Mbinu 5 zakumfanya mteja asiseme hapana ukiwa unamuuzia huduma au bidhaa online

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
767
1,655
Greetings everybody!

Kama kawaida leo jumanne jioni nipo hapa kukupatia mbinu zitakazokusaidia kuuza na kupata profit kwenye biashara yako ya mtandaoni.

Hapa nazungumzia e-commerce Store, consulting management, social Media management, Online Freelancing, kila aina ya biashara unayoweza kufanyia Online mbinu hizi zitakusaidia.

Leo nitakuonyesha kila kitu unachotakiwa kufahamu.

Ushindwe wewe tu kufanyia kazi.

Vile ufahamu kuuza ni sehemu muhimu sana kwenye Business.

Ndiyo maana nasisitiza sana eneo hili kwa wote wanaoendesha Online Business au wanaotaka siku moja kuendesha biashara zao Online.

Ready?

Let’s go.

1 • Don’t Sell. Teach.

What the f**k?

Najua unawaza hivyo.

Nifundushe tena badala ya kuuza?

Ni hivi.

Mtandaoni watu wananunua kwa muuzaji yule tu wanayedhani ana weledi katika bidhaa au huduma anazouza.

Hii weka sana akilini.

Hasa hasa ukiwa unaanza Business yako.

Pata muda wakuelewa kile unachojaribu kuuza.

And don’t stop there.

Teach what you learn.

Hii itakuja kutengeneza kitu muhimu sana baadaye.

Authority.

Kwa wanaonifuatilia kwenye makala zangu na wale ninaowatumia emails wanafahamu hili.

2 • Iwapo mteja ameonyesha interest yakununua kwako lakini akabadili maamuzi siku hiyo endelea kumfuatilia.

Ok.

Hii watu wengi hawapo comfortable nayo.

Lakini lazima ufanye ili usimpoteze potential buyer.

Kumbuka baadhi ya wateja wanachukua muda mpaka afanye maamuzi yakununua. Labda hakuwa na pesa wakati huo. Labda bado anamaswali lakini kwasababu fulani hajaweza kukuuliza.

Huyu ukimuacha anapotea.

Sasa ili uweze kuhakikisha unamfuatilia mtandaoni basi hapa inakufa kitu kinachoitwa email marketing.

I have written a post about Email Marketing unaweza ukani contact I will be glad to share.

Hapa rule ni THE MONEY IS IN THE LIST

3 • Jifunze ku-close deal kwa njia ya Simu.

Natumia IPhone yangu kukamilisha deals ninazofanya na watu wanaokuwa tayari kunilipa baada ya kuwasiliana nao kwenye Email.

Unajua tunaposema Online Business haimaanishi kwamba hutohitaji kuwasiliana na mteja kwa njia ya simu.

Acha uoga.

Maongezi kwa njia ya simu ni stage ya mwisho ya kujenga uaminifu.

Binafsi naenda mbele zaidi kama utahitaji kuniona I’m fine with that.

Ukikiwa mwoga ku-close deals na wateja wako kwa njia ya simu utawakosa wengi.

Weka hii katika option yako.

Ikiwezekana iwekee budget kabisa.

How much you spend on calls. Iwe international au hapa nchini.

WhatsApp sasa hivi imerahisisha mambo.

4 • Kuwa consistency na kazi zako.

Hii nimekuja kujifunza baada ya muda.

And it is very powerful.

Trust me kuna wateja wao wanasubiri waone kama utapotea baada ya miezi ya wiki chache au miezi michache kama walivyo Online entrepreneur wanaoanza.

Kufanaya kazi bila kusuasua tena kwa kipindi kirefu inakujengea uaminifu.

Kwamba wewe huwezi toroka au namna nyingine yeyote ya ulaghai.

Seen?

Mtu wangu inabidi ufanye kazi every single day.

How about that?

Inavunja moyo ee?

Kwamba mambo si rahisi rahisi kama ulivyodhani.

Ndiyo entrepreneurship hiyo.

Inabidi uwe comfortable kufanya mambo uncomfortable. Hasahasa wakati unaanza.

Kipindi hiki hauna pesa yakulipa watu waliobobea kila kitu unafanya mwenyewe.

It is crazy.

But you must keep going.

5 • Ukiwa unawasiliana na potential buyers acha kujiongelea wewe. No one cares about your business. Customers only care about their problems and how you are going to solve them.

Hiyo vipi?

Ukiwa katika hatua yakukamilisha deal na wewe kulipwa Inabidi uwe mweledi.

Kumbuka money ni form ya energy na ili uipate Inabidi uwe una vibrate katika level sawa na ya potential customer.

Ukiongelea sana kuhusu wewe inamaana unamtoa kwenye excitement aliyonayo kwasababu wakati huu mteja anafikiria tu jinsi huduma yako itakavyo tatua shida zake.

Be mindful about this.

Itakusaidia sana.

And you will make millions

Life is too short to not go after your dream.

Go get those money

Tukutane tena siku nyingine kwa post amazing zakuelimisha kama hii.
 
Ukiwa unawasiliana na potential buyers acha kujiongelea wewe. No one cares about your business. Customers only care about their problems and how you are going to solve them.

Hii ni point muhimu sana, kwenye biashara yoyote...

Cc: mahondaw
 
You're so good mkuu..! Big up.
 
Ukiwa unawasiliana na potential buyers acha kujiongelea wewe. No one cares about your business. Customers only care about their problems and how you are going to solve them.

Hii ni point muhimu sana, kwenye biashara yoyote...

Cc: mahondaw

Kabisa mkuu Smart911

Wateja wanataka kusikia jinsi huduma au bidhaa yako itakavyowasaidia na si story zako nyingi zakujisifia.
 
1 • Don’t Sell. Teach.

What the f**k?

Najua unawaza hivyo.

Nifundushe tena badala ya kuuza?

Ni hivi.

Mtandaoni watu wananunua kwa muuzaji yule tu wanayedhani ana weledi katika bidhaa au huduma anazouza.
Hii ni muhimu zaidi, Watu wanapenda kushauriwa na kufundishwa nini ni bora kwa wakati huo.
 
Back
Top Bottom