Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeigarakaza CCM huko wilaya ya Mbiga kijiji cha Amani Makoro kwa chadema kupata kura 58 na CCM kura 43 kijiji hiki ndiko anakotoka aliekuwa katibu mkuu wa CCM Ndg Laurence Gama nani jirani kabisa na komba..Peoplesssssssssssssss....