mbali mbali namna wanavyofanya kupata wanafunzi wengi kwenye shule zao.

Hivyo, naomba tusambaze uzoefu wa mbinu hizo ili ziweze kutusaidia na sisi, pia ndugu zangu unaweza kutaja mbinu halali au hata haramu namna watu wanavyoweza kupata wanafunzi.

ili mjadala uwe mpana Sana tusiangalie tu pre school peke yake tuangalie pia primary na sec kwa ujumla.

AMANI IWE NANYI.
 
Feb 28, 2020
74
150
1.Shule iwe na vifaa rafiki Kwa watoto
2.Jikite kwenye Ku solve tatizo badala ya kupata faida zaidi,
3.Weka bei rafiki kwenye mazingira husika yanayozunguka shule yako,
4. Brand your business
5. Kumbuka kuweka sanitizer ili kujikinga na corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom