Mbinga: CCM chali, CHADEMA kidedea

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeigarakaza CCM huko wilaya ya Mbiga kijiji cha Amani Makoro kwa chadema kupata kura 58 na CCM kura 43 kijiji hiki ndiko anakotoka aliekuwa katibu mkuu wa CCM Ndg Laurence Gama nani jirani kabisa na komba..Peoplesssssssssssssss....
 
Poooooooowerrr..!!!!!!!!
 
Naona Wananchi wanaiondoa CCM Madarakani hatua kwa hatua.Mpaka kufikia 2015 itakuwa imepoteza sehemu kubwa sana ya Ngome zake.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeigarakaza CCM huko wilaya ya Mbiga kijiji cha Amani Makoro kwa chadema kupata kura 58 na CCM kura 43 kijiji hiki ndiko anakotoka aliekuwa katibu mkuu wa CCM Ndg Laurence Gama nani jirani kabisa na komba.Peoplesssssssssssssss....

JAMANI JAMANI, NINA FURAHA YA AJABU JUU YA HABARI HII, SOTE TUSIMAME KWA SAUTI MOJA TUSEME CHADEMA YATOSHA, CCM AKAFIE MBELE. WABEJA SANa CHADEMA YETU
 
Weraaaaaaaaaaaaaaa weraaaaaaaaaa

...Gumegume la Kimandolu..... stay tuned
...Muuza majani ya mbuzi.... Kaloleni stay tuned
...Mtembelea sori Erelai............stay tuned
....Muuza viwanja Themi .......stay tuned

Vijijini wamechachamaa chaaaaaaaaa!!!
Mujini wamechachamaa Chaaaaaaaaaaa!!!!!

Mpera mpera hata ukitembea na msukule!!!!
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeigarakaza CCM huko wilaya ya Mbiga kijiji cha Amani Makoro kwa chadema kupata kura 58 na CCM kura 43 kijiji hiki ndiko anakotoka aliekuwa katibu mkuu wa CCM Ndg Laurence Gama nani jirani kabisa na komba..Peoplesssssssssssssss....

me nilijua tu!
 
Kanyaga twende

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom