Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

Yeah hebu fuatilia utaona
Sawa ngoja nipekue Comment moja moja,,but siku nyingine uwe unaichukua Link ya muendelezo then unaenda kuiweka chini ya Thread ilipoishia kama anavyofanya The Bold ili iwe simple kwa sisi kusoma.Wewe ni mmoja wa watu wanaosomwa sana humu
 
Noted..
 
Mshana naomba nitafsirie hii ndoto rafiki yangu anasema tumelala chumba kimoja kiko rafu nguo zimezagaa Mara nyoka akamng'ata kidole vurugu nyoka haachii anasema mimi nikachukua panga nikamkata vipande nikamuua nyoka maana ya ndoto hii nini
 
IMG_20171228_170830.jpg
 
Ni mambo ya kiroho kuna hatari kubwa umemuepushia
 
Mshana naomba nitafsirie hii ndoto rafiki yangu anasema tumelala chumba kimoja kiko rafu nguo zimezagaa Mara nyoka akamng'ata kidole vurugu nyoka haachii anasema mimi nikachukua panga nikamkata vipande nikamuua nyoka maana ya ndoto hii nini
wewe ni mtu mbaya aachane na ww hufai unaogiza maisha sana
 
Mi naitumia iyo namba 7 kuiandika ktk noti ya sh 10000 au 1000 ndani ya wiki moja nakuwa napata pesa nyingi kwa kupewa au kule ktk biashara zangu sijui kwanini i mbinu niliambiwa na mzungu flan ivi dah nashukuru napata bahati dah
 
Ngoja nami nianze
 
Ikiwa katika mfuatano wa namba msingi yani 0-9/1-9, namba saba inaonekana ni namba ya kawaida kabisa, lakini kwa taarifa yako hii ndio namba ya ukamilifu inayoendesha dunia na ndio namba yenye tafsiri zinazoshabihiana kwenye imani zote
Nina hakika ulianza kuitambua hii namba upekee wake kwenye habari za uumbaji, kwamba Mungu aliumba ulimwengu kwa siku sita na siku ya SABA akapumzika..... Lakini wengine watakuambia kuhusu mnyama paka Kuwa na roho saba ama lile joka lenye vichwa saba

View attachment 503310Kibiblia namba saba! Imetajwa kwenye mambo mengi sana sana nitataja machache kwasasa
-ukamilifu wa kiroho
-utimilifu wa jambo
-mnyama wa sadaka asiwe chini ya siku saba
-pair saba za wanyama walioingia kwenye safina ya Nuhu
-Alama ya uungu na Mungu mwenyewe huku namba sita ikiitwa namba ya mwanadamu (refer uumbaji na Freemasons)
-msamaha samehe saba mara 70
Namba saba imetajwa kwenye Bible mara 490 ...hapa utapata majibu mengi

View attachment 503309Kwa Wahindu na wabuddhist wanaamini katika mbingu saba kama ifuatavyo
1.dunia
2.ulimwengu hai
3.mbingu
4.ulimwengu wa kati, mpaka kati ya ulimwengu wa juu na chini, ulimwengu wa kiza na nuru
5.ulimwengu wa rebirth na reincarnation
6.hekalu la baraka mduara wa ukweli
7.mbingu ya saba, hatua ya mwisho kufikia ukamilifu

Nitakuja na tafsiri ya namba saba kwa imani ya Kiislam pia....lakini namba saba ni namba yenye nguvu mamlaka na ndio pointer ya ulimwengu unaoonekana toka katika ulimwengu wa roho

Nitarudi kuendelea sehemu ya pili.... Usisahau pia kinywaji baridi cha SABA JUUView attachment 503308
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom