TANZIA Mbezi Msakuzi: Mwanaume afariki dunia kwa kujinyonga

Wachaga endeleeni ku-trend mwezi wenu huu
Halafu huyu mangi alioaje mwanamke anamzidi miaka 11??
 
Inasomeka huko Mbezi eneo la Msakuzi. Mtu mmoja ambaye jina lake ambalo bado halijafahamika, kabila ni Mchaga amekutwa kajinyonga akiwa nyumbani kwake eneo la Mbezi Msakuzi.

Moja ya mashuhuda akiwemo mke wake anayejulikana kwa jina Awaich Nyela amethibitisha.

Taarifa za awali inasadikika kuwa ni wivu wa kimapenzi, Taarifa kamili iko polisi.

Mbezi na kimara naomba isomeke rasmi kuwa ni kanda maalum ya mapenzi ya kibabe.

Updates!
Mtu huyo aliyetambulika kwa jina la ASENGA miaka 37yrs na mkewe Awaich miaka 48, Inadaiwa kabla ya kujinyonga hawakuwa na maelewano mazuri na mkewe!

Inasomeka marehemu alikuwa akimlalamikia mkewe Mara kwa Mara kujichukulia mikopo kutoka vyanzo mbalimbali na kumpa tabu mmewe kulipa madeni hayo ambayo kuna wakati yalifika hadi 15mil (na hayakueleweka pesa hivyo mkewe alifanyia nn, zaidi ya mkewe kuchoma mbuzi na bia) ili kuepuka fedheha ya kuchukuliwa vyombo vya ndani na wadeni hao! Mmewe Fundi ASENGA Alipambana kurejesha madeni hayo.

Pamoja na hilo, Marehem ASENGA na mkewe waliwahi kutofautiana na kupatana na mkewe Mara kadhaa katika ndoa yao!
Moja ya migogoro ni pale ASENGA alipotaka kumtimua mkewe, hivyo mkewe alimpeleka polisi na kumweka ndani kwa kosa la kumshambulia mkewe (Awaich).

Katika migogoro hiyo, alipoondoka mkewe kwa mda, ASENGA Alijitwalia mafao (house girl) na kutaka kumuoa, hivyo mkewe ASENGA aliposikia house girl anataka kuolewa, ariludi na kumtimua wakati akiwa na mimba ya ASENGA!

Migogoro hiyo ilisuruhishwa wakaendelea na maisha na mkewe Awaich, lakini ASENGA na mkewe kutokana na tofauti ya umri, ni dhahiri kuwa ASENGA alimuoa mkewe akiwa kashazalishwa, moja ya malalamiko ya ASENGA kabla ya kujinyonga ni kwamba, alirejea siku chache kutoka mkoa alikokuwa kambi katika shughuli zake za ujenzi.

Alipofika nyumbani alikuta watoto wengine wawili wa mkewe (Awaich) ambao hakuwahi kuambiwa kuwa aliwazaa kabla na yule mwanaume wa awali, hivyo ASENGA alihoji kuwa kwanini mkewe alimdanganya kuwa ana mtoto mmoja mdogo kumbe kuna wengine wakubwa namna ile tena mmoja kashazalishwa hivyo mkewe ana mjukuu.

ASENGA Aliweka ujumbe mezani kabla ya kuamua kujinyonga chumbani kwake!

Katika ndoa ya ASENGA na mkewe
Jamaa kaacha ugali kambale!!
 
Wachagga vipii, yule mchungaji wa kawe kawaingiza mjini amewaacha mnakanyagana kwenye mafuta ya upako mshkaji akasepazake akawaacha mnauguza vilio, haukutosha mnachomana moto, huyu nae amejinhonga.
 
Inasomeka huko Mbezi eneo la Msakuzi. Mtu mmoja ambaye jina lake ambalo bado halijafahamika, kabila ni Mchaga amekutwa kajinyonga akiwa nyumbani kwake eneo la Mbezi Msakuzi.

Moja ya mashuhuda akiwemo mke wake anayejulikana kwa jina Awaich Nyela amethibitisha.

Taarifa za awali inasadikika kuwa ni wivu wa kimapenzi, Taarifa kamili iko polisi.

Mbezi na kimara naomba isomeke rasmi kuwa ni kanda maalum ya mapenzi ya kibabe.

Updates!
Mtu huyo aliyetambulika kwa jina la ASENGA miaka 37yrs na mkewe Awaich miaka 48, Inadaiwa kabla ya kujinyonga hawakuwa na maelewano mazuri na mkewe!

Inasomeka marehemu alikuwa akimlalamikia mkewe Mara kwa Mara kujichukulia mikopo kutoka vyanzo mbalimbali na kumpa tabu mmewe kulipa madeni hayo ambayo kuna wakati yalifika hadi 15mil (na hayakueleweka pesa hivyo mkewe alifanyia nn, zaidi ya mkewe kuchoma mbuzi na bia) ili kuepuka fedheha ya kuchukuliwa vyombo vya ndani na wadeni hao! Mmewe Fundi ASENGA Alipambana kurejesha madeni hayo.

Pamoja na hilo, Marehem ASENGA na mkewe waliwahi kutofautiana na kupatana na mkewe Mara kadhaa katika ndoa yao!
Moja ya migogoro ni pale ASENGA alipotaka kumtimua mkewe, hivyo mkewe alimpeleka polisi na kumweka ndani kwa kosa la kumshambulia mkewe (Awaich).

Katika migogoro hiyo, alipoondoka mkewe kwa mda, ASENGA Alijitwalia mafao (house girl) na kutaka kumuoa, hivyo mkewe ASENGA aliposikia house girl anataka kuolewa, ariludi na kumtimua wakati akiwa na mimba ya ASENGA!

Migogoro hiyo ilisuruhishwa wakaendelea na maisha na mkewe Awaich, lakini ASENGA na mkewe kutokana na tofauti ya umri, ni dhahiri kuwa ASENGA alimuoa mkewe akiwa kashazalishwa, moja ya malalamiko ya ASENGA kabla ya kujinyonga ni kwamba, alirejea siku chache kutoka mkoa alikokuwa kambi katika shughuli zake za ujenzi.

Alipofika nyumbani alikuta watoto wengine wawili wa mkewe (Awaich) ambao hakuwahi kuambiwa kuwa aliwazaa kabla na yule mwanaume wa awali, hivyo ASENGA alihoji kuwa kwanini mkewe alimdanganya kuwa ana mtoto mmoja mdogo kumbe kuna wengine wakubwa namna ile tena mmoja kashazalishwa hivyo mkewe ana mjukuu.

ASENGA Aliweka ujumbe mezani kabla ya kuamua kujinyonga chumbani kwake!

Katika ndoa ya ASENGA na mkewe
Nikisikia kuwa Mwanaume Kajiua labda kwa Ugumu wa Maisha ( japo hata Mimi GENTAMYCINE ninao ila sijaamua Kujiua bado nakomaa nikiamini One Day Yes ) kidogo naweza Kuelewa ( Kumuelewa )

Ila nikisikia kabisa kuwa Mwanaume mwenye Mkuyenge ( Mboo ) na Pumbu ( Kengele za Uvunguni ) Kajiua kwa Wivu wa Kimapenzi huwa natamani kujua Maiti yake ipo wapi ili nikaipige sana Makofi na hata Kuikojolea pia ikibidi.

Kila Siku GENTAMYCINE nimekuwa nikiimba hapa kwa Kuwaambia Wanaume wenzangu kuwa Dawa pekee ya kutokuwa na Wivu na Mkeo au hata wa Kimapenzi ni kuwa na Mademu ( Mahawara ) zaidi ya Watano mpaka Saba na Wote wawe wanatofautiana kwa Uzuri na Utamu wa Mbunye ( Maku ) zao.

99.999% ya Mianamume inayojiua 24/7 ( kila Siku ) ni ile ambayo Kwanza haijui Kutongoza Kisha huwa inapelekeshwa mno na Wake zao halafu hata Vichwani mwao huwa ni Mipopoma ( Mipumbavu ) tupu halafu hata Vijiweni huwa hawakai na wanawahi sana kurejea Makwao wakitoka Kazini huku pia wakiwa hawashabikii Simba wala Yanga au Liverpool wala Manchester United.

Mwanaume utakuwaje na Mke Mmoja?
 
Back
Top Bottom