Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

kwenye kuhusu suala la namba katika dini ya kiislam ndo limeongelewa dhahiri bila kificho na kawa sauti, kiujumla ibada nyingi katika dini hiyo maranyingi huwa na idadi ya 7, ila pia hata kwenye ulimwengu wa asili imetokea kuwa effect nyingi kutoka kwa idadi hiyo, sheria nyingi za kibinadamu zenye kutafuta ushahidi au kusubiri nyingi zime base kwenye namba hio 7. ukiacha na visa au masimulizi ya mitume wengi kusumbuka na kukammilisha malengo yao kwenye namba hio, pia hata kwa wana kamari na matapeli wamekuwa wakiitumia, kwa sasa mpaka katika shughuli rasmi imeonekana kutumika.

mkuu pia ukiichimba zaidi kuhusu hio namba utanitag pia nataka niongeze ujuzi huko nako.
 
Poa ila Dah umenikumbusha kitu kwenye kamari nyingi namba ya matangazo na hata ya ushindi ni 777
 
Saaa hoja yako yakusema asili yetu kiza iko wapi? Kwamaana hujazaliwa unatambua je kua ulikua kizani? Hapo ndo kwenye utata
jamaa we ni mtata sana. Kabla hujazaliwa ni wazi kuwa ulikuwa kizani(Gizani) maana ikiwa hutambui ulikuwa WAP, unafanya nn, na huna taarifa yoyote kuhusu life before born inatosha kusema huko ni kiza hakuna mwanga wowote wa kutuonyesha yaliokuwa yanaendela kabla ya kuzaliwa.
 
Ndo swali la msingi unajitambuaje kabla hujazaliwa kujua kua ulikua kizani? Na je kabla ya uumbwaji ulimwengu palikua kiza je uliwahi kuuliza mwangaza ulikua wapi? Mpaka ikaja kuuondoa kiza? Ni vitu ambavyo vilikuepo sasa kusema asili yetu ni kiza kwahiyo kabla yakuzaliwa kwetu tulishajitambua kua tulikua kizani!! Haileti maana kabisa hii ni siri yake muumba wetu!!
Una maswali yalioenda ndani sana mpaka nimekuelewa, Inaweza ikawa ni siri mpaka tupate kuelewa je Giza na mwanga nan wakwanza kuumbwa maana inawezekana hawa ni ndugu hivyo kusema asili yetu ni kiza tukawa tunakisea kumbe hawa wanajuana toka mwanzo na wote walikuepo tu lakini habari ya kiza ndo imetangulia tu kutamkwa kwenye vitabu vyetu
 
48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom