Mbinu chafu za kisanii alizotumia Kikwete kuomba kura zatua Kinshasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu chafu za kisanii alizotumia Kikwete kuomba kura zatua Kinshasa

Discussion in 'International Forum' started by The Prophet, Mar 18, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu, Zaire wanafanya uchaguzi. Na hivi juzi-kati mtu wetu alijipenyeza Kinshasa kuteta jambo na Ridhwani wa Zaire.

  Baada ya majuma kadhaa tangu atoke huko, mashirika ya habari ya kimataifa yanaripoti kuwa Ridhwani wa Zaire ameanza kuwakamata na kuwafungulia mashitaka ya ufisadi baadhi ya maofisa wa serekali ya Kinshasa.

  hii ni mbinu ambayo mtu wetu aliitumia sana miaka miwili iliyopita wakati akijaribu kujisafishia mjia ya kurejea Magogoni. Watu walikamatwa kwa mbwembwe na mikwara mingi na wengi, hasa watu wa 'amani yetu bado tunaipenda' wakashadadia sana. wengine hata kuanzisha vipindi vya kusherekea bethdei ya mtu wetu kwa njia ya redio.

  usanii huu nadhani sasa umehamia Kinshasa.

  kama kuna mtu wa Zaire ni memba wa JF awaambie wenzake huko Lubumbashi na kwengineko kwamba hao maofisa wanaotiwa nguvuni ni kiini macho tu. Ni mbinu za waswahili wa Dar Es Salaam. Hao maafisa hawatafanywa lolote.


  Congo officials arrest former minister after firing him in campaign to end corruption | StarTribune.com
   
Loading...